Lax
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 4,740
- 7,179
unata chanzo kiwe nini? nikitafuteMkuu, kama hivyo vyombo vya habari ndizo chanzo chako, basi kazi unayo.
Mimi, hata CNN ndio wangeripoti kwanza kwamba Trump ndiye ameshinda, nisingewaamini!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unata chanzo kiwe nini? nikitafuteMkuu, kama hivyo vyombo vya habari ndizo chanzo chako, basi kazi unayo.
Mimi, hata CNN ndio wangeripoti kwanza kwamba Trump ndiye ameshinda, nisingewaamini!
tunae na huenda tumeanza kuimarisha ulinzi kwake.Ukiwa na mtu mweny ushawishi kama Donald J. Trump as your President inaleta faraja sana, Tanzania tunahitaji mtu kama huyu.
Kwenye uzi umesema trump ana TETEMESHA ...maana yake nini neno kutetemesha uliyo kusudia au una maanisha anatetemesha makarioWe ni mpumbavu eeh?
Wapi nimesema Russia inamwogopa Trump?
Wewe ndio mpumbavu,umesema Trump anateremesha watu,hivi una umri gani wewe?We ni mpumbavu eeh?
Wapi nimesema Russia inamwogopa Trump?
Mkuu, mimi namuunga mkono Trump haswa! Ila ukimgusa Mchina na Russia, mapema sana naruka na wewe, hata vifuti utapata. Sikuachi!Akiwa madarakani alikutana nao na wakajadiliana hali ya baadaye baada ya IS kuondoka
Hana namna, maana huyo ajaye ukitaka uchizi yeye ni zaidi halafu ni New Yorker by nature
Kipindi cha kampeni aliwaambia, Mexico nimajirani na ni muhimu kwa US, ila hana ujumbe mzuri kwao sababu ya kutolinda mipaka na kuachia illegal immigrants kupitia Mexico na kuingia US. Hivyo hana ujumbe mzuri kwao.
Uwepo wa Sanctuary cities huko New York ndiyo hupelekea illegal immigrants wengi kukimbilia huko, miji ya Chicago na Los Angeles ni destinations kubwa za illigal immigrants ingawa miji mingine pia zipo, kuna jumla ya sanctuary zaidi ya 500US. Trump ameahidi ku deL nalo hili
China ameshaona nyakati ngumu zinakuja
Kabla hata hajausikia tayari yupo interested
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
zile meli walizokuwa wakizishambulia wakati zikipita zake njia ilikuwa ni kujikinda?
Wanaelewa vizuri somo linalikuja ni complicated.
Nilijua tu lazima uje kwenye huu uzi mmarekani mweusi wa Nzega,huyo Trump alipokua rais alifanya nini? Aliwapiga kina nani? Trump sio mtu wa vita,kwa mfano alisema akichaguliwa atafanya jitihada kumaliza vita ya Russia na Ukraine,Hakuipata kuandikwa kwamba ncha ya upanga heleta pia amani? Wamekimbilia option nyingine badala ya hiyo!
Tanzania tumewahi kuwa naye, naye si mwongine, ni JPMList ya mambo yaliyotokea baada ya Donald J Trump kutangazwa kushindwa uchaguzi;
Ukiwa na mtu mweny ushawishi kama Donald J. Trump as your President inaleta faraja sana, Tanzania tunahitaji mtu kama huyu.
- Taleban kutangaza kwamba wanataka amani na USA na kikundi chao kuondolewa kweny list ya terrorist groups.
- Rais Putin kajitokeza na kusema "western civilization is not an enemy" (hii ni ajabu kwa sababu kipindi cha Biden alikuwa anaiponda US kila akipanda jukwaani)
- Mexican government wameimarisha ulinzi kweny border zake na USA.
- Qatar imewaambia viongozi wa Hammas kwamba "they're no longer welcomed in their country" (kumbuka Qatar ndo walikuwa wanamhifadhi Ismail Haniyeh na viongozi wengine wa Hammas kipindi cha Biden) sasa hivi wamewapiga marufuku nchini kwao.
- Mayor wa Newyork ameanza kushughulikia tatizo la "Illegal Immigrants" waliojaa New York kwa kuwawekea vikwazo vikali.
- Rais wa China amesema wanataka "Peaceful coexistence" with America, wanataka waishi kwa amani na USA na wanaheshimu maamuzi ya wamarekani kumchagua Trump.
- European Union Cheif (Ursula) amemwambia Trump kwamba wanataka marekani awe ana supply Liquefied Natural Gas (LNG) to Europe ili waache kununua kutoka kwa Russia.
- Rais Putin amesema yuko very interested na mpango wa Trump wa kumaliza vita yake against Ukraine, na amesema yuko tayar kwa maongezi na Trump, pia kasema Russia ita support huo mpango.
- Houthi wamesema operations zake kweny international waters zilikuwa ni za kujilinda tuu(which is Ironic) na wametangaza kusitisha hizo operations.
- Hammas kutangaza "Immediate End of War" baada ya Trump kushinda uchaguzi.
- Stock markets na Crypto(Bitcoin, Ethereum etc) charts kupanda mara dufu.
- Kuitwa misogynist na baada ya kushinda uchaguzi kamteua mwanamke wa kwanza kuwa "White House Chief of Staff", hakukuwahi kuwa Chief of Staff mwanamke.
Mkuu, kwani kutetemeka lazima mtu awe anaogopa?Wewe ndio mpumbavu,umesema Trump anateremesha watu
Wewe nae ni mpumbavu tu,huna akili kabisa,hiyo mifano yako ya kijinga wapelekee familia yako,usinifanye mimi kua mpumbavu mwenzako,Mkuu, kwani kutetemeka lazima mtu awe anaogopa?
Kuna wengine wanatetemeka kwa sababu ya degedege. Wengine wanatetema kama Mayelle. Na wengine wanatetemeka kwa furaha.
Emu rudi shule kidogo, unatia aibu hapa jukwaani. Ebo!
Leo wamebadilisha maneno yao,hua hawajui hata wanachokitetea zaidi ya kukurupuka tu na kupayuka hovyo.Si huwa tunaambiwa USA inaongozwa na mfumo?
Magufuli alikuwa chuma kweli kweli hadi Trump aliiga mbinu kipindi cha CoronaTanzania tumewahi kuwa naye, naye si mwongine, ni JPM
Huyu alikuwa mfano wa Trump kwa nchi zetu hizi za watu weusi na mioyo myeusi
Wewe nilishakupuuza!Nilijua tu lazima uje kwenye huu uzi mmarekani mweusi wa Nzega,huyo Trump alipokua rais alifanya nini? Aliwapiga kina nani? Trump sio mtu wa vita,kwa mfano alisema akichaguliwa atafanya jitihada kumaliza vita ya Russia na Ukraine,
Nyie wamarekani weusi wa Nzega ndio mnashobokea vitu msivyovijua.
Umejipuuza mwenyewe kwa kujishtukia kwa kutingisha makalio yako hapa kwa hoja za kijinga na ushabiki wa hovyo,jadili vitu kwa akili na sio kufuata upepo tu,toka huko Kijijini uone Dunia inavyokwenda kuliko kila siku kukariri upumbavu ule ule tu.Wewe nilishakupuuza!
Ajabu kwelu kweli, kiongozi wa Al Houthi anamwambia akija aje kwa adabu, kiongozi wa Hezbullah pia kamwambia aje kiongozi yeyote wa US hawababaishwi nae, Iran kamwambia akija abadilishe siasa ya US ama sivyo hakuna atakacho fanikiwa.Kamtetemesha nani?
Sambamba na Hilo, Billion wa Dunia, Elon Musk, Utajiri wake uliongezeka Kwa zaidi ya Billion 27.5 za kimarekan.List ya mambo yaliyotokea baada ya Donald J Trump kutangazwa kushindwa uchaguzi;
Ukiwa na mtu mweny ushawishi kama Donald J. Trump as your President inaleta faraja sana, Tanzania tunahitaji mtu kama huyu.
- Taleban kutangaza kwamba wanataka amani na USA na kikundi chao kuondolewa kweny list ya terrorist groups.
- Rais Putin kajitokeza na kusema "western civilization is not an enemy" (hii ni ajabu kwa sababu kipindi cha Biden alikuwa anaiponda US kila akipanda jukwaani)
- Mexican government wameimarisha ulinzi kweny border zake na USA.
- Qatar imewaambia viongozi wa Hammas kwamba "they're no longer welcomed in their country" (kumbuka Qatar ndo walikuwa wanamhifadhi Ismail Haniyeh na viongozi wengine wa Hammas kipindi cha Biden) sasa hivi wamewapiga marufuku nchini kwao.
- Mayor wa Newyork ameanza kushughulikia tatizo la "Illegal Immigrants" waliojaa New York kwa kuwawekea vikwazo vikali.
- Rais wa China amesema wanataka "Peaceful coexistence" with America, wanataka waishi kwa amani na USA na wanaheshimu maamuzi ya wamarekani kumchagua Trump.
- European Union Cheif (Ursula) amemwambia Trump kwamba wanataka marekani awe ana supply Liquefied Natural Gas (LNG) to Europe ili waache kununua kutoka kwa Russia.
- Rais Putin amesema yuko very interested na mpango wa Trump wa kumaliza vita yake against Ukraine, na amesema yuko tayar kwa maongezi na Trump, pia kasema Russia ita support huo mpango.
- Houthi wamesema operations zake kweny international waters zilikuwa ni za kujilinda tuu(which is Ironic) na wametangaza kusitisha hizo operations.
- Hammas kutangaza "Immediate End of War" baada ya Trump kushinda uchaguzi.
- Stock markets na Crypto(Bitcoin, Ethereum etc) charts kupanda mara dufu.
- Kuitwa misogynist na baada ya kushinda uchaguzi kamteua mwanamke wa kwanza kuwa "White House Chief of Staff", hakukuwahi kuwa Chief of Staff mwanamke.
Kukaa kimya kunaficha aibu, jaribu kukaa kimya ufiche your ignorance.Wakati akiwa raisi alifanya nini cha ajabu huyo Trump?
Endelea kutukana tu kana kwamba una hatimiliki ya matusi!Umejipuuza mwenyewe kwa kujishtukia kwa kutingisha makalio yako hapa kwa hoja za kijinga na ushabiki wa hovyo,jadili vitu kwa akili na sio kufuata upepo tu,toka huko Kijijini uone Dunia inavyokwenda kuliko kila siku kukariri upumbavu ule ule tu.
Kuna uongo wowote nimeongea??Huu uzi wako ungeweka reliable source ya hayo matamko uliyo yaandika wewe hapa,
JF hua tunaenda kwa reliable source.
List ya mambo yaliyotokea baada ya Donald J Trump kutangazwa kushindwa uchaguzi;