Trump bado hajaingia madarakani lakini Impact yake ni kubwa zaidi ya watu wanavofikiri, anatetemesha watu

Trump bado hajaingia madarakani lakini Impact yake ni kubwa zaidi ya watu wanavofikiri, anatetemesha watu

Kuna kauli nyingi kutoka kila kona ya dunia kuanzia Japan, South Korea, German, UK, Zelensky, Orban etc. kila mahali wanatamani utawala wa Trump. Inaonesha Biden walikuwa hawamkubali ila kinafiki tu waliishi naye
 
Hapo na. 8 hujamalizia taarifa ya Kremlin kuwa "ikiwa tu kama maslahi yake yataheshimiwa".
Wewe mbona unakuwa kimbinyiko, mkuu? Kuwa ^very interested^ na ^kuwa tayari kwa mazungumzo ya amani,^ havitegemei kivyovyote vile maslahi ya Urusi kuheshimiwa.

Badala yake, hiyo interest na mchakato wa mazungumzo ndivyo vitaamua iwapo au la maslahi hayo yatazingatiwa.

Usomaji na uelewa wako unatia tashwishi si kidogo.
 
Kuna kauli nyingi kutoka kila kona ya dunia kuanzia Japan, South Korea, German, UK, Zelensky, Orban etc. kila mahali wanatamani utawala wa Trump. Inaonesha Biden walikuwa hawamkubali ila kinafiki tu waliishi naye
Licha ya kutomkubali Joe Biden, sababu kubwa ni wale hasa waliokuwa wakiiongoza serikali ya Marekani. JB alikuwa kama kivuli tu - rais asiye na kucha wala meno.

Kuna wakati rais fulani anaweza kuamua kufanya naye mazungumzo, lakini atajiuliza iwapo wale washika-mpini wenyewe wataafikiana na mashauriano hayo.

Si ajabu hotuba yake (Kamala akiwemo), zilikuwa zimeandaliwa neno-kwa-neno, na pengine viongozi hawa wanaofurushwa madaraka sasa hawakuridhia lakini hakuwa na jinsi.

Ukichunguza kampeni za Kamala Harris, utagundua tayari alikuwa ameanza kujitenga na sera za Biden, akisema uongozi wake ungekuwa mwanzo mpya. Mwanzo mpya, maana yake ni kwamba yaliyopita yameparaganyika!

Uelekeo wa sera za utawala wa Biden ndio umechangia kwa sehemu kubwa dunia kuichukia Marekani. Ndiyo maana mataifa mengi yanataka amani na utulivu uliokuwepo kabla ya Biden kumwibia Trump kura 2020.

Halafu, nadhani kabisa, kama ingeruhusiwa, nasema kama ingeruhusiwa, mataifa mbalimbali kuchangia rasilimali za kampeni za urais Marekani, bila shaka mataifa yote duniani (na huenda ikiwemo Ukreni yenyewe), yangemchangia fedha Donald Trump ili ashinde kwa kishindo!
 
vipi lakini biden nae alipoingia madarakani hakukua na matamko?
 
1731148105261.png
 
vipi lakini biden nae alipoingia madarakani hakukua na matamko?
Mkuu, Joe Biden alipoingia madarakani, wala hakuna mtu aliyejua kama kuna rais kachaguliwa Marekani. Dunia ilishuhudia fujofujo tu na vumbi kutimka.

Umesahau zile kauli kutoka dunia nzima kwamba tutafuatilia kwa makini mwenendo wa kisiasa Marekani?

Wengi walikuwa wanamngojea Trump ashinde zile kesi alizofungua dhidi ya udanganyifu mkubwa sana wa kura. Usisahau ndicho kipindi ambacho mdudu korona alibisha hodi katika kila pembe ya dunia.
 
Mkuu, Joe Biden alipoingia madarakani, wala hakuna mtu aliyejua kama kuna rais kachaguliwa Marekani.

Wengi walikuwa wanamngojea Trump ashinde zile kesi alizofungua dhidi ya udanganyifu mkubwa sana wa kura. Usisahau ndicho kipindi ambacho mdudu korona alibisha hodi katika kila pembe ya dunia.
nikuwekee article ya cnn au al jazeera mkuu. mimi sitaki kuweka hata nukta yangu
 
List ya mambo yaliyotokea baada ya Donald J Trump kutangazwa kushindwa uchaguzi;

  1. Taleban kutangaza kwamba wanataka amani na USA na kikundi chao kuondolewa kweny list ya terrorist groups.
Akiwa madarakani alikutana nao na wakajadiliana hali ya baadaye baada ya US kuondoka, Biden and the company wakafanya otherwise.
  1. Rais Putin kajitokeza na kusema "western civilization is not an enemy" (hii ni ajabu kwa sababu kipindi cha Biden alikuwa anaiponda US kila akipanda jukwaani)
Hana namna, maana huyo ajaye ukitaka uchizi yeye ni zaidi halafu ni New Yorker by nature
  1. Mexican government wameimarisha ulinzi kweny border zake na USA.
Kipindi cha kampeni aliwaambia, Mexico nimajirani na ni muhimu kwa US, ila hana ujumbe mzuri kwao sababu ya kutolinda mipaka na kuachia illegal immigrants kupitia Mexico na kuingia US. Hivyo hana ujumbe mzuri kwao.
  1. Qatar imewaambia viongozi wa Hammas kwamba "they're no longer welcomed in their country" (kumbuka Qatar ndo walikuwa wanamhifadhi Ismail Haniyeh na viongozi wengine wa Hammas kipindi cha Biden) sasa hivi wamewapiga marufuku nchini mwao.

  1. Mayor wa Newyork ameanza kushughulikia tatizo la "Illegal Immigrants" waliojaa New York kwa kuwawekea vikwazo vikali.
Uwepo wa Sanctuary cities huko New York ndiyo hupelekea illegal immigrants wengi kukimbilia huko, miji ya Chicago na Los Angeles ni destinations kubwa za illigal immigrants ingawa miji mingine pia zipo, kuna jumla ya sanctuary zaidi ya 500US. Trump ameahidi ku deL nalo hili
  1. Rais wa China amesema wanataka "Peaceful coexistence" with America, wanataka waishi kwa amani na USA na wanaheshimu maamuzi ya wamarekani kumchagua Trump.
China ameshaona nyakati ngumu zinakuja
  1. European Union Cheif (Ursula) amemwambia Trump kwamba wanataka marekani awe ana supply Liquefied Natural Gas (LNG) to Europe ili waache kununua kutoka kwa Russia.
  2. Rais Putin amesema yuko very interested na mpango wa Trump wa kumaliza vita yake against Ukraine, na amesema yuko tayar kwa maongezi na Trump, pia kasema Russia ita support huo mpango.
Kabla hata hajausikia tayari yupo interested
  1. Houthi wamesema operations zake kweny international waters zilikuwa ni za kujilinda tuu(which is Ironic) na wametangaza kusitisha hizo operations.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
zile meli walizokuwa wakizishambulia wakati zikipita zake njia ilikuwa ni kujikinda?
  1. Hammas kutangaza "Immediate End of War" baada ya Trump kushinda uchaguzi.
Wanaelewa vizuri somo linalikuja ni complicated.
 
Akiwa madarakani alikutana nao na wakajadiliana hali ya baadaye baada ya IS kuondoka
alopata anabaki nayo
Hana namna, maana huyo ajaye ukitaka uchizi yeye ni zaidi halafu ni New Yorker by nature

Kipindi cha kampeni aliwaambia, Mexico nimajirani na ni muhimu kwa US, ila hana ujumbe mzuri kwao sababu ya kutolinda mipaka na kuachia illegal immigrants kupitia Mexico na kuingia US. Hivyo hana ujumbe mzuri kwao.

Uwepo wa Sanctuary cities huko New York ndiyo hupelekea illegal immigrants wengi kukimbilia huko, miji ya Chicago na Los Angeles ni destinations kubwa za illigal immigrants ingawa miji mingine pia zipo, kuna jumla ya sanctuary zaidi ya 500US. Trump ameahidi ku deL nalo hili

China ameshaona nyakati ngumu zinakuja

Kabla hata hajausikia tayari yupo interested

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
zile meli walizokuwa wakizishambulia wakati zikipita zake njia ilikuwa ni kujikinda?

Wanaelewa vizuri somo linalikuja ni complicated.
kwani china si juzi kati tu hapo jinping alikutana na biden? putin habari zinasema team ya trump inamueleza ukraine akubali dili miaka 20 hakuna kufikiria nato inatengenezwa buffer zone, putin land aliyogain anabaki nayo, kuhusu negotiations mara kadhaa putin kashasema west wanamtumia uturuki kuna na proposal lakini hawako serious. muda wa kusubiri utekelezaji tu
 
Back
Top Bottom