Trump bado hajaingia madarakani lakini Impact yake ni kubwa zaidi ya watu wanavofikiri, anatetemesha watu

We ni mpumbavu eeh?

Wapi nimesema Russia inamwogopa Trump?
Wewe ndio mpumbavu,umesema Trump anateremesha watu,hivi una umri gani wewe?

Umeandika huu uzi kwa ushabiki wa kijinga sana,weka source ya hayo matamko uliyo yaandika wewe hapa,hakuna nchi inayotetemeshwa na rais wa nchi nyingine,inaonekana umetawaliwa na fikra za kitumwa,

Halafu si kila siku hapa hua mnasema kua US hua ina mipango yake haijalishi rais ni nani? Naona unapiga ngoma na kuicheza wewe mwenyewe.
 
Mkuu, mimi namuunga mkono Trump haswa! Ila ukimgusa Mchina na Russia, mapema sana naruka na wewe, hata vifuti utapata. Sikuachi!

China na Urusi zimekuwa zikitumia busara muda wote. Hata kabla ya vita vya Ukreni, Putin aliwaalika hao vichwa-ngumu wa West wakae meza moja wazungumze, ila wao wakavimba - wakiongozwa na Boris Johnson, RIP - retired in pity.

Busara hiyohiyo ndiyo waitumiayo sasa kwa sababu wanamwona huyu mpya ni rais na kiongozi anayetumia akili (yake binafsi) kuliko mabavu kama wale.

Halafu wenzio wanawaza kukuza uchumi na biashara kwa njia ya maafikiano, maridhiano na amani. Marekani yenyewe mara zote inaonekana kufanikiwa kwa kuyaanzishia timbwili mataifa mengine.
 
Hakuipata kuandikwa kwamba ncha ya upanga heleta pia amani? Wamekimbilia option nyingine badala ya hiyo!
Nilijua tu lazima uje kwenye huu uzi mmarekani mweusi wa Nzega,huyo Trump alipokua rais alifanya nini? Aliwapiga kina nani? Trump sio mtu wa vita,kwa mfano alisema akichaguliwa atafanya jitihada kumaliza vita ya Russia na Ukraine,

Nyie wamarekani weusi wa Nzega ndio mnashobokea vitu msivyovijua.
 
Tanzania tumewahi kuwa naye, naye si mwongine, ni JPM

Huyu alikuwa mfano wa Trump kwa nchi zetu hizi za watu weusi na mioyo myeusi
 
Mkuu, kwani kutetemeka lazima mtu awe anaogopa?

Kuna wengine wanatetemeka kwa sababu ya degedege. Wengine wanatetema kama Mayelle. Na wengine wanatetemeka kwa furaha.

Emu rudi shule kidogo, unatia aibu hapa jukwaani. Ebo!
Wewe nae ni mpumbavu tu,huna akili kabisa,hiyo mifano yako ya kijinga wapelekee familia yako,usinifanye mimi kua mpumbavu mwenzako,

Ungekua na akili timamu ungejua kua hii mada na neno kutetemesha ina maanisha nini,hebu kaa mbali na mimi na usirudie kuniquote kabla hujaharibikiwa zaidi,usije kusema sikukwambia.
 
Wewe nilishakupuuza!
 
Wewe nilishakupuuza!
Umejipuuza mwenyewe kwa kujishtukia kwa kutingisha makalio yako hapa kwa hoja za kijinga na ushabiki wa hovyo,jadili vitu kwa akili na sio kufuata upepo tu,toka huko Kijijini uone Dunia inavyokwenda kuliko kila siku kukariri upumbavu ule ule tu.
 
Kamtetemesha nani?
Ajabu kwelu kweli, kiongozi wa Al Houthi anamwambia akija aje kwa adabu, kiongozi wa Hezbullah pia kamwambia aje kiongozi yeyote wa US hawababaishwi nae, Iran kamwambia akija abadilishe siasa ya US ama sivyo hakuna atakacho fanikiwa.

Labda ni Israel na Europe ndio atakao watingisha
 
Sambamba na Hilo, Billion wa Dunia, Elon Musk, Utajiri wake uliongezeka Kwa zaidi ya Billion 27.5 za kimarekan.

Vita ya Ukraine Sasa Inaisha.

Ugonv na Uchina utaongezeka na ambapo Musk ataziddi kua Tajiri.

Wa Iran watapigwa vikwazo kwelikweli.

Wapalestina wajiandae

Mashogaa wajiandae +LGBT

Watoa mimba wajiandaeee
 
Umejipuuza mwenyewe kwa kujishtukia kwa kutingisha makalio yako hapa kwa hoja za kijinga na ushabiki wa hovyo,jadili vitu kwa akili na sio kufuata upepo tu,toka huko Kijijini uone Dunia inavyokwenda kuliko kila siku kukariri upumbavu ule ule tu.
Endelea kutukana tu kana kwamba una hatimiliki ya matusi!

Ulivyo mpumbavu kwa uzi huu tu hesabu post zako then uone ulizotukana ni ngapi? It shows who you're.
 

Mkuu mnatetemeka wewe na nani? Labda kama mliomsabiria maisha beberu:



HAMAS kaambiwa kuondoka Qatar siku kumi zilizopita. Kumbe Trump kachaguliwa lini?

Nani wapi au lini alishasema anataka vita?

Kwani Tanzania ikisema leo haitaki vita na Marekani utasema ni Kwa sababu kaingia Trump? Kwani lini ilisema ilitaka vita? Uliwahi kumsikia hata Marekani mwenyewe akisema anataka vita?

Hizi ngonjera si za kuwapa watoto wa chekechea?

Kwamba umeorodhesha misimamo ya sehemu mbalimbali duniani ambayo ipo na kuipa unyunyu kuwa wanatetemeka?

Looh!

Mkuu labda kama mnatetemeka nyie lakini si wenye kujitambua wakiwamo Taleban, HAMAS, Hezbollah, Houthi, North Korea, Russia, China, SA, Venezuela, Cuba, Guinea, Burkina Faso au Iran huko!

Habari ndiyo hiyo ndugu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…