Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,926
- 15,634
Rais mstaafu wa Marekani Donald Trump kamkemea na kumkosoa vikali rais Biden kwa kutumia vibaya pesa za walipa kodi wa Marekani dola bilioni 60 kununulia silaha na kuzipeleka Ukraine, ambapo silaha za mahela yote hayo zinaishia kuharibiwa vibaya na kuangamizwa na majeshi ya Urusi. Wakati huo huo waMarekani wakiendelea kulia ukata wa maisha kutokana na gharama za wese, chakula na madawa kupanda zaidi.
=====
=====