Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Wakati Trump anamsubiria Narendra Modi Waziri mkuu wa India kufika White House Trump akawa anapiga story na waandishi wa habari, wakumuuliza vipi kuhusu BRICS, amewajibu kwa tambo na makeke sana.
Trump anasema BRICS imekufa baada ya kauli yake kuwaambia wakigusia tu kwenye vikao vyao wanataka kucheza na dollar($) atawapiga na kitu kizito, tariffs 100%, hawataweza kufanya biashara na Marekani tena kiasi kwamba watarudi kuomba msamaha kwa magoti. Anasema tangu ametoa kauli hiyo wamesambaratika, hakuna hata anayetaka kujulikana aliwahi kuwa BRICS!