Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
They are dependant kuwepo hapo walipo kutokana na mataifa mengine they need allies, na wameweza kufanya mengi kwa kutengeneza bajeti kubwa kwa madeni kuliko nchi yoyote duniani sababu ya dollar; sasa bila hizi pumba huenda watu wangeona BRICS au delolarization ni pumba na hazina maana ila ukiona kwamba any time Kichaa anaweza kupata uskani wa nchi mliyoamini usishangae watu kuanza kutafuta alternative...... ana pesa ana madaraka ya taifa kubwa. They are not beggars!
Mfumo wa USA Dollar ulivyoanza kutumika Duniani, na Kupelekea Dunia Kuchezeshwa DECI (Ponzi Scheme)
Utangulizi: Baada ya vita vya Pili vya dunia mataifa mengi ya Ulaya yalikuwa katika hali mbaya ya Uchumi, Wawakilishi wengi wa Mataifa haya ya Ulaya na dunia (Jumla Mataifa 44) walikutana Bretton Woods, mwaka 1944 kuangalia ni jinsi gani wanaweza kuwa na Uchumi bora na wa Uhakika, Mataifa haya...