Trump: BRICS imekufa, imesambaratika, wenyewe wanaona aibu kusema tu!

... ana pesa ana madaraka ya taifa kubwa. They are not beggars!
They are dependant kuwepo hapo walipo kutokana na mataifa mengine they need allies, na wameweza kufanya mengi kwa kutengeneza bajeti kubwa kwa madeni kuliko nchi yoyote duniani sababu ya dollar; sasa bila hizi pumba huenda watu wangeona BRICS au delolarization ni pumba na hazina maana ila ukiona kwamba any time Kichaa anaweza kupata uskani wa nchi mliyoamini usishangae watu kuanza kutafuta alternative...

 
Mtu ana military bases duniani anaiba,anachonganisha,anapora anatokea mjinga mmoja anasema sio ombaomba.Lakini hasemi kama ni jambazi.Hawaombi lakini wanapora hapa mnatuambiaje.
 
Unaambiwa Modi mwenyewe ana kastoo kake ka dengu tu
 
I Mzee Jeuri Huyu hadi Raha Sio Biden Mzee Kapoa Umri Ushamtupa Mkono
 
India ni kirusi ktk muungano wa BRICS. Ni watumwa wa west hao.


Halafu sijawahi kuona mradi wao wowote nje ya nchi kuifanya vizuri.
Nawaonaga michosho tu.
TRC, ATC Waliingia nao mikataba ukute marejesho chungu nzima huko faida hakuna.
Leo naona Eti wanataka kupewa mradi wa umeme wa upepo 🤔🤔🤔
 
Huwa tunaambiana humu $ imefika mwisho wake.
Tuliwaambia malengo ya brics ni kuua dola na ni kama kikao cha wachawi, kikirushiwa jiwe moja tu kinasambaratika wachumi uchwara wa tandale wakaturushia matusi hapa! Ingekua ni kuhusu kukuza Uchumi wao angalau, dollar imejengwa kwa jasho na damu na kwa miaka mingi haishushwi kwa vikao! Sasa jiwe moja tu la Trump wote washapotea njia kila mtu anakuja kwa Trump kivyake kutubu!
 
Mzee Turump hawezi kuwa na maono mafupi kiwango hicho,hayo yatakuwa maneno tunalishwa.
 
Kwani wanachama wa BRICS humu JF kina Lee Van free Mathanzua TUJITEGEMEE Gagnija ITR Richard Sela Son wanasemaje?
 
China hana lolote anatuvimbiaga tu sisi huku tunaokunya maporini.

Mi mi Xi Jinping

Nyau de adriz
Kuna nyuzi nyingine zinashangaza sana hivi kweli habari za uhakika kuhusu BRICS uzipate kutoka kwa Trump? Mtu ambaye anaichukia BRICS!

Kila mwaka members wapya wanajiunga BRICS na kuna maombi yako pending eti leo unasikiliza habari kutoka unreliable source domo la Trump

Mkutano ujao wa BRICS utafanyika July 6-7 Rio de Janeiro, Brazil
 
Unaamini maneno ya Trump?
 
😂😂😂🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…