Trump: BRICS imekufa, imesambaratika, wenyewe wanaona aibu kusema tu!

Pumba tupu...tatizo mnafuatilia propaganda za Wademocrat...mnabeba nzima nzima alaf mnadhani mnajua...
P
 
BRICS imekufa huku anataka mazungumzo na Putin hilo jamaa limechanganyikiwa au ndo anaropoka bila mpango😂
 
Pumba tupu...tatizo mnafuatilia propaganda za Wademocrat...mnabeba nzima nzima alaf mnadhani mnajua...

P
Aisee inasikitisha sana yaani wewe kama your source of news ni Democrats au wapinzani wa Trump ndio unadhani ni kila mtu ? Tatizo watu mmeanza kumsikia Trump baada ya Kuwa nominated wakati watu tulimsikia kabla it is well documented kuhusu alivyodangaya utajiri wake ili apate loans, it is well documented kuhusu properties zake na money laundering.., well documented kuhusu his dubious deals mpaka Trump university n.k. usiwe mvivu karne hii ya information nje nje jaribu hata kutumia google...; na kuongea kuhusu propaganda kuna mtu mwenye propaganda kuliko Trump aliyeshikia bango uraia wa Obama na kuleta consipiracy za ajabu ajabu kuhusu deep state...
 
According to recent data, the combined population of BRICS countries and their partner states is approximately 4 billion people, representing roughly half of the world's population; this includes major populous nations like India, China, Brazil, and Nigeria (as a partner state).
 
Pumba tupu...tatizo mnafuatilia propaganda za Wademocrat...mnabeba nzima nzima alaf mnadhani mnajua...

P
Hujawahi kusikia Republicans wanompinga Trump kama John Bolton, Mike Pence, John Kelly n.k??
 
Eri
Eti habari za yanga ukamsikilize msemaji wa simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…