Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Ulianza kutambua lini kwamba Kamala ana asili ya "Buzebazeba" kule Kigoma?Uislam mwema sana.
Mboora kati yao ni mcha Mungu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulianza kutambua lini kwamba Kamala ana asili ya "Buzebazeba" kule Kigoma?Uislam mwema sana.
Mboora kati yao ni mcha Mungu.
Kama wewe ni mwanaume ni mwanaume tu haijalishi ulianza kujitambua au kujitambulisha lini kuwa mwanaume, hata hivyo Kamala Harris akiwa chuoni alikuwa mwanachama wa chama cha weusi cha Alpha Kappa Alpha sorority, akiwa seneta alikuwa ni member wa Congressional Black Caucus.Alianza lini kujitambua na kujitambulisha kwamba yeye ni mweusi/mwafrika?Katika nchi za Afrika,ana asili ya nchi gani?Anatafuta sympathies?
Uislam haujanifundisha kufatilia rangi ya mtu.Ulianza kutambua lini kwamba Kamala ana asili ya "Buzebazeba" kule Kigoma?
Kwa sababu weupe wa Trump ni hoja katika kuchaguliwa, kwa sababu pia weusi ni hoja katika kutochaguliwa.kwanini weusi wake iwe hoja ya kutaka kuchaguliwa?.
siku hizi ukitaka kuonewa huruma egemea upande wa WEUSI.
Hajifanyi, ni mweusi.Maneno ya trump hayahitaji uwe profesa kuyaelewa.
Anachoelezea trunp ni kwamba yule mam anajifanya mweusi wakati huu ili apate kura za watu weusi,na hilo trump ndio anawasanua watu kwamba kwa nini ajifanye ni mtu mweusi.
Sijaona uchochezi hapo
Sentensi yako ya mwisho umeonesha taharuki sana.Black Americans wengi siku hizi hawaishii kujitambulisha/kujitambua tu.Wanaenda mbali zaidi na kuzitambua nchi za asili yao.Labda,wewe mgeni wa hilo.Kama wewe ni mwanaume ni mwanaume tu haijalishi ulianza kujitambua au kujitambulisha lini kuwa mwanaume, hata hivyo Kamala Harris akiwa chuoni alikuwa mwanachama wa chama cha weusi cha Alpha Kappa Alpha sorority, akiwa seneta alikuwa ni member wa Congressional Black Caucus.
Pia uthibitisho wa u Black American hauhisiani kwa vyovyote na nchi ya Africa mtu anayotoka, Jamaica na Haiti wamejaa Blacks ambao ukiwauliza wametoka nchi gani za Africa utaonekana mwehu tu.
Waarabu walipoanza kuja Africa walikuwa wanawauza babu zetu kama bidhaa na waliwahasi babu zetu wengi tu waliowachukua utumwani.Uislam mwema sana.
Mboora kati yao ni mcha Mungu.
🤣🤣🤣🤣Unakacha ukweli.Huwa mnaupaisha weupe sana.Utasikia mtu anasema..."mzuri kama mwarabu"..."pua yake nzuri kama msomali"..."tunapika mapishi safi ya Kiajemi"...na kadhalika.Uislam haujanifundisha kufatilia rangi ya mtu.
Kwani weupe au weusi wa mtu ndiyo kigezo cha ubora wake?
Comment tata hii though nimekuelewa umemaanisha "Hana weusi wowote" hapo ulipoandika weupe........editKamala Harris n mzungu kabisa hana weupe wowote Trump he is right yuko sawa n kweli
General Lloyd Austin amejitambulisha ametoka nchi gani ya Africa?Sentensi yako ya mwisho umeonesha taharuki sana.Black Americans wengi siku hizi hawaishii kujitambulisha/kujitambua tu.Wanaenda mbali zaidi na kuzitambua nchi za asili yao.Labda,wewe mgeni wa hilo.
Pia fulani ana rangi ya mtume...🤣🤣🤣🤣Unakacha ukweli.Huwa mnaupaisha weupe sana.Utasikia mtu anasema..."mzuri kama mwarabu"..."pua yake nzuri kama msomali"..."tunapika mapishi safi ya Kiajemi"...na kadhalika.
Bado sijamfuatilia.Ila,ukumbuke na kuelewa;Wale weusi wa Haiti,Jamaica,Trinidad&Tobago nk wote asili yao ni nchi za Afrika.General Lloyd Austin amejitambulisha ametoka nchi gani ya Africa?
Baba yake Kamala ni black wa Jamaica, anza kumfuatilia yeye.Bado sijamfuatilia.Ila,ukumbuke na kuelewa;Wale weusi wa Haiti,Jamaica,Trinidad&Tobago nk wote asili yao ni nchi za Afrika.
Naona hamuelewi kuwa Rais wa Marekani hapatikani kutokana na sanduku la wapoiga kura.Kwa sababu weupe wa Trump ni hoja katika kuchaguliwa, kwa sababu pia weusi ni hoja katika kutochaguliwa.
Republic ni nini??Naona hamuelewi kuwa Rais wa Marekani hapatikani kutokana na sanduku la wapoiga kura.
Hivi hamuelewi kuwa USA ni Republic?
Mtu uko hapo mbalizi umeshiba viazi mbatata vya kuchemsha,unaita wenzio wapuuzi?Trump ni mpuuzi sana, ila ana kundi kubwa la Wamarekani wajinga wajinga MAGA ambao wana mkubali sana.
Trump hana hizo za Uzungu,Demo ndiyo wanampaint bad.Kwa sababu weupe wa Trump ni hoja katika kuchaguliwa, kwa sababu pia weusi ni hoja katika kutochaguliwa.
Hoja za ubaguzi, uhamiaji, kuilinda Israel zinalipa Sana huko kipindi hiki.Trump ni mpuuzi sana, ila ana kundi kubwa la Wamarekani wajinga wajinga MAGA ambao wana mkubali sana.