Kinjekitile Jr
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 566
- 1,583
ushauri wako!!! Ungependa nani atawale Marekani!?Anawapiga porojo tu. Wote hao hali moja tu kuhusu ushetani. Hakuna mwenye afadhali hapo, si Trump si Kamala.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ushauri wako!!! Ungependa nani atawale Marekani!?Anawapiga porojo tu. Wote hao hali moja tu kuhusu ushetani. Hakuna mwenye afadhali hapo, si Trump si Kamala.
Uislam.ushauri wako!!! Ungependa nani atawale Marekani!?
Trump akiwa Rais wa Marekani tena, nitamuommba Manara milioni nikupe wewe!Trump new president........
Mtoto wa shule Malizia home work kwwnzaTrump akiwa Rais wa Marekani tena, nitamuommba Manara milioni nikupe wewe!
Ahahahahaha!!Mtoto wa shule Malizia home work kwwnza
Sasa hapo kakosea nini au kusema ukweli?
Hahaha! Trump ni noma sana!Maneno ya trump hayahitaji uwe profesa kuyaelewa.
Anachoelezea trunp ni kwamba yule mam anajifanya mweusi wakati huu ili apate kura za watu weusi,na hilo trump ndio anawasanua watu kwamba kwa nini ajifanye ni mtu mweusi.
Sijaona uchochezi hapo