Trump: Harris Kamala ameamua "kugeuka mtu mweusi" kwa manufaa ya kisiasa

Maneno ya trump hayahitaji uwe profesa kuyaelewa.

Anachoelezea trunp ni kwamba yule mam anajifanya mweusi wakati huu ili apate kura za watu weusi,na hilo trump ndio anawasanua watu kwamba kwa nini ajifanye ni mtu mweusi.

Sijaona uchochezi hapo
Hahaha! Trump ni noma sana!
 
Kwanza hata hiyo event yenyewe ilikuwa imeandaliwa kibaguzi.
eti amekutana na waandishi wa habari weusi.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…