Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,061
- 16,753
Hivi mpaka sasa Trump hajajifunza kitu hasa baada ya missiles za Iran kushambulia military bases za US nchini Iraq bila kukosea shabaha, swali ni, je, nani aliwafundisha Wairan ku-manufacture silaha hizo na guidance/navigation systems za hali ya juu?
Trump ana uhakika gani kwamba wa Iran hawana silaha za nuklia mpaka sasa aidha kwa kutengeneza wao au kunununa ready made kutoka Korea Kaskazini au Pakistan - sioni kama Iran inaweza kubaki bila silaha za nuklia wakati Israel inazo na hakuna taasisi yoyote Duniani iliwahi kupendekeza kinu cha kufua plutonium katika kituo chao cha Domina jangwani Negev kikaguliwe - kwenye miaka ya 1960s Rais Kennedy alipo pendekeza Israel nayo ikaguliwe na kikosi kazi cha kuzuia usambaaji wa silaha za nuklia Kennedy hakuchukua raundi akauuwawa kikatiri!!