Trump: Iran acheni utapeli, ulaghai na kujikweza Hamna silaha za nyukilia hata moja na hamtakuja kuwa nazo

Trump: Iran acheni utapeli, ulaghai na kujikweza Hamna silaha za nyukilia hata moja na hamtakuja kuwa nazo

Wapigie cm waambie waongeze ziwe kumi

Maana hata baada ya DRONE yao Kugongwa walisogeza majeshi kama Yote Ila wakakimbia Wenyewe [emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji1312][emoji1312][emoji1312][emoji1312][emoji1312][emoji1312]



Sent using Jamii Forums mobile app


B52 sita zishaamsha kwenda mashariki ya kati

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwan IRAN Hajawahi Kusema Kama Hana Atomic Bomb Au Unahitajia Mpaka Aje Nani Kukuelezea Ama Aje Zarrif Mwenyewe [emoji23][emoji23][emoji23]
We jamaa bana unaongea Kama msemaji wa Iran vituko tupu. Yani US Mwenye vyombo lukuki vya uchunguzi ndo unabishana nao hapa na hayo maoni yako!
Huyo Generali watu aliowaua wao ndo hawakuomboleza eti?
Kwanini maombolezo ya kifo chake yawe ishu kuliko maombolezo ya watu aliohusika na vifo vyao mpaka Sasa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao walomuua general wamekufa mpaka watu waomboleze

Hem andika upya Kijana....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji2]Kwan Wakat DRONE Ya US Ikiripuliwa Ikiwa Katika Anga Zakimataifa Na IRAN Ikakiri US Ilichukua Hatua Gani [emoji2][emoji23][emoji12][emoji12][emoji14]

Nalile Lilikua Tangazo Lawazi Lavita

Huko Kuvamiwa Ubalozi Wa US Pia Likikua Tangazo Lavita DHIDI Ya IRAN

Kisasi Kulipwa Nilazima Tu Mkae Mkijua

US = PAPER TIGER

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu yangu bwana utamu nategemea kisasi cha maana kitakachotikisa kama kifo cha jenerali kilivyotikisa sio mnaenda kuwapa Hezbollah viroketi wakarushe israeli mmeseme mmelipa kisasi, au mratibu vimaandamo uchwara huko ubalozi wa US hapo iraq alafu mmeseme eti kisasi kimelipwa, onesheni kisasi cha kweli(kitu ambacho Irani hawezi fanya kamwe) ndio mtaona kilichomtoq kanga manyoya
 
Wanamchanganya PM wa Iraq makusudi,hiyo screen short Hapo juu inaeleza wazi waziri kapokea barua mkononi then anashangaa wanaruka kupitia media kuwa hiyo barua imevuja kimakosa
Kupokea ni jambo mija kuijibu ni jambo lingine mbona simple rule mkuu? Unajuaje maudhui ya barua nila kuifungua na kuisoma??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu yangu bwana utamu nategemea kisasi cha maana kitakachotikisa kama kifo cha jenerali kilivyotikisa sio mnaenda kuwapa Hezbollah viroketi wakarushe israeli mmeseme mmelipa kisasi, au mratibu vimaandamo uchwara huko ubalozi wa US hapo iraq alafu mmeseme eti kisasi kimelipwa, onesheni kisasi cha kweli(kitu ambacho Irani hawezi fanya kamwe) ndio mtaona kilichomtoq kanga manyoya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Screenshot_20200108-020038.png
 
Haya Sasa,mwenye dramu,huu ndo wakati muafaka w kuwahi filling station kujaza mafuta kabla Bei haijashoot ,kumekucha huku...
 
tayari sasa wameshashambulia kambia, una lingine?[emoji23]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Kwan IRAN Kajiapiza Nn Mkuu ?!


Ila Kuhusiana Na Swala Lakisasi Lazma Kilipwe Ila Hakitalipwa Kama Unavyotaka Ama Kukusudia Wewe

Maana najua wewe unataka IRAN Ashambulie Eidha Kambi Yakijeshi Moja Wapo Ya US Hapo Mashariki Yakati Ama Ashambulie Pengine Carrier Yake

Ila Kisasi Kitalipwa Katika Njia Ambayo C Wewe Mimi Wala US Wenye Wametarajia Ila Watalipwaa...

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kambi hiyo ni tupu..yaani walishahama

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi wao wanashambulia mtu kwa kumtaarifu?labda walikuwa wanajaribu kutikisa kiberiti hili wajue kama njiti bado zipo

USA wao wanashambulia bila kutaarifu maadui sasa nashamngaa Iran kama vile ameishiwa mbinu za kivita.labda ajaribu tena kulipiza kisasi kwa njia nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom