Trump: Iran acheni utapeli, ulaghai na kujikweza Hamna silaha za nyukilia hata moja na hamtakuja kuwa nazo

Trump: Iran acheni utapeli, ulaghai na kujikweza Hamna silaha za nyukilia hata moja na hamtakuja kuwa nazo

Kweli Kabisa
Modern war is about highly sophisticated equipments/weapons kitu ambacho US kamzidi Iran by far

Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini Unahisi IRAN Kuzidiwa Na US Kazidiwa Jana Naleo ?!

IRAN Toka Mwaka 1979 Alizidiwa Na US Tena Kuanzia Miaka Hio Ndio Alizidiwa Mbali Mnoo Ukilinganisha Nasasa

Ngojeeni Kisasi Wakuu Acheni Porojo Damu Ya Soleiman Haitapita BURE...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Km nakuona ulivyojitutumua kuandika hii
Siku zote mtu muoga atahakikisha anatamba na kujitangaza ana uwezo, juzi trump kaja na mbwembwe za kuwa anatumia trillion 2 kwenye vifaa vya jeshi (who cares?)

Leo kaja na mbwembwe ingine Iran hana silaha za nuclear.

Hizi ni dalili za mtu muoga na mwenye wasi wasi.

Trump unateseka? Mbona Trump anaogopa sana Iran?

Kaa mkao wa kula Iran si mtu wa kuchezea.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati wa mgogoro mkubwa kati ya Rais Trump na Kim jong Un watabiri na wachambuzi wa siasa za kimataifa walisema bayana kua ni vigumu kwa mataifa hayo kwenda vitani. Sababu kuu waliyoisema ilikua ni aina ya silaha ambazo nchi zote yaani N Korea na USA wanazimiliki. Ni ngumu kuanzisha vita ya nyukilia, vita hii haina mbabe.... Na si ajabu USA alikua mpole mbele ya Kim

Vivyo hivyo kwa iran, kama kweli angekua na silaha za nyukilia, isingelikua rahisi kwa USA kumuua kiongozi wao wa kijeshi. Ikumbukwe kua sheria za umoja wa mataifa zilivunjwa pale marekani walipoamua kumuua kiongozi halali wa kijeshi wa irani.

Wasi wasi niuonao ni kama Iran itaweza kulipa kisasi kwa USA, maana naamini kwa kufanya hivyo kutaibua vita kamili, kitu ambacho kitakua hatari kwa Iran maana vita itapiganiwa kwao. Washirika wa USA mashariki ya kati ndo itakua base za vikosi vya USA.

Swali ni je Russia na China wataingilia ugomvi ili kulinda masilahi yao mashariki ya kati? Na ikiwa watafanya hivyo USA na washirika wake (NATO) wataingia vitani?? Nini itakua hatma ya dunia??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Trump kapaniki,Netanyahu anamruka,msaidizi wa waziri was ulinzi wa marekani kajiuzulu,dhamira inamsuta kuwa wamebugi kumuua jamaa,wameona mamilioni ya watu wanavyoombeleza wanasikia moyoni kunawasuta,na Happ kichapo Bado,
View attachment 1314344
USA constitution raisi wa USA anauwezo wa kulipua nchi yoyote kama inatishiwa .
 
Kweli Kabisa Lakini Unahisi IRAN Kuzidiwa Na US Kazidiwa Jana Naleo ?!

IRAN Toka Mwaka 1979 Alizidiwa Na US Tena Kuanzia Miaka Hio Ndio Alizidiwa Mbali Mnoo Ukilinganisha Nasasa

Ngojeeni Kisasi Wakuu Acheni Porojo Damu Ya Soleiman Haitapita BURE...

Sent using Jamii Forums mobile app
Haya jamaa tusubiri maana naamini 99% Iran hatathubutu huu ujinga anaojiapiza saivi.

Nakumbuka SADAM alijiapizaga kama Gadafi wapo wapi saii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muwe mnasoma na kuelewa
Siku zote mtu muoga atahakikisha anatamba na kujitangaza ana uwezo, juzi trump kaja na mbwembwe za kuwa anatumia trillion 2 kwenye vifaa vya jeshi (who cares?)

Leo kaja na mbwembwe ingine Iran hana silaha za nuclear.

Hizi ni dalili za mtu muoga na mwenye wasi wasi.

Trump unateseka? Mbona Trump anaogopa sana Iran?

Kaa mkao wa kula Iran si mtu wa kuchezea.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani lini wamesema wanatoka
Naona waziri wa ulizi wa Marekani katia ngumu kuwa vikosi visitoke
==

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Haya jamaa tusubiri maana naamini 99% Iran hatathubutu huu ujinga anaojiapiza saivi.

Nakumbuka SADAM alijiapizaga kama Gadafi wapo wapi saii

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan IRAN Kajiapiza Nn Mkuu ?!

Ila Kuhusiana Na Swala Lakisasi Lazma Kilipwe Ila Hakitalipwa Kama Unavyotaka Ama Kukusudia Wewe

Maana najua wewe unataka IRAN Ashambulie Eidha Kambi Yakijeshi Moja Wapo Ya US Hapo Mashariki Yakati Ama Ashambulie Pengine Carrier Yake

Ila Kisasi Kitalipwa Katika Njia Ambayo C Wewe Mimi Wala US Wenye Wametarajia Ila Watalipwaa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Kwan IRAN Kajiapiza Nn Mkuu ?!

Ila Kuhusiana Na Swala Lakisasi Lazma Kilipwe Ila Hakitalipwa Kama Unavyotaka Ama Kukusudia Wewe

Maana najua wewe unataka IRAN Ashambulie Eidha Kambi Yakijeshi Moja Wapo Ya US Hapo Mashariki Yakati Ama Ashambulie Pengine Carrier Yake

Ila Kisasi Kitalipwa Katika Njia Ambayo C Wewe Mimi Wala US Wenye Wametarajia Ila Watalipwaa...

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha unataka Iran apewe sababu gani sasa ya kuingia vitani , watu wamemuua general kabisa mwenye ushawishi mkubwa tena bila sababu ya msingi, wamevunja sheria za kimataifa na kuwagusa pabaya na tena wakajitangaza na kujitapa kuwa wao ndio wamemuua sasa unataka nini tena ili uingie vitani kama anajiweza apige hata us base moja wapo happy middle East tuone mtanange wa mtu anavyochakazwa 😃😃😃😃😃
 
Back
Top Bottom