uingereza haijawahi kuwa adui wa Nyerere hata siku moja, Nyerere alikuwa ni mtu wao, alisoma huko siyo tu alisoma huko hata tabora boys ilikuwa chini ya english na alitayarishwa kuanzia huko na baadaye alifundisha St.Francis leo hii pugu hata umauti ulimkutia hospitalini huko huko english land, you have to understand mambo ya mwalimu Nyerere ni confusing wakati mwingine kwa maana kwanza hakuwa communist kama wengi labda wanavyodhania, Nyerere alikuwa ni devout Christian tulikuwa tunasali naye St. Peters, mke wake mpaka leo hii kwenye picha atleast anaonekana akiwa amevaa rosari shingoni sasa kwa nini ni confusing? ni kwa sababu communists ni antichrist, china (mao), soviet union, cuba, north korea ni atheis.
Jimmy Carter raisi wa capitalist USA alikuwa ni rafiki mkubwa wa Nyerer. real communists wako zanzibar kama yule A.Babu kwanza moja ya sababu kuu ya Nyerere kuunda muungano ni threat ya communist zanzibar as a neighbor, you see zanzibar is dangerous kwa maana ni communists.
idi amini aligombana na english empire wahindi waliofurumushwa uganda wengi walikuwa english citizens na ndiyo maana hawakurudi india bali wali-settle english commonwealth kama england kwenyewe, kanada na wengine australia na leo hii baadhi ni wana hold very powerful positions duniani, pia idi amini aligombana na israeli ...