Kijakazi
Platinum Member
- Jun 26, 2007
- 10,860
- 18,819
Who said Nyerere was a devoted communist? Nyerere was Marxist. Being a catholic doesn't disqualify anyone from being a Marxist, naijuia historia ya Mchonga sana, nimemuona si tu kanisani kusali naye bali hata Karimjee hall number of times(Bunge primary na Karimjee ni pua na mdomo).
Mchonga mwishoni alilegeza sana misimamo, we were shocked alipoenda kutibiwa UK(politically weren't in good terms back then) kwani TZ iliteswa sana na nchi za magharibi(minus Scandinavian countries) economically especially from the mid seventies mpaka pale Alhaji Mzee Mwinyi alipoingia na kubadilisha upepo.
Nyerere amekuwa na uhusiano wa on and off na marais wa Marekani but all in all he was never their darling.
NB: TZ ilikuwa bega kwa bega na Yasser Arafat kipindi hicho akiwa ni most wanted terrorist hivyo hata Nyerere uadui wake na Israeli ulikuwa dhahiri japo PLO waliamua kuwa upande wa Idd Amin kipindi cha vita.
Nyerere alibatizwa ( unaelewa maana ya ubatizo kwa Christians?) akiwa tabora boys isitoshe labda pia haujaelewa maana ya Marxism, marxism ni communism named after after karl marx na communists ni atheists, hivyo the fact that he was a Christian inam-disqualify kwenye marxism na communism, communists walikuwa akina A.babu na Zanzibar yote, Nkrumah, Siad barre wa somalia, Samora Machel, au yule haile mariam wa ethiopia au unafikiri ni kwa nini communist A.Babu aliondoka zanzibar? na ukiangalia hao communist niliowataja karibia wote suffered similar fate, aidha walipinduliwa or worth assasinated.
Nyerere aliunganisha zanzibar na tanganyika ili ku-neutralize communism ilikuwepo zanzibar na hiyo ndiyo sababu kuu ya huu muungano mengine yote ni blah blah tu, zanzibar baada ya mapinduzi ilenda full gaga communist na Nyerere hakuweza kuishi na full communst country only <50 km away.
lengo KUU la communism is to destroy Christianity, hiyo ndiyo sababu kuu ya kuanzishwa kwa communism mengine yote ni nyongeza tu, hivyo hauwezi kuwa Christian na wakati huo huo communist na ukiona kama kuna mtu anakwambia ni Christian halafu ni communist kuna mawili aidha huyo mtu ni naive na haelewi communism maana yake na lengo lake au trojan horse anayetumika, "inside job" ...