Nyerere angeikuta tanzania hii ya sasa je angeweza kutandika uganda?Ubabe wote wa Marekani, to me, seems nothing! Nilitegemea mpaka sasa Iran angelikuwa " non existent" with regard to military survival, ndiyo kwanza anaamsha masharubu kuliko huko nyuma.
Nyerere alikuwa na "maono" makubwa kuliko Trump with all mighty capabilities of military arsenals, power
Kinachopigana ni maono, umakini, maarifa, mbinu za kivita na si mlundikano wa vifaa vya kijeshi.
Wewe msomaji unasemaje?
Ya sasa haiwezi, ime concentrate kwenye wizi ja uchawa wa jwtzNyerere angeikuta tanzania hii ya sasa je angeweza kutandika uganda?
binafsi nadhani,Ubabe wote wa Marekani, to me, seems nothing! Nilitegemea mpaka sasa Iran angelikuwa " non existent" with regard to military survival, ndiyo kwanza anaamsha masharubu kuliko huko nyuma.
Nyerere alikuwa na "maono" makubwa kuliko Trump with all mighty capabilities of military arsenals, power
Kinachopigana ni maono, umakini, maarifa, mbinu za kivita na si mlundikano wa vifaa vya kijeshi.
Wewe msomaji unasemaje?
Koti la nyerere halihifadhi chawa endelea kuishi kwenye hivyo vijora vya mama yako wa kizimkazibinafsi nadhani,
Mwalimu J.K.Nyerere alijua na kufahamu vema kwamba, mapambano yoyote yale yanahitaji nidhamu ya kiwango cha juu sana na mipango mikakati madhubuti sana, na sio kujitutumua kwa ubabe, mihemko useless, kutukana na kuporomosha matusi tu dhidi ya unao pambana nao.
that's completely nonsense in any struggle 🐒
Ile vita Gadafi na Yasser Arafat walikuwa upande wa Idd Amin, Cuba ndiyo ilikuwa upande wa TZ.msichokifahamu labda ile ilikuwa ni proxy war, na kama mnafikiri ilikuwa ni “clever war” ( hakuna kitu kama claver war, vita zote ni mbaya) mnajidanganya, mpaka leo hii tanzagiza inalipa mahali kwa ajili ya ile vita aidha kwa rasilimali au hata labda cash btw sina uhakika kama vina uhusiano lkn gadafi aliichukua hoteli yetu nzuri ya bahari beach “bure” kwa sababu ya madenu aliyokuwa anatudai …
naona ukweli unakupanikisha gentleman, dah 🐒Koti la nyerere halihifadhi chawa endelea kuishi kwenye hivyo vijora vya mama yako wa kizimkazi
Jeshi la TZ la hawa chawa haliwezi kabisa kuikabili UG, jeshi hili linaweza kukabili waandamanaji tu lakini si la kukabiliana na armed soldiers kwani hata uwezo wa kukabiliana na armed rebels halina.Ya sasa haiwezi, ime concentrate kwenye wizi ja uchawa wa jwtz
Kwhiyo ikija civil war wanapigwa kama wa Idd AminJeshi la TZ la hawa chawa haliwezi kabisa kuikabili UG, jeshi hili linaweza kukabili waandamanaji tu lakini si la kukabiliana na armed soldiers kwani hata uwezo wa kukabiliana na armed rebels halina.
Ile vita Gadafi na Yasser Arafat walikuwa upande wa Idd Amin, Cuba ndiyo ilikuwa upande wa TZ.
Mwafrika akiamua kukubonda anabonda kweliUbabe wote wa Marekani, to me, seems nothing! Nilitegemea mpaka sasa Iran angelikuwa " non existent" with regard to military survival, ndiyo kwanza anaamsha masharubu kuliko huko nyuma.
Nyerere alikuwa na "maono" makubwa kuliko Trump with all mighty capabilities of military arsenals, power
Kinachopigana ni maono, umakini, maarifa, mbinu za kivita na si mlundikano wa vifaa vya kijeshi.
Wewe msomaji unasemaje?
Fasta tu, watasagwa kama sisimizi. Hawana uwezo kupambana na watu ambao wako armed.Kwhiyo ikija civil war wanapigwa kama wa Idd Amin
Sijanisha, lkn uko mbali na concept ya thread yangu!msichokifahamu labda ile ilikuwa ni proxy war, na kama mnafikiri ilikuwa ni “clever war” ( hakuna kitu kama claver war, vita zote ni mbaya) mnajidanganya, mpaka leo hii tanzagiza inalipa mahali kwa ajili ya ile vita aidha kwa rasilimali au hata labda cash btw sina uhakika kama vina uhusiano lkn gadafi aliichukua hoteli yetu nzuri ya bahari beach “bure” kwa sababu ya madenu aliyokuwa anatudai …
Uingereza pia kwa kipindi hicho alikuwa adui mkubwa wa Nyerere, the then kipenzi chao Jomo Kenyatta alikuwa adui mkubwa wa Nyerere na wish ya nchi za magharibi kumtoa Nyerere Mkomunist ilikuwa kubwa mno.uingereza pia walitaka kumtoa idi amini matter of fact alikuwa (idi amini) adui mkubwa wa uingereza kwanza alifukuza wahindi ambao waliletwa uganda kama vile walivyoletwa tamzagiza na english monarchy na kipindi hicho walikuwa ni subject wa english monarchy pili idi amini alikuwa islamist …
Uingereza pia kwa kipindi hicho alikuwa adui mkubwa wa Nyerere, the then kipenzi chao Jomo Kenyatta alikuwa adui mkubwa wa Nyerere na wish ya nchi za magharibi kumtoa Nyerere Mkomunist ilikuwa kubwa mno.
Fidel Castro & Josip Broz Tito ndiyo walikuwa fully supporters wa Nyerere. USSR na China couldn't take sides kwani hata Idd Amin alikuwa mtu wao.
Who said Nyerere was a devoted communist? Nyerere was Marxist. Being a catholic doesn't disqualify anyone from being a Marxist, naijuia historia ya Mchonga sana, nimemuona si tu kanisani kusali naye bali hata Karimjee hall number of times(Bunge primary na Karimjee ni pua na mdomo).uingereza haijawahi kuwa adui wa Nyerere hata siku moja, Nyerere alikuwa ni mtu wao, alisoma huko siyo tu alisoma huko hata tabora boys ilikuwa chini ya english na alitayarishwa kuanzia huko na baadaye alifundisha St.Francis leo hii pugu hata umauti ulimkutia hospitalini huko huko english land, you have to understand mambo ya mwalimu Nyerere ni confusing wakati mwingine kwa maana kwanza hakuwa communist kama wengi labda wanavyodhania, Nyerere alikuwa ni devout Christian tulikuwa tunasali naye St. Peters, mke wake mpaka leo hii kwenye picha atleast anaonekana akiwa amevaa rosari shingoni sasa kwa nini ni confusing? ni kwa sababu communists ni antichrist, china (mao), soviet union, cuba, north korea ni atheis.
Jimmy Carter raisi wa capitalist USA alikuwa ni rafiki mkubwa wa Nyerer. real communists wako zanzibar kama yule A.Babu kwanza moja ya sababu kuu ya Nyerere kuunda muungano ni threat ya communist zanzibar as a neighbor, you see zanzibar is dangerous kwa maana ni communists.
idi amini aligombana na english empire wahindi waliofurumushwa uganda wengi walikuwa english citizens na ndiyo maana hawakurudi india bali wali-settle english commonwealth kama england kwenyewe, kanada na wengine australia na leo hii baadhi ni wana hold very powerful positions duniani, pia idi amini aligombana na israeli ...
uingereza haijawahi kuwa adui wa Nyerere hata siku moja, Nyerere alikuwa ni mtu wao, alisoma huko siyo tu alisoma huko hata tabora boys ilikuwa chini ya english na alitayarishwa kuanzia huko na baadaye alifundisha St.Francis leo hii pugu hata umauti ulimkutia hospitalini huko huko english land, you have to understand mambo ya mwalimu Nyerere ni confusing wakati mwingine kwa maana kwanza hakuwa communist kama wengi labda wanavyodhania, Nyerere alikuwa ni devout Christian tulikuwa tunasali naye St. Peters, mke wake mpaka leo hii kwenye picha atleast anaonekana akiwa amevaa rosari shingoni sasa kwa nini ni confusing? ni kwa sababu communists ni antichrist, china (mao), soviet union, cuba, north korea ni atheis.
Jimmy Carter raisi wa capitalist USA alikuwa ni rafiki mkubwa wa Nyerer. real communists wako zanzibar kama yule A.Babu kwanza moja ya sababu kuu ya Nyerere kuunda muungano ni threat ya communist zanzibar as a neighbor, you see zanzibar is dangerous kwa maana ni communists.
idi amini aligombana na english empire wahindi waliofurumushwa uganda wengi walikuwa english citizens na ndiyo maana hawakurudi india bali wali-settle english commonwealth kama england kwenyewe, kanada na wengine australia na leo hii baadhi ni wana hold very powerful positions duniani, pia idi amini aligombana na israeli ...