Trump is striking Iran with no tangible output, but Nyerere struck Idd Amin with tangible results!


Nyerere alibatizwa ( unaelewa maana ya ubatizo kwa Christians?) akiwa tabora boys isitoshe labda pia haujaelewa maana ya Marxism, marxism ni communism named after after karl marx na communists ni atheists, hivyo the fact that he was a Christian inam-disqualify kwenye marxism na communism, communists walikuwa akina A.babu na Zanzibar yote, Nkrumah, Siad barre wa somalia, Samora Machel, au yule haile mariam wa ethiopia au unafikiri ni kwa nini communist A.Babu aliondoka zanzibar? na ukiangalia hao communist niliowataja karibia wote suffered similar fate, aidha walipinduliwa or worth assasinated.

Nyerere aliunganisha zanzibar na tanganyika ili ku-neutralize communism ilikuwepo zanzibar na hiyo ndiyo sababu kuu ya huu muungano mengine yote ni blah blah tu, zanzibar baada ya mapinduzi ilenda full gaga communist na Nyerere hakuweza kuishi na full communst country only <50 km away.

lengo KUU la communism is to destroy Christianity, hiyo ndiyo sababu kuu ya kuanzishwa kwa communism mengine yote ni nyongeza tu, hivyo hauwezi kuwa Christian na wakati huo huo communist na ukiona kama kuna mtu anakwambia ni Christian halafu ni communist kuna mawili aidha huyo mtu ni naive na haelewi communism maana yake na lengo lake au trojan horse anayetumika, "inside job" ...
 
Hizi akili zingine hizi!!

Huyo Idd Amin alikuwa na Jeshi na Silaha? Idd Amin huyo aliyesaidiwa ndege na Wanajeshi kutoka kwa Ghadafi?

Ucha mifano ya kijinga
 
..Nyerere aliwahi kuvunja mahusiano ya kibalozi na Uingereza.

..pia aliwahi kuvunja mahusiano na Ujerumani magharibi.

kwahi hiyo? kwani nchi xyz labda tuseme leo Kanada "ikivunja" kwa mfano mahusiano na USA leo hii kwa sababu ya labda carney haelewani na D.Trump na mambo ya tariffs na utofauti wa kimtazamo utasema kwamba Kanada haielewani na USA? au EU isipokubaliana na D.Trump na mambo ya tarrifs utasema huko mbele ya safari kwamba EU wamegombana na USA?

mpaka Nyerere anastaafu tanzagiza ilikuwa inategemea misaada > 70% na moja kati ya wahisani wakuu walikuwa Ujerumani Magharibi, Uingereza, Scandivian countries, USA na Kanada hawa wote ni capitalist countries, jwtz mpaka leo (au kama wameacha basi siyo muda mrefu uliopita) nafikiri bado wanapata misaada ktk ujerumani, kuna wanajeshi wa kijerumani nilishawahi kuwaona wamevaa magwanda ya jwtz mlimani city wakifanya shopping, walikuwa stationed lugalo nafikiri ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…