Sasa Trump ndo ana kingereza cha kiwaki hivi?Ni yeye mwenyewe nenda kwenye page yake ya Truth au Whitehouse utaikuta hiyo post
Kha hiyo ni barua kwa wakolosai sio mchezoMara ya mwisho Trump kuandika gazeti refu kama hili lini ?maana kalalamika sana humu😀 mpaka namuonea hurumaView attachment 3486928
Ubaya mwenzake Xi hayupo kwenye mitandao ya kijamii hivyo ni ngumu kujua hata anajali wala kuzingatia lalamiko la Trump.
Hivi huwa anaandika mwenyewe kweli? Nadhani social media account zake zipo managed na State house.Ni yeye mwenyewe nenda kwenye page yake ya Truth au Whitehouse utaikuta hiyo post
Mimi nahisi ni yeye mwenyewe maana kuna baadhi ya shombo huwa anatoa mtandaoni mpaka unajiuliza huyu ni Rais wa nchi kweli au mwenyekiti wa kikobaHivi huwa anaandika mwenyewe kweli? Nadhani social media account zake zipo managed na State house.
Xi Jinping kwanini haupo kwenye mitandao ya kijamii ?
China ilipompiga tu kwenye rare earths mzee kapagawa, bila rare earths Mmarekani hawezi kutengeneza silaha za maangamizi au kutengeneza bidhaa za high techs kama chipsMara ya mwisho Trump kuandika gazeti refu kama hili lini ?maana kalalamika sana humu😀 mpaka namuonea hurumaView attachment 3486928
Ubaya mwenzake Xi hayupo kwenye mitandao ya kijamii hivyo ni ngumu kujua hata anajali wala kuzingatia lalamiko la Trump.
Hii picha nikikoment kweny akaunti yake ya Truth au ya jd Vance kule x, sitatekwa na kuuawa na wanamtamdao wa uko USA?
Marekani kwenye teknolojia ya rare earth refining bado wana safari ndefu sanaMchina awe makini na hizi move za USA hii karata ya rare earth metals baada ya miaka kadhaa haitakuwa na nguvu, halafu ugomvi wao haitakiwi kuhusisha nchi zingine.