Ukizoea kufanya uhuni siku ukijakufanyiwa uhuni wa kweli basi utahisi kama vile unaonewa kumbe ni mambo Tu huwa yanabadilika. China Policy nadhani iko very clear kuwa wao hawatarusha "shot" ya Kwanza ili kuanzisha ugomvi au chokochoko lakini hawataruhusu adui arushe "shot" ya pili, it's very clear messages....