Trump kamuonya Ayatola ataingia kuwanusuru raia kama ataendelea kuwaua

Mdaiwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2025
Posts
1,147
Reaction score
2,919
Bi chura ajiandae. Salamu zishatumwa.

Trump katuma meseji ya wazi bila kumung’unya maneno kwa serikali ya kiislamu ya Iran akitoa tahadhari kuwa ataingia kuwanusuru raia wa Iran kama serikali itaendelea kuwauwa waandamanaji. Ujumbe huu umfikie bi chura. Siku zake zinahesabika.

Chawa na wenye akili kisoda hawawezi kuelewa
 
Bi chura ajiandae. Salamu zishatumwa.

Trump katuma meseji ya wazi bila kumung’unya maneno kwa serikali ya kiislamu ya Iran akitoa tahadhari kuwa ataingia kuwanusuru raia wa Iran kama serikali itaendelea kuwauwa waandamaji. Ujumbe huu umfikie bi chura. Siku zake zinahesabika.

Marekani nao priorities zao ziko upside down. Wameshindwa kujifunza kwamba juhudi zao za kupeleka demokrasia kwa Waarabu (Anti-American jihadists at heart) ni biashara kichaa. Over the years, they have sacrificed hundreds of thousands of lives and trillions of US dollars with literally nothing to show for them!

Misaada yao hiyo wanapaswa kuielekeza kwenye nchi zetu za Africa ambazo zina urafiki wa dhati (no ulterior motives)!
 
Trump aje na Tanzania ni muda muafaka Sasa wa wananchi kuomba special protection from US ....OFFICIAL LETTER SHOULD BE ADDRESSED TO TRUMP kumkamata Samia na kumpeleka The HAGUE
 
Maandamano wameinjinia wenyewe hao huu ndio mfupa mgumu Kwa Westerners Ayatollah washamshindwa wamebaki kulia lia tu, yule sio mtu wa kupiga piga magoti
Hakuna ujuacho. Mambo ni magumu sana Iran kwa sasa. Mfumko wa bei ndani ya miezi 2, umefikia 100%. Wairan kwa sasa 50% wanaishi chini ya mstari wa umaskini.
 
Marekani nao priorities zao ziko upside down. Wameshindwa kujifunza kwamba juhudi zao za kupeleka demokrasia kwa Waarabu (Anti-American jihadists at heart) ni biashara kichaa. Over the years, they have sacrificed hundreds of thousands of lives and trillions of US dollars with literally nothing to show for them!

Misaada yao hiyo wanapaswa kuielekeza kwenye nchi zetu za Africa ambazo zina urafiki wa dhati (no ulterior motives)!
Wazungu hawana kawaida ya kukata tamaa kwenye MISSION zao!

Hapo Iran atanyolewa tu
 
Back
Top Bottom