Shida ya kobasi ni elimu na kukurupuka,Dunia ya sasa hawataiweza kwa tabia zao hizoSubiri kobazi wa mtongani waje kushambulia uzi wako
mzee watateswa wote lakini sio IRAN, alafu hamas ni kikundi tu hakipo serikalini ni kama skaunt kwa uku! IRAN marekan hawezi sogea pale hata hali iwe mbaya vp yule anaongeea mara moja kinachofuata ni vitendoHuyu huyu Iran ambae assasination ya viongozi wa Hamas ilifanyikia hapo hapo tehran au Iran yupi unamuongelea?
Shida ya kobasi ni elimu na kukurupuka,Dunia ya sasa hawataiweza kwa tabia zao hizoSubiri kobazi wa mtongani waje kushambulia uzi wako
😀😀😀😀Iran ajaribu kuua Raia wake aone,2026 utawala mpya unasimikwa palemzee watateswa wote lakini sio IRAN, alafu hamas ni kikundi tu hakipo serikalini ni kama skaunt kwa uku! IRAN marekan hawezi sogea pale hata hali iwe mbaya vp yule anaongeea mara moja kinachofuata ni vitendo
Kwani siwalijaribu, ila ile mvua ya mawe ilivyonyesha Kwa mwanae mpendwa pamoja na Qatar akaona muajemi sio mtu mzuri, ile mvua iliwashtua mpaka ulaya wamemtia vikwazo vipya muajemi. Muajemi utaratibu wake njoo piga ila namimi nikuonyeshe Kama unataka Marathon poa unataka za chap freshHuyu huyu Iran ambae assasination ya viongozi wa Hamas ilifanyikia hapo hapo tehran au Iran yupi unamuongelea?
Mwaka huu 2026 utawala mpya unasimikwa Iran,mtake msitake,Dunia ina wenyewe hiiKwani siwalijaribu, ila ile mvua ya mawe ilivyonyesha Kwa mwanae mpendwa pamoja na Qatar akaona muajemi sio mtu mzuri, ile mvua iliwashtua mpaka ulaya wamemtia vikwazo vipya muajemi. Muajemi utaratibu wake njoo piga ila namimi nikuonyeshe Kama unataka Marathon poa unataka za chap fresh