Marekani nao priorities zao ziko upside down. Wameshindwa kujifunza kwamba juhudi zao za kupeleka demokrasia kwa Waarabu (Anti-American jihadists at heart) ni biashara kichaa. Over the years, they have sacrificed hundreds of thousands of lives and trillions of US dollars with literally nothing to show for them!Bi chura ajiandae. Salamu zishatumwa.
Trump katuma meseji ya wazi bila kumung’unya maneno kwa serikali ya kiislamu ya Iran akitoa tahadhari kuwa ataingia kuwanusuru raia wa Iran kama serikali itaendelea kuwauwa waandamaji. Ujumbe huu umfikie bi chura. Siku zake zinahesabika.
Chawa na wenye akili kisoda hawawezi kuelewa
Bi chura ajiandae. Salamu zishatumwa.
Trump katuma meseji ya wazi bila kumung’unya maneno kwa serikali ya kiislamu ya Iran akitoa tahadhari kuwa ataingia kuwanusuru raia wa Iran kama serikali itaendelea kuwauwa waandamaji. Ujumbe huu umfikie bi chura. Siku zake zinahesabika.
Chawa na wenye akili kisoda hawawezi kuelewa
Hakuna ujuacho. Mambo ni magumu sana Iran kwa sasa. Mfumko wa bei ndani ya miezi 2, umefikia 100%. Wairan kwa sasa 50% wanaishi chini ya mstari wa umaskini.Maandamano wameinjinia wenyewe hao huu ndio mfupa mgumu Kwa Westerners Ayatollah washamshindwa wamebaki kulia lia tu, yule sio mtu wa kupiga piga magoti
Ni swala la muda tu Trump ataruka na bi churaTrump aje na Tanzania ni muda muafaka Sasa wa wananchi kuomba special protection from US ....OFFICIAL LETTER SHOULD BE ADDRESSED TO TRUMP kumkamata Samia na kumpeleka The HAGUE
🤣🤣🤣Bi chura shikamoo
Trump anauliza unaendeleaje?!
Ni swala la muda tu Trump ataruka na bi chura
Mkuu gturn hawajamshindwa wanamlia timing tu.Maandamano wameinjinia wenyewe hao huu ndio mfupa mgumu Kwa Westerners Ayatollah washamshindwa wamebaki kulia lia tu, yule sio mtu wa kupiga piga magoti
Kivipi mkuu?Iran ikiingi kwenye civil war basi itabidi dunia ijifunze mitaala ya Mossad
Maandamano ya Iran ni highly organized na Plan zake ni hatari sana.Kivipi mkuu?
Wazungu hawana kawaida ya kukata tamaa kwenye MISSION zao!Marekani nao priorities zao ziko upside down. Wameshindwa kujifunza kwamba juhudi zao za kupeleka demokrasia kwa Waarabu (Anti-American jihadists at heart) ni biashara kichaa. Over the years, they have sacrificed hundreds of thousands of lives and trillions of US dollars with literally nothing to show for them!
Misaada yao hiyo wanapaswa kuielekeza kwenye nchi zetu za Africa ambazo zina urafiki wa dhati (no ulterior motives)!
iran sio mrahisi ivoWazungu hawana kawaida ya kukata tamaa kwenye MISSION zao!
Hapo Iran atanyolewa tu
And of course the USA is going to incur another unnecessary loss of lives and taxpayers money. Democratizing the Arab world is elusive!Wazungu hawana kawaida ya kukata tamaa kwenye MISSION zao!
Hapo Iran atanyolewa tu