Pulchra Animo
Platinum Member
- Jun 16, 2016
- 8,620
- 15,134
Ayatollah atapigwa chini na Iranians wenyewe (internal disintegration)!Maandamano wameinjinia wenyewe hao huu ndio mfupa mgumu Kwa Westerners Ayatollah washamshindwa wamebaki kulia lia tu, yule sio mtu wa kupiga piga magoti
Yamemkuta vipi haya!?iran sio mrahisi ivo
iran inafanyiwa fitnna na MOSSAD however bado IRAN sio mrahisi ivo, ni one of the strongest dunianiYamemkuta vipi haya!?
Kama ni strongest anafanyiwaje fitina!? Je, Tanzania anaweza mfanyia fitina Marekani!?iran inafanyiwa fitnna na MOSSAD however bado IRAN sio mrahisi ivo, ni one of the strongest duniani
kuna kitu hukielewi, IRAN ni tatizo kubwa sana kwa israel na netenyau anafanya juu chini utawala wa iran uporomokeKama ni strongest anafanyiwaje fitina!? Je, Tanzania anaweza mfanyia fitina Marekani!?
Wewe ndiye ulikuwa hukielewi au ulisahau hapo nilipobold ndiyo ulitakiwa useme hivyo na si kusema Iran ni strongest.kuna kitu hukielewi, IRAN ni tatizo kubwa sana kwa israel na netenyau anafanya juu chini utawala wa iran uporomoke
wanatafuta nini?CIA nasikia wapo kazini kimya kimya
Nishati,walimtoa shah baada ya kuwataka walipe mirabaha stahiki kwenye mafuta,wakamtumia ayatollah Khomeini wakaingia nae mikataba kuwa akiingia watanyonyawanatafuta nini?
Inawezekanaje marekani ashawishi watu wote hao kuandamana?wameingiaje hapo iran,intelegensia ya Iran ilikua wapi?Maandamano wameinjinia wenyewe hao huu ndio mfupa mgumu Kwa Westerners Ayatollah washamshindwa wamebaki kulia lia tu, yule sio mtu wa kupiga piga magoti
iran inafanyiwa fitnna na MOSSAD however bado IRAN sio mrahisi ivo, ni one of the strongest duniani
Halafu serikali yao inawezekeza kwa vikundi vya kigaidi na kuunda masilaha ya nuclear.Hakuna ujuacho. Mambo ni magumu sana Iran kwa sasa. Mfumko wa bei ndani ya miezi 2, umefikia 100%. Wairan kwa sasa 50% wanaishi chini ya mstari wa umaskini.
Ni suala la.muda tu ayatollah hatakuwa mtawala wa iran, kwani maduro alitegemea leo awe mkimbiziiran sio mrahisi ivo
Hela wana.print wenyewe sio shida zaoAnd of course the USA is going to incur another unnecessary loss of lives and taxpayers money. Democratizing the Arab world is elusive!
Kutokuwa mtawala wa Iran na kubadili sera ya Iran ni vitu viwili tofauti..Ni suala la.muda tu ayatollah hatakuwa mtawala wa iran, kwani maduro alitegemea leo awe mkimbizi
Lakini roho za watu hawatengenezi.Hela wana.print wenyewe sio shida zao
Utaelewa tuKutokuwa mtawala wa Iran na kubadili sera ya Iran ni vitu viwili tofauti..
Huyu huyu Iran ambae assasination ya viongozi wa Hamas ilifanyikia hapo hapo tehran au Iran yupi unamuongelea?iran sio mrahisi ivo