Trump kawadhalilisha wayahudi wa Tandale

Trump kawadhalilisha wayahudi wa Tandale

Unaamini anacho SEMA trump? Bro HIZO ni akili zavita, JAMAA anatafuta kuungwa mkono isionekane anamuonea, UKITAKA KUMUUA mbwa mpe JINA BAYA, vita inapiganwa kisasa MKUU, Kuna MTU ananyongonyeshwa hapo
Trump akiamua lake huwa hangoji kuungwa mkono. Na ndomaana alipoivamia nchi dhaifu kama Venezuela hakujali habari za kuungwa mkono.

Lakini huku kwa Iran kakuta mziki ni mkubwa na kuuingia kuucheza ni kazi kubwa, hivyo kaamua kubwabwaja bwabwaja ili kumtishia nyau Ayatollah, kitu ambacho jemedari wa vita Ayatollah hatishiki nacho hata siku 1.
 
Mbona unapayuka kama kuku aliekatwa kichwa!!

Sadam hakuwai kurusha hata jiwe Israel, lkn Iran imerusha makombora na kuiponda ponda Israel hadi Netanyahu akawa analala handakini kama panya.

Sadam hakuwa kuwa na silaha yoyote zaidi ya skadi, Iran ana makombora hatari ulimwenguni, na baadhi ya makombora hayo amewapa vijana wake Houth wayavurumishe Israel anytime na kufunga njia ya bahari muda wanaojisikia.
Ndiyo maana ulikuwa unajisifia mwenyewe badala ya kusifiwa na wengine.

Israel kwenye vita vya siku 12 iliua
Sasa unapoona Netanyahu kila siku anakwenda Marekani na kurudi kama mtu alieshikwa na tumbo la kuhara na choo, ujue anakuwa anatambua nguvu za Iran na hivyo anaogopa kum face mwenyewe mpaka apate usaidizi kutokana nje ambao hata hivyo wote wawili Marekani na Israel watashindwa.

watu zaidi ya 1,000 wakiwemo viongozi wakubwa wa Jeshi la Iran IRGC akiwemo Mkuu wa Majeshi. Na hakuna Ndege-Vita yoyote ya Israel iliyoangushwa na hakuna Askari yeyote wa Israel aliyeuwawa na magaidi hao. Ulivyo mjinga hilo hulioni umekalia kubwabwaja tu!!!!
Hapo sijazungumzia drone zake ambazo zimebadilisha uelekeo wa vita ya urusi kule Ukraine na kusababisha raisi wa Ukraine aishi kwa mashaka na wasi wasi mkubwa.
Nakuambia wewe ujinga unakusumbua, Urusi ni Supapawa hujiulizi kwa nini imemchukua miaka 4 anahangaika na Ukraine? Hizo drones kwa miaka 4 zimemsaidia nini Mbona Askari wake wanapukutika kama nzige huko Ukraine.? Russia hiyo vita ilishamshinda hawezi na ndiyo maana Ana Tumia hata Mamluki kutoka Afrika ambao wana Fundishwa Mwezi mmoja baada wanapelekwa mstari wa mbele kuuwawa na drones za Ukraine.

Sasa unapoona Netanyahu kila siku anakwenda Marekani na kurudi kama mtu alieshikwa na tumbo la kuhara na choo, ujue anakuwa anatambua nguvu za Iran na hivyo anaogopa kum face mwenyewe mpaka apate usaidizi kutokana nje ambao hata hivyo wote wawili Marekani na Israel watashindwa.

Mark my words 🤞
Nasema tena wewe ni Mjinga maana hujui kuwa Marekani na Israel ni Washirika (Allies) hivyo si ajabu wanaposhirikiana kwa kila jambo maana ndiyo maana halisi ya ushirika!!!!
 
Mbona hawajayatumia kupiga Israeli wakarusha rasharasha zilizooshwa juu kwa juu, inaonekana humjui Trump kijana
Ni tel Aviv siyo Gaza, baada ya hapa wakaongea na marekani na waarabu wamwambie Iran aache
 

Attachments

  • IMG_20260123_235951_206.jpg
    IMG_20260123_235951_206.jpg
    55.2 KB · Views: 18
  • IMG_20260123_235938_842.jpg
    IMG_20260123_235938_842.jpg
    55.1 KB · Views: 19
  • IMG_20260124_000003_530.jpg
    IMG_20260124_000003_530.jpg
    47.8 KB · Views: 22
Ndiyo maana ulikuwa unajisifia mwenyewe badala ya kusifiwa na wengine.

Israel kwenye vita vya siku 12 iliua


watu zaidi ya 1,000 wakiwemo viongozi wakubwa wa Jeshi la Iran IRGC akiwemo Mkuu wa Majeshi. Na hakuna Ndege-Vita yoyote ya Israel iliyoangushwa na hakuna Askari yeyote wa Israel aliyeuwawa na magaidi hao. Ulivyo mjinga hilo hulioni umekalia kubwabwaja tu!!!!

Nakuambia wewe ujinga unakusumbua, Urusi ni Supapawa hujiulizi kwa nini imemchukua miaka 4 anahangaika na Ukraine? Hizo drones kwa miaka 4 zimemsaidia nini Mbona Askari wake wanapukutika kama nzige huko Ukraine.? Russia hiyo vita ilishamshinda hawezi na ndiyo maana Ana Tumia hata Mamluki kutoka Afrika ambao wana Fundishwa Mwezi mmoja baada wanapelekwa mstari wa mbele kuuwawa na drones za Ukraine.


Nasema tena wewe ni Mjinga maana hujui kuwa Marekani na Israel ni Washirika (Allies) hivyo si ajabu wanaposhirikiana kwa kila jambo maana ndiyo maana halisi ya ushirika!!!!
Busara ni kukupuuza tu ili kujilindia heshima yangu kwa watu wenye akili na uelewa mkubwa kama mimi.
 
T
Rasha rasha zilizooshwa jujuu!!!

Ndiomaana nikasema wenye akili timamu tu ndo huelewa nlichoandika.

Hebu muangalie Netanyahu wa kabla ya vita.

Na Netanyahu wa wakati wa vita ili uone ni jinsi gani Netanyahu mwenyewe alikuwa halali, hapigi mswaki wala kula.

Vita ya siku 12 tu, mtu kapururuka namna hiyo. Je ngoma ingeenda miezi?

Hapo nimeshaona ni kwanini alimwambia Trump aombe vita isimame 🤣🤣🤣

Na hapo Iran walitumia makombora ya zamani ambayo huwa wanawapa houth bure waihenyeshe Israel kwao 🤣🤣🤣

Trump ataishia kuwa mwamba kwa Maduro tu, lkn sio kwa Ayatollah.. NEVER
View attachment 3548866

Busara ni kukupuuza tu ili kujilindia heshima yangu kwa watu wenye akili na uelewa mkubwa kama mimi.
Akili zako zimejaa Makamasi huwezi kusimama na Mimi wadanganye tu wajinga wenzako ambao hawajui kitu kazi Yao ni kutumika tu kama condoms kueneza Propaganda za Chuki na waarabu.

Ukitaka kuja kushindana na Mimi Njoo umejipanga na uwe na Facts Wala si kuniletea story za kwenye Kahawa Mimi huwezi kunimezesha ujinga. Waulize Wafuga Midevu na Majini wenzako wananiombea kila siku nitoke JF ili wanaweza kueneza Propaganda za uongo na chuki dhidi ya Israe.

Nilishawaambia Mimi sihami JF pamoja na wao kupeleka UMBEYA kwa viongozi Siwezi kuacha wajinga wachache wapoteze maana halisi ya JF kuelimisha watu.
 
T



Akili zako zimejaa Makamasi huwezi kusimama na Mimi hata wanakula he’s him a ni wajinga wenzako ambao hawajui kitu kazi Yao ni kutumika tu kama condoms na Propaganda za Chuki na waarabu.

Ukitaka kuja kushinda a na Mimi Njoo umejipanga na uwe na Facts kuniletea story za kwenye Kahawa Mimi huwezi waulize Wafuga Midevu na Majini wenzako watakuja bila kila siku wanaombea nitoke JF ili wanaweza kueneza Propaganda za uongo na chuki dhidi ya Israe.

Nilishawaambia Mimi sihami JF pamoja na wao kupeleka UMBEYA kwa viongozi Siwezi kuacha wajinga wachache wapoteze maana halisi ya JF kuelimisha watu.
Mwenye akili hajisifu ukiona mtu anajisifia ana akili muweke kwenye kundi la vichaa
 
Tatizo lenu ninyi Mazuzu hamjui Geopolitics!! Hata Dikteta Saddam Hussein aliambiwa ana silaha za maangamizi ili tu kuhalalisha kipigo kwake.

Hata waswahili husemi ukitaka mbwa apigwe wewe mpe jina baya atapigwa mtaa mzima.

Wajinga kama ninyi hamjui Geopolitics ndiyo maana mnabwabwaja sana kama Mazuzu!!
Leo umekiri kuwa hata Iran na Iraq walisingiziwa tu!! Sasa Acha kushinda humu kulalamika kuhusu ugaidi sijui nuclear za Iran ilihali ushakiri ni UONGO.
 
Mazungumzo ya leo Acha yashindwe tu ili magaidi wa Iran wapigwe kipigo cha Mbwa-koko haiwezekani wamiliki silaha za nuclear wakati wana Nia ovu ya kutaka kuliangamiza Taifa Kingine!!!!

Sadamu Husein naye alikuwa na Nia ovu dhidi ya Israel alikuwa eliminated lakini kwa kuwa Wafuga Midevu na Majini hawasikii Iran naye amejichomeka Acha tu naye aliwe kichwa maana hakuna namna!!
 
Mazungumzo ya leo Acha yashindwe tu ili magaidi wa Iran wapigwe kipigo cha Mbwa-koko haiwezekani wamiliki silaha za nuclear wakati wana Nia ovu ya kutaka kuliangamiza Taifa Kingine!!!!

Sadamu Husein naye alikuwa na Nia ovu dhidi ya Israel alikuwa eliminated lakini kwa kuwa Wafuga Midevu na Majini nawasikia Iran naye amejichomeka Acha tu naye aliwe kichwa maana hakuna namna!!
Si umesema hizo silaha hawana ni uongo sasa hiki ulichoandika hapa huoni unapotosha kuhusu nuclear?

We jamaa ni kichekesho sana.
 
Jidanganye. Hapo mwana anatafuta justification tu toka congress ili ayatollah awahishwe kwa bikra 72.
Justificationa USA anazo ELFU NA MAELFU. Iran amekataa kusalimisha enriched uranium na amesema yuko mbioni kuunda nuke weapons. Hiyo ni JUSTIFICATION TOSHA.
 
T



Akili zako zimejaa Makamasi huwezi kusimama na Mimi hata wanakula he’s him a ni wajinga wenzako ambao hawajui kitu kazi Yao ni kutumika tu kama condoms na Propaganda za Chuki na waarabu.

Ukitaka kuja kushinda a na Mimi Njoo umejipanga na uwe na Facts kuniletea story za kwenye Kahawa Mimi huwezi waulize Wafuga Midevu na Majini wenzako watakuja bila kila siku wanaombea nitoke JF ili wanaweza kueneza Propaganda za uongo na chuki dhidi ya Israe.

Nilishawaambia Mimi sihami JF pamoja na wao kupeleka UMBEYA kwa viongozi Siwezi kuacha wajinga wachache wapoteze maana halisi ya JF kuelimisha watu.
Unaweza kuona jinsi comments zako zinavyopuuzwa hata na wale wavaa pampaz wenzako. Hii inamaana kuwa kila unachoandika au ku comment hakieleweki na hakina maana yoyote.

Dunia ya leo sio ya mwaka 47 ambapo watu waliaminishwa kuwa wayahudi ni watu wa Mungu, lkn leo tunaona kwa macho yetu wanavyolawitiwa na kukandamizwa vibunzi toboni na wanaume wenzao. Watu waliaminishwa kuwa Israel ni taifa la Mungu, lkn leo tunashuhudia kuwa mwenye Israel ni Shetaninyau akishirikiana na wauaji wenzake kina Trump. Watu waliambiwa kwamba ardhi ya Israeli inalindwa na Mungu, lkn leo tunaona jinsi vijana wa Houth wanavyoihenyesha wanavyotaka hali inayopelekea Shetaninyau nyau na genge lake waishi kwa mashaka kwenye nchini humo.

Najua bado hujachelewa. Kaa tafakari vizuri, na ushirikishe akili yako mwenyewe kuchambua mambo ili siku nyingine usiendelee kuja humu na hoja za hovyo zisizokuwa na mashiko wala ushahidi wowote.

UTADHALILIKA MNO sababu ya kuja na utetezi wa hovyo!
 
Leo umekiri kuwa hata Iran na Iraq walisingiziwa tu!! Sasa Acha kushinda humu kulalamika kuhusu ugaidi sijui nuclear za Iran ilihali ushakiri ni UONGO.
Huyu jamaa anaonekana kuwa ni mtu aliechoka akili na mwili. So muda mungine ni kumsamehe na kumpuuza tu, maana 90% huwa hajui aandikalo.
 
Si umesema hizo silaha hawana ni uongo sasa hiki ulichoandika hapa huoni unapotosha kuhusu nuclear?

We jamaa ni kichekesho sana.
Mkuu mi nimenawa mikono. Hapo hakuna mtu. Ni sawa na kubishana na box tupu kutwa nzima.
 
Si umesema hizo silaha hawana ni uongo sasa hiki ulichoandika hapa huoni unapotosha kuhusu nuclear?

We jamaa ni kichekesho sana.
Huna habari kuwa Israel ilihararibu kinu cha nuclear cha Iraq huko Osirak? Endelea kujitoa ufahamu sasa lakini ujue Israel si wajinga kama unavyofikiria!!!
 
Unaweza kuona jinsi comments zako zinavyopuuzwa hata na wale wavaa pampaz wenzako. Hii inamaana kuwa kila unachoandika au ku comment hakieleweki na hakina maana yoyote.
Mfuga midevu na Majini wewe Nani alikudanganya kuwa comments zangu zinapuuzwa!! Ukizipuuza wewe wenzako wanasoma na wanaolewa unabaki wewe tu zuzu!!
Dunia ya leo sio ya mwaka 47 ambapo watu waliaminishwa kuwa wayahudi ni watu wa Mungu
Mpaka leo hii bado ni watu wa Mungu maana Mungu si mwanadamu hata abadirike!!!
lkn leo tunaona kwa macho yetu wanavyolawitiwa na kukandamizwa vibunzi toboni na wanaume wenzao.
Huoni wewe wafungwa waliofanya ugaidi unajua huko gerezani wanafanya wa nini?
Watu waliaminishwa kuwa Israel ni taifa la Mungu, lkn leo tunashuhudia kuwa mwenye Israel ni Shetaninyau akishirikiana na wauaji wenzake kina Trump. Watu waliambiwa kwamba ardhi ya Israeli inalindwa na Mungu, lkn leo tunaona jinsi vijana wa Houth wanavyoihenyesha wanavyotaka hali inayopelekea Shetaninyau nyau na genge lake waishi kwa mashaka kwenye nchini humo.
Israel ni Taifa teule liliweza kupigana pande Saba na likashinda waliweza kupigana na Hamas,Hezbollah,Houth,waliokuwa waasi huko Syria na Iraq, magaidi wa West-Bank na mfadhili wao Mkuu Iran.

Mpaka sasa hivi magaidi hao wameufyata na wanapigwa kama Ngoma na hawawezii hata kurusha jiwe israel kuhofia kipigo cha mbwa-koko kutoka kwa majeshi
O
UTADHALILIKA MNO sababu ya kuja na utetezi wa hovyo!
unakumbuka wewe ulipokuwa unataka kutuaminisha kuwa Magaidi wa Iran wamewekewa vikwazo na US kwa miaka 50!,, Na Mimi ningekuwa zuzu kama wewe ningekubaliana na UHARO wako huo lakini nilikupinga kwa nguvu zote mjinga wewe na nikakuambia ukawadanganye Mabumunda wenzako huko!!
 
Back
Top Bottom