Trump kawadhalilisha wayahudi wa Tandale

Niaje waungwana

Mimi ni miongoni mwa watu wachache wenye uwezo wa kuongea ukweli, hata kama ukweli huo utakubaliwa na wachache na kukataliwa na wengi.

Kwa wakongwe wa jukwaa hili la mambo ya kimataifa haswa kuhusu mambo ya Iran, Israel, Marekani nk nafikiri mnanifahamu vizuri kwenye uchambuzi murua wenye ukweli na uhakika.

Miaka mitatu au minne iliyopita niliwahi kuzungumzia nguvu na uwezo mkubwa wa kijeshi iliyonayo Iran. Na ninakasema kwamba pamoja na nchi hiyo kuwa na vikwazo vikubwa vya kiuchumi, na kijeshi vilivyodumu kwa zaidi ya miaka 50, lkn nchi hiyo imekuwa na uwezo mkubwa mno wa kijeshi kuliko nchi nyingi ambazo hazina vikwazo ikiwemo Israel (inayotegemea silaha kutoka Marekani), zingine ni Saudi Arabia, Jordan nk. Wenye akili timamu walikubaliana na mimi, ila wale ambao waliozoea kulishwa matango pori walibisha kwamba Iran haina silaha wala nguvu yoyote ya kijeshi kama ninavyosema.

Mungu si athumani tukaja kushuhudia vita ya Iran na Israel mara mbili, ambapo mara zote Israel ilionekana kuchakazwa vibaya sana, na mifumo yake ya ulinzi THAAD, Iron Dome nk kuchanwa chanwa kama tambala bovu.

Baada ya hapo Israel ikaanza kuiogopa Iran na kuamua kuidondokea Marekani imsaidie kupambana na Iran. Hata hivyo Marekani imeonekana kugwaya baada ya kugundua kwamba Iran ina makombora ambayo yanaweza kupiga nchi yoyote ya Ulaya na Marekani kwa ujumla.

Ndiomaana Trump alipoomba Uingereza impe kisiwa chake ili akitumie kwa ajili ya kupambana na Iran, Muingereza aliogopa na kumtolea nje Trump, cause wanamjua vizuri Ayatollah Khomeini huwa hana muda wa kucheka na kima. Wewe ukiweka ugoko yeye anaponda na jiwe tu 🤣🤣🤣🤣🤣

Trump anasema sasa Iran wameunda makombora ambayo yanaweza kufika katika Jimbo lolote la Marekani. Hii ni kwa mujibu wa Trump mwenyewe alipokuwa akihutubia bungeni.

Hii kauli ya Trump kwamba kwa sasa Iran ina makombora ya kupiga nchi yoyote ya Ulaya na Marekani kwa ujumla inaonekana imepiga kwenye mshono wa wayahudi wa Tandale ambao hawakupenda kabisa Dunia iujue ukubwa wa nguvu za Iran daima.

Imagine hiyo miaka 50 Iran ingekuwa haina vikwazo vya silaha na uchumi kama Israel, leo hii ingekuwa na silaha za namna gani na uwezo wa aina gani kijeshi!View attachment 3548861View attachment 3548862
Wayahudi wa Tandale ni watu hatari sana 🙆

Ona sasa Ayatollah kashaliwa kichwa huko 😄😄
 
Attachments

  • 1772341555410.jpg
    1772341555410.jpg
    82.1 KB · Views: 24
Cc Echolima1 muosha vyoo Tela Aviv atabisha sababu siku hizi bila kunusa uharo wa Tela Aviv inakuwa shinda.
Muwe mnaacha kujiongelesha kienyeji. Vita sio zamu ya kuosha vyombo msiwe mnalazimisha mbinu zenu ndio ziwe mwongozo. Mtu akiwaacha mnachonga sana midomo. Jifunze kunyamaza mtakufa kwa shinikizo la damu.

Mtaanzisha nyuzi nyingi mara Haniyeh, mara Nasrallah, mara Ayatollah ila hitimisho huwa ni moja. Kwahiyo sasa hapo Iran tujiandae kumsingizia nani kuwa ni bingwa, kwanza Rais wao yuko wapi mbona kimya kimetanda.
 
Niaje waungwana

Mimi ni miongoni mwa watu wachache wenye uwezo wa kuongea ukweli, hata kama ukweli huo utakubaliwa na wachache na kukataliwa na wengi.

Kwa wakongwe wa jukwaa hili la mambo ya kimataifa haswa kuhusu mambo ya Iran, Israel, Marekani nk nafikiri mnanifahamu vizuri kwenye uchambuzi murua wenye ukweli na uhakika.

Miaka mitatu au minne iliyopita niliwahi kuzungumzia nguvu na uwezo mkubwa wa kijeshi iliyonayo Iran. Na ninakasema kwamba pamoja na nchi hiyo kuwa na vikwazo vikubwa vya kiuchumi, na kijeshi vilivyodumu kwa zaidi ya miaka 50, lkn nchi hiyo imekuwa na uwezo mkubwa mno wa kijeshi kuliko nchi nyingi ambazo hazina vikwazo ikiwemo Israel (inayotegemea silaha kutoka Marekani), zingine ni Saudi Arabia, Jordan nk. Wenye akili timamu walikubaliana na mimi, ila wale ambao waliozoea kulishwa matango pori walibisha kwamba Iran haina silaha wala nguvu yoyote ya kijeshi kama ninavyosema.

Mungu si athumani tukaja kushuhudia vita ya Iran na Israel mara mbili, ambapo mara zote Israel ilionekana kuchakazwa vibaya sana, na mifumo yake ya ulinzi THAAD, Iron Dome nk kuchanwa chanwa kama tambala bovu.

Baada ya hapo Israel ikaanza kuiogopa Iran na kuamua kuidondokea Marekani imsaidie kupambana na Iran. Hata hivyo Marekani imeonekana kugwaya baada ya kugundua kwamba Iran ina makombora ambayo yanaweza kupiga nchi yoyote ya Ulaya na Marekani kwa ujumla.

Ndiomaana Trump alipoomba Uingereza impe kisiwa chake ili akitumie kwa ajili ya kupambana na Iran, Muingereza aliogopa na kumtolea nje Trump, cause wanamjua vizuri Ayatollah Khomeini huwa hana muda wa kucheka na kima. Wewe ukiweka ugoko yeye anaponda na jiwe tu 🤣🤣🤣🤣🤣

Trump anasema sasa Iran wameunda makombora ambayo yanaweza kufika katika Jimbo lolote la Marekani. Hii ni kwa mujibu wa Trump mwenyewe alipokuwa akihutubia bungeni.

Hii kauli ya Trump kwamba kwa sasa Iran ina makombora ya kupiga nchi yoyote ya Ulaya na Marekani kwa ujumla inaonekana imepiga kwenye mshono wa wayahudi wa Tandale ambao hawakupenda kabisa Dunia iujue ukubwa wa nguvu za Iran daima.

Imagine hiyo miaka 50 Iran ingekuwa haina vikwazo vya silaha na uchumi kama Israel, leo hii ingekuwa na silaha za namna gani na uwezo wa aina gani kijeshi!View attachment 3548861View attachment 3548862

Ujue TRUMP MMOJA ANA AKILI KULIKO WAISLAMU Million 100. Umeona anachofanya? Mnahesabu lakini?
 
Muwe mnaacha kujiongelesha kienyeji. Vita sio zamu ya kuosha vyombo msiwe mnalazimisha mbinu zenu ndio ziwe mwongozo. Mtu akiwaacha mnachonga sana midomo. Jifunze kunyamaza mtakufa kwa shinikizo la damu.

Mtaanzisha nyuzi nyingi mara Haniyeh, mara Nasrallah, mara Ayatollah ila hitimisho huwa ni moja. Kwahiyo sasa hapo Iran tujiandae kumsingizia nani kuwa ni bingwa, kwanza Rais wao yuko wapi mbona kimya kimetanda.
Mleta mada kaaibika kinoma vita sio ushabiki wa Simba na Yanga..
 
Hizi nyuzi zimekaa kihasibu.

Wapashe mpaka wapashike walikuwa wanatamba sana hawa kiko wapi sasa?

Akikujibu niko pale kwa Mwarabu namalizia kula Daku utanijulisha!!!
SUbiri aipac inavyopata tabu ndani ya miaka hii mi 5 mkuu
 
Back
Top Bottom