Watakuamboa AINi tel Aviv siyo Gaza, baada ya hapa wakaongea na marekani na waarabu wamwambie Iran aache
Watakuamboa AINi tel Aviv siyo Gaza, baada ya hapa wakaongea na marekani na waarabu wamwambie Iran aache
Ndiyo nini sasa hiyo?Watakuamboa AI
Duhh 😄😄Mbona hawajayatumia kupiga Israeli wakarusha rasharasha zilizooshwa juu kwa juu, inaonekana humjui Trump kijana
Kwa kweli Wayahudi walidhalilika sana kwa kuwaua Makamanda waandamizi wote wa IRGC na wakaweza kujifunza anga lote la Iran kwa siku 12 pia wakawa wanapiga popote wanapotaka kweli wayahudi walidhalilika. Na ninyi Waarabu-koko wa kwa Mpalange mmesifika sana sana!!!Hii vita ya siku 12 iliwadhalilisha san wayahudi wetu wa Mahenge 🤣🤣
Kila siku na kila comment unajaza haya mapicha ili kuficha ukweli wa kipigo alichopata Shetaninyau na genge lake. Lkn kwa bahati nzuri watu (including wajinga wenzako) wanakupuuzi na kukuona hauko sawa sehemu 🤣🤣🤣Kwa kweli Wayahudi walidhalilika sana kwa kuwaua Makamanda waandamizi wote wa IRGC na wakaweza kujifunza anga lote la Iran kwa siku 12 pia wakawa wanapiga popote wanapotaka kweli wayahudi walidhalilika. Na ninyi Waarabu-koko wa kwa Mpalange mmesifika sana sana!!!
Angalia hapa chini hawa wote waliuwawa siku ya kwanza tu ya hiyo vita akiwemo Mkuu wa Majeshi wa Iran!!!
Si wewe mwenyewe umesema hakuna ushahidi ila wanawasikizia Iran kama walivyofanya kwa Iraq ili kuzivamia!!!Huna habari kuwa Israel ilihararibu kinu cha nuclear cha Iraq huko Osirak? Endelea kujitoa ufahamu sasa lakini ujue Israel si wajinga kama unavyofikiria!!!
Tatizo vijana wa kisasa mnajua vita ni kama mpira wa yanga na simba hapo shitholeni! Mnajua cost ya kumjenga na kumuunda kamanda hadi kuwa general? Then anakuja kufutwa kama nzi? Yani Iran awe na silaha asubiri kupiga Marekani badala ya Israeli aliyoapa kuifuta duniani tangu enzi za Khomeini sio huyu mzee wa kujificha kwenye mahandaki na alipata chance adimu ya aggression, rais wa hamas kauliwa ikulu kbs, kuna dharau zaidi ya hiyo? Mbona hakutumia hayo masilaha yake anasubiri nini? Aipige US? Hebu kapate alkasusu mkubwa umalize siku ukamwage mbolea ulale banaYani bora ubebeshwe gunia la misumali, kuliko kutembea na ujinga kichwani.
Hizo picha ni za kweli vibaka hao waliuliwa na ndiyo maana kila unapoziona hizo picha unaumia sana hasa huko nyuma!!!Kila siku na kila comment unajaza haya mapicha ili kuficha ukweli wa kipigo alichopata Shetaninyau na genge lake. Lkn kwa bahati nzuri watu (including wajinga wenzako) wanakupuuzi na kukuona hauko sawa sehemu 🤣🤣🤣
Acha kulalama kama mtoto jibu swali nililokuuliza!!!Si wewe mwenyewe umesema hakuna ushahidi ila wanawasikizia Iran kama walivyofanya kwa Iraq ili kuzivamia!!!
Maana yake yote unayosemaga hapa ni kusupport uongo wa US na koloni lake, Israel.
Duhh 😄😄
Ile ilikuwa rasha rasha !? Ila ujinga kweli mzigo
Yani bora ubebeshwe gunia la misumali, kuliko kutembea na ujinga kichwani.
Hata wewe ulishindwa kung'amua hapo kuwa Trump alikuwa anawatisha raia wake ili apate sababu ya kuishambulia Iran? Haya tuambie kombora gani la Iran lilofika Ulaya tuu ukiacha na Marekani?Cc Echolima1 muosha vyoo Tela Aviv atabisha sababu siku hizi bila kunusa uharo wa Tela Aviv inakuwa shinda.
Wapashe mpaka wapashike walikuwa wanatamba sana hawa kiko wapi sasa?Mzani ushainama, vita hizi wakuu
Akikujibu niko pale kwa Mwarabu namalizia kula Daku utanijulisha!!!Hata wewe ulishindwa kung'amua hapo kuwa Trump alikuwa anawatisha raia wake ili apate sababu ya kuishambulia Iran? Haya tuambie kombora gani la Iran lilofika Ulaya tuu ukiacha na Marekani?
Tuliwaambia Wafuga Midevu na Najini wameingia kwenye 18 za Muyahudi Mfuga midevu na Majini Mkuu hawezi kuchomoka lazima jamaa watamla kichwa!!Wamejaa kwenye mfumo 😀😀😀