Ukisikia kulamba viatu vya boss unaelewa nn?"Kiss my ass" in maana gani huko Marekani?
Boot liker,ass liker...ass ni makalio, hakuna swali,wao huitana ass holesEnglish will never be our friend. Hizo ni lugha za kihuni huko marekani....zina maana Yake sio hii uliyotuandikia hapa.
Bado sentensi ina neno lamba na viatu,ass hole ina maana gani?Ukisikia kulamba viatu vya boss unaelewa nn?
Wabongo bhana 😂 swali juu ya swali 🙌Bado sentensi ina neno lamba na viatu,ass hole ina maana gani?
Businessman na diplomacy wapi na wapi?Huyu jamaa kwenye maswala ya kidiplomasia anaelekea kuchemka.
Wayahudi hamna shukurani..Mzee Dishi limecheza
Anachachafya dunia...Akiwa katika moja ya mikutano ya Republicans Trump ametumia lugha kali ya mtaani kujisifia kwamba kuna nchi zinabusu makalio yake kuamba makubaliano katika vita vya tarrifs alivyovianzisha!
View attachment 3298170
Kweli ni kubusu mkndMind you: Kiss my ass sio kubusu makalio