Sawa yy ni businessman, ila kwenye maswala ya uongozi na maslahi mapana ya nchi diplomasia ni kitu muhimu sana kwa usatawi wa biashara baina ya nchi na nchi.Businessman na diplomacy wapi na wapi?
Unaumbuka term yake ilopita alikua ananegotiate na iran kwa kuwaonesha makazi ya familia zao kwamba wakizingua tu anaanzia kulipua hapo
Una uhakika?Hao ni ulaya wanachambwa 😄