Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,629
- 34,199
Shida ya Trump ni ku-radicalize wafuasi wake wavunje sheria wakati taratibu za kutafuta haji yako kama umedhurumiwa zipo waziTrump ni tishio la Taifa au MaDemocratic propaganda zao?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida ya Trump ni ku-radicalize wafuasi wake wavunje sheria wakati taratibu za kutafuta haji yako kama umedhurumiwa zipo waziTrump ni tishio la Taifa au MaDemocratic propaganda zao?
Pension ipi tena ?Wewe unadhani Trump ana njaa kama kina Obama.Kwa miaka yote minne ya uongozi wake ,Trump hakuwahi kuchukua mshahara sembuse hiyo pension ?Atulie ale pension...dunia sasa haiko mikononi mwake tena! Umri ulishamtupa mkono, akacheze golf...life is short!
Akizingua wanaenda kufungua mafaili ya tax returns, sijui tax heavens country, e.t.c😅
Wenzake huku tuna msiba raisi hakusafiri miaka mi5.
Wakati wenzake walitembelea nchi 50+.
Everyday is Saturday............................. 😎
Pensioners ni watu wa serikalini tu??Pension ipi tena ?Wewe unadhani Trump ana njaa kama kina Obama.Kwa miaka yote minne ya uongozi wake ,Trump hakuwahi kuchukua mshahara sembuse hiyo pension ?
Hapo sijui,mi nazungumzia kama itakuwa ni tishio kwa usalama wa nchiTrump ni tishio la Taifa au MaDemocratic propaganda zao?
Hakuanzisha Parler, alijunga nayo. Android, na apple wameinyesha walivyo biase kuzuia maoni wasiyopenda kusikia kutoka upande wasio u-support.Alishaanzisha App inaitwa Parler ikavurumishwa kutoka Apple store na Play store.
Ni tishio kwa Democratic, na google, na apple ni suppoters.Trump ni tishio la Taifa au MaDemocratic propaganda zao?
Haijawahi kutokea na haitotokea.wataufunga Wamarekani
Pole kwa msiba mkuuVia web...
Hahaaaaa dahHapo ana hasira za kufungiwa na twitter na mitandao mingine ya kijamii huyu jamaa ana visa kama mke mwenza
Wewe unatumia mtandao wa Iran?Mtajiunga nyinyi wayahudi wa mbagara
Akiendekeza mambo yake ya ajabu hata huo mtandao wake utafungiwa tu
via web iko regulated na goverment. wakiamua asi host haendi mahali.Via web...
are you shure hakuwahi kuchukua mshahara?Pension ipi tena ?Wewe unadhani Trump ana njaa kama kina Obama.Kwa miaka yote minne ya uongozi wake ,Trump hakuwahi kuchukua mshahara sembuse hiyo pension ?
ProblemPresident Donald J. Trump gives a fist bump to the press. (Official White House Photo by Tia Dufour)
Former President Donald Trump is planning to launch his own social media platform within the next few months, one of the 45th president’s senior advisors told Fox News Sunday.
“I do think we’re going to see President Trump returning to social media and probably about two or three months here with his own platform,” Jason Miller said when asked about Trump’s potential return to social media.
Miller said he thinks it will be “the hottest ticket in social media” and will “completely redefine the game.”
“Everyone will be waiting and watching to see what exactly President Trump does. But it will be his own platform,” he said. “This new platform is going to be big, and everyone wants him. He’s going to bring millions and millions, tens of millions of people to this new platform.”
In early January, Twitter permanently suspended then-President Trump’s account due to “the risk of further incitement of violence.”
“After close review of review of recent Tweets from [Trump’s] account and the context around them we have permanently suspended the account due to the risk of further incitement of violence,” the company announced.
The move came after hundreds of Twitter employees demanded the action in a letter to CEO Jack Dorsey, The Washington Post reported at the time.
“This determination is based on a number of factors, including:
President Trump’s statement that he will not be attending the Inauguration is being received by a number of his supporters as further confirmation that the election was not legitimate,” Twitter said in a statement.
The statement continued, “The use of the words “American Patriots” to describe some of his supporters is also being interpreted as support for those committing violent acts at the US Capitol.”
In February, Chief Financial Officer Ned Segal told CNBC’s Squawk Box that the former president would never be allowed back on Twitter – even if he decides to run for office again – due to company policy.
“The way our policies work, when you’re removed from the platform, you’re removed from the platform – whether you’re a commentator, you’re a CFO, or you are a former or current public officials,” Segal said.
He continued, “Remember, our policies are designed to make sure that people are not inciting violence, and if anybody does that, we have to remove them from the service and our policies don’t allow people to come back.”