Trump kurejea katika mitandao ya kijamii na mtandao wake mwenyewe

Trump kurejea katika mitandao ya kijamii na mtandao wake mwenyewe

Huyo ndio mwanaume sasa hakuna kukata tamaa, anaweza kubadilisha historia ya Dunia muda wowote ule.
labda aukane uraia wa marekani. lakin akiwa ndani ya taifa hilo hatoweza kabisa. na serikal inamuangalia.
hiwez anzisha mtandao bila kupata ruksa kutoka kwa mamlaka husika
 
Atulie ale pension...dunia sasa haiko mikononi mwake tena! Umri ulishamtupa mkono, akacheze golf...life is short!
Akizingua wanaenda kufungua mafaili ya tax returns, sijui tax heavens country, e.t.c😅
Wenzake huku tuna msiba raisi hakusafiri miaka mi5.
Wakati wenzake walitembelea nchi 50+.

Everyday is Saturday............................. 😎
Uko dunia gani? Mahakama ilishawaruhusu hizo taxes wamekuta nini?

Ila maskini ndio huwa tuna gubu siku zote 🤭
 
money money pesa ankara......ita utakavyo......inafanya utakavyo but.....sio kumfufua MFU......
 
ata host wapi?play store au i store? akizengua wanazifunga tu labda aka host russia huko
Trump ana hela sana yote haya mambo atakuwa ashafanya utafiti wa kina shida ni followers je watu watamuunga mkono? mana mitandao mingi imeanzishwa imekufa lakini facebook, WhatsaApp, twitter na instagram ndio pekee ambayo imedumu kwa kiwango cha kuridhisha kila mtu ulimwenguni
 
Akiendekeza mambo yake ya ajabu hata huo mtandao wake utafungiwa tu
Yapi hayo ya ajabu..taja kwa uchache
1. Kukataa ushoga
2. Viongozi wa Africa-Shit hole
3. Wahamiaji haramu
4. Kukiri ubaguzi adharani
5...
Ama?
 
Yapi hayo ya ajabu..taja kwa uchache
1. Kukataa ushoga
2. Viongozi wa Africa-Shit hole
3. Wahamiaji haramu
4. Kukiri ubaguzi adharani
5...
Ama?
Yaliyosababisha afungiwe mitandao aliyokuwa akitumia
 
Back
Top Bottom