Trump kusimamisha misaada duniani ni kosa kubwa la kiufundi. Ni muda wa China na Urusi kuja kutufariji Waafrika

Kumbuka hiyo misaada sio sheria ni utashi wao tu.Kama misaada ikiminywa mbona akili zitatukaa sawa tu!

Sio utashi mkuu.

Marekani anafaidika na hiyo misaada.

Kenya alitaka kuanza kununua mafuta kutoka Iran kwa bei ya chini sana lakini alipigwa biti moja tu na Marekani biashara ikaishia hapo.

Marekani ni taifa linalo-lobby agenda na interests zao kupitia misaada kwa hiyo misaada sio bure.

Hiyo ni CIVICS ya Class 6 mkuu
 
No free lunch. Tena mchina na mrusi ndio sio wakutegemea kabisa .
Sio wakutegemea sababu hawana mambo watakayolazimisha nchi yako iyafanye ndo upate hizo pesa kikubwa kama hujielewi utapigwa kama unajielewa mtaenda sawa.....ila wamagharibi ujielewe usijielewe lazima ukipokea chao kuna agenda zao ukubaliane nazo kama kwa sasa walikua wanalazimisha sana mambo ya ushoga na demokrasia zao za kuingiza ma puppet wao kupitia hio misaada yao
 
Unataka kusema wakitunyima misaada tuwafungulie mashitaka?
 
Unataka kusema wakitunyima misaada tuwafungulie mashitaka?

Hapana lakini wasituambie cha kufanya.

Misaasa ilikuwa transactional. Unanipa pesa nakuacha upitishe agenda. Haikuwa bure.

Kwa hiyo kama imeondoka, Marekani isianze kutegemea Kizimkazi aende kuwanyenyekea
 
Hao Urusi na China wapo siku zote.Wanatoa nini vya maana?Au China wanavyoleta meli kubwa kutibu watu macho yafunguke wauone uchumi wa nchi zao?Urusi naye uchumi unadidimia kama tembo kwenye tope kali.
WAnatoa Vingi tu, ukikariri msaada ni Vyandarua na dawa za ukimwi huwezi elewa wanachotoa hao.

Wamesomesha maelfu ya wataalam wetu, wanasayansi wengi wakubwa na mainjinia nchi hii wamesoma Urusi, wamejenga reli, barabara na miundombinu mingi ambayo ni crucial.

Inshort kama unataka kuendelea Urusi na China ni Allies wazuri kuliko west,
 
Hapana lakini wasituambie cha kufanya.

Misaasa ilikuwa transactional. Unanipa pesa nakuacha upitishe agenda. Haikuwa bure.

Kwa hiyo kama imeondoka, Marekani isianze kutegemea Kizimkazi aende kuwanyenyekea
Na wameamua kusitisha pia maana wanaona watu pesa wanakula kotekote.....kama kwa Afrika sahivi ikija pesa ya mchina wanakula , ya mmarekani wanakula ikitoka ulaya pia wanakula ....shida inakuja kuna nchi wanakula pesa zao ila zile agenda zao wanazuga tu kama wanazifanyia kazi ila kama geresha tu.......hio njia kwa sasa wamagharibi wameona haina impact kama ilivyokua zamani hasa kwa huku Africa
 
Trump anataka Fedha za Wananchi wa Marekani zitumike kwa ajili ya manufaa ya waMarekani wenyewe. Katika muktadha huu, Wananchi wa kutoka nchi zingine waliokuwa wakiitegemea Marekani waache kufanya hivyo na waanze kujitegemea wao wenyewe.
 
Marekani haipati vitu toka Tanzania kama msaada, wananunua.
Kweli nchi nyingi zinapewa misaada ila mkinyimwa msipige kelele.
 
Wanatoa wataalamu bure bila malipo kwao?Hizo barabara hujengwa bure?
 
Trump anataka Fedha za Wananchi wa Marekani zitumike kwa ajili ya manufaa ya waMarekani wenyewe. Katika muktadha huu, Wananchi wa kutoka nchi zingine waliokuwa wakiitegemea Marekani waache kufanya hivyo na waanze kujitegemea wao wenyewe.

Which of course its impossible.

How many military bases does America hava around the world? Who funds them?

Au kwako misaada ni sabuni za unga na vyandarua?
 
Which of course its impossible.

How many military bases does America hava around the world? Who funds them?

Au kwako misaada ni sabuni za unga na vyandarua?
Ungetueleza hivyo "vituo vya kijeshi" vya USA nani anavitunza na kutoa fedha kuendesha shughuli zao?
 
Kwahiyo we unataka Kodi ya raia wa marekani anayeteseka Kwa kazi uje upewe wewe si ndio yaani kazi Yako wewe iwe kula tu wenzio wabebe mabox huko walipe Kodi halafu uletewe wewe
 
Tanzania sasa tumebaki na Umoja wa Ulaya na UK na Norway na huko Lissu anasikilizwa sana sasa wale mliopanga kuiba Uchaguzi Mkuu...πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£

Mkiiba Uchaguzi misaada yote inakatwa na Nchi mumeiingiza kwenye madeni ya kutisha na hayo makusanyo ya TRA hayatatosha hata kuwalipa Wajeda🀣
 
Anafukuza wahamiaji haramu. Elewa tofauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…