Trump na Marekani yake si wanademokrasia wafuate haki za binadamu wasiue Watu kwa kutumia jeshi

Trump na Marekani yake si wanademokrasia wafuate haki za binadamu wasiue Watu kwa kutumia jeshi

Ajabu pamoja ya kutuaminisha kwamba hatuwezi kuishi bila ya hiyo wanayoita misaada yao ila bado hawataki tujitegemee wenyewe.
hapo sasa naukiamua kujitegemea watakuanzishia zengwe mpaka wakumalize kama ghadafi amawakutie dhikini kama MADURO ama IRAN wale wajamaa niwatu waajabu sana
 
Upuuzi upuuzi upuuzi tu!
America kuna States nyingi huwezi kulinganisha utendaji wa Polisi wa Michigan na hapa Minnesota.
Na wala huwezi kulinganisha utendaji wa NYC na California.
.
Kuna sheria ambazo state moja inazo nyingine haina, yani ungejua Americans wanavyoiona Tanzania yako ni nchi ya aina gani na ukizungumzia mambo yao in a negative way wakati wao ndio lifestyle yao wanavyowadharau hata usingenyanyua madole hayo.
.
Dili na issue za Sithole yako OVER
тебе нужен мужчина!
не беспокойся ты получишь это

غبي
 
Hawasemi ni perfect ila wanaielezea kama kitu kilicho perfect, yani huwezi kufikiri huko US nako watu wana ugumu wa maisha kiasi cha kwenda kufanya wizi kuvunja wa kuvunja maduka ya watu na kuiba nepi na mito. Kwamba huko Us kuna jamii fulani ya watu huona hawatendewi haki.

Hebu nipe mifano 5 ya hicho unachokidai, tafadhali...

Na ni akina nani hao?
 
тебе нужен мужчина!
не беспокойся ты получишь это

غبي
Troll you need to be cool you seem to have an uncontrolled addiction for sh*t arabic!
 
Haya maandamano nayo natamani yadumu miezi kama minne hv kama ilivyodumu coronya-19 ili tupate kuheshimiana hapa DUNIANI.....
Maandamano kama hayo sio ya kwanza kutokea huko Marekani na huenda yasiwe ya mwisho hivyo huo ni kama upepo mbaya unapita tu ila baada ya muda mambo yatatulia.

USA 🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸 taifa kubwa
 
Maandamano kama hayo sio ya kwanza kutokea huko Marekani na huenda yasiwe ya mwisho hivyo huo ni kama upepo mbaya unapita tu ila baada ya muda mambo yatatulia.

USA [emoji631][emoji631][emoji631][emoji631] taifa kubwa
ndio maana nikasema natamani sababu najua hayawezi kudumu katika hali yakawaida

mwisho upo karibu.
 
Don't be nuts.
Issue hapa is maandamano ni ya aina gani?
.
Tanzania hutumika nguvu kwenye maandamano ya kisiasa ambayo hayaharibu mali wala kuvunja amani.
Hili la Minnesota si la kisiasa na watu wanaharibu mali they don't protest they do riots
Ass!
 
Kauli za Trump ndo zinachochea
Yes. Ni kweli kabisa. Jamaa ana kauli za kibabe sana. Angeongea nao kirafiki na kiupole kabisa. Angejishusha kabisa na kuwaomba wananchi msamaha kwa niaba ya wale askari. Kama kuna amendments za kufanya kisheria angefanya tu. Mbona rahisi tu. Watu wangetulia tu.
Tatizo hawa wanasiasa wa dunia hii wanapenda waabudiwe kama miungu maana wanajua kwamba majeshi yote yanatii amri zao!
 
Trump alikosea kuanzia kule twitter hadi twitter wanamrekebisha halafu anawakebehi Twitter, ikaonekana kwamba kauli ile alikusudia ,Trump hakustahili kuwa Rais ni mhuni tu kaingia kijanja
 
Back
Top Bottom