Trump na Marekani yake si wanademokrasia wafuate haki za binadamu wasiue Watu kwa kutumia jeshi

Ajabu pamoja ya kutuaminisha kwamba hatuwezi kuishi bila ya hiyo wanayoita misaada yao ila bado hawataki tujitegemee wenyewe.
hapo sasa naukiamua kujitegemea watakuanzishia zengwe mpaka wakumalize kama ghadafi amawakutie dhikini kama MADURO ama IRAN wale wajamaa niwatu waajabu sana
 
тебе нужен мужчина!
не беспокойся ты получишь это

غبي
 

Hebu nipe mifano 5 ya hicho unachokidai, tafadhali...

Na ni akina nani hao?
 
тебе нужен мужчина!
не беспокойся ты получишь это

غبي
Troll you need to be cool you seem to have an uncontrolled addiction for sh*t arabic!
 
Haya maandamano nayo natamani yadumu miezi kama minne hv kama ilivyodumu coronya-19 ili tupate kuheshimiana hapa DUNIANI.....
Maandamano kama hayo sio ya kwanza kutokea huko Marekani na huenda yasiwe ya mwisho hivyo huo ni kama upepo mbaya unapita tu ila baada ya muda mambo yatatulia.

USA 🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸 taifa kubwa
 
Maandamano kama hayo sio ya kwanza kutokea huko Marekani na huenda yasiwe ya mwisho hivyo huo ni kama upepo mbaya unapita tu ila baada ya muda mambo yatatulia.

USA [emoji631][emoji631][emoji631][emoji631] taifa kubwa
ndio maana nikasema natamani sababu najua hayawezi kudumu katika hali yakawaida

mwisho upo karibu.
 
Don't be nuts.
Issue hapa is maandamano ni ya aina gani?
.
Tanzania hutumika nguvu kwenye maandamano ya kisiasa ambayo hayaharibu mali wala kuvunja amani.
Hili la Minnesota si la kisiasa na watu wanaharibu mali they don't protest they do riots
Ass!
 
Kauli za Trump ndo zinachochea
Yes. Ni kweli kabisa. Jamaa ana kauli za kibabe sana. Angeongea nao kirafiki na kiupole kabisa. Angejishusha kabisa na kuwaomba wananchi msamaha kwa niaba ya wale askari. Kama kuna amendments za kufanya kisheria angefanya tu. Mbona rahisi tu. Watu wangetulia tu.
Tatizo hawa wanasiasa wa dunia hii wanapenda waabudiwe kama miungu maana wanajua kwamba majeshi yote yanatii amri zao!
 
тебе нужен мужчина!
не беспокойся ты получишь это

غبي
откуда ты знаешь по русски
 
Trump alikosea kuanzia kule twitter hadi twitter wanamrekebisha halafu anawakebehi Twitter, ikaonekana kwamba kauli ile alikusudia ,Trump hakustahili kuwa Rais ni mhuni tu kaingia kijanja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…