Hujui uanchomaanisha.....soko namba 1 la Mchina ni Marekani. Marekani akizuia bidhaa za CHINA atakayeumia ni Mchina na sio MAREKANI....ukikosa soko ni moja kwa moja uzalishaji unakufa. Kwa marekani uzalishaji utaongezeka ili kufidia bidhaa zilizokuwa zinaingizwa tokea Uchina hivyo ni fursa nzauri kwanoHata wamarekani wanategemea bidhaa za China na ndio maana wanaziagiza kwa wingi zikipandishiwa ushuru maisha ya wamarekani yatakuwa magumu.
Hujui unachosema. Bidhaa zikiadimika huoni kwamba wauzaji wa ndani wanapandisha bei?. Wakipandisha Bei nani anaumia?. Kipindi wazalishaji wa ndani wanaongeza uzalishaji malighafi wanatoa wapi?. Unapoambiwa china imejitosheleza kwa Supply chain tofauti na USA unaelewa kweli maana yake?.Hujui uanchomaanisha.....soko namba 1 la Mchina ni Marekani. Marekani akizuia bidhaa za CHINA atakayeumia ni Mchina na sio MAREKANI....ukikosa soko ni moja kwa moja uzalishaji unakufa. Kwa marekani uzalishaji utaongezeka ili kufidia bidhaa zilizokuwa zinaingizwa tokea Uchina hivyo ni fursa nzauri kwano
Wewe bwege kichwa maji, Bidhaa zikiadimika Marekani ni viwanda ndani ya Marekani vitaongeza uzalishaji, Marekani haitaji Production materials kutoka CHINA, CHINA hana resources ambayo USA anaihitaji, alichonacho CHINA ni cheap labour force tu.Hujui unachosema. Bidhaa zikiadimika huoni kwamba wauzaji wa ndani wanapandisha bei?. Wakipandisha Bei nani anaumia?. Kipindi wazalishaji wa ndani wanaongeza uzalishaji malighafi wanatoa wapi?. Unapoambiwa china imejitosheleza kwa Supply chain tofauti na USA unaelewa kweli maana yake?.
Hakuna mbadara wa bidhaa za china hapa duniani acha kujifariji.Hujui uanchomaanisha.....soko namba 1 la Mchina ni Marekani. Marekani akizuia bidhaa za CHINA atakayeumia ni Mchina na sio MAREKANI....ukikosa soko ni moja kwa moja uzalishaji unakufa. Kwa marekani uzalishaji utaongezeka ili kufidia bidhaa zilizokuwa zinaingizwa tokea Uchina hivyo ni fursa nzauri kwano
Unajua ni kwann wamarekani wanapenda bidhaa za china kuliko bidhaa za ndani ya nchi yao?Wewe bwege kichwa maji, Bidhaa zikiadimika Marekani ni viwanda ndani ya Marekani vitaongeza uzalishaji, Marekani haitaji Production materials kutoka CHINA, CHINA hana resources ambayo USA anaihitaji, alichonacho CHINA ni cheap labour force tu.
CHINA sio RUSSIA ....RUSSIA ana resources nyingi ambazo dunia inazihitaji, CHINA is just a manufacturer sasa ambaye anategemea soko la Marekani akauze
TZ tusipoiuzia KENYA mahindi nani anaumia? KENYA anaagiza Mahindi Brazil, TZ sekta ya kilimo inakufa
Huyo Marekani yeye anauza wapi? Ukitoa ulaya ambayo kwanza uchumi wao usha fikia kikomo cha kukua, Marekani anategemea kuuza China ,India na Brazili.
Pia kumbukeni Bricks wana natural resources za kutosha hasa China Russia,Irani, Brazili.
Sio marekani.Hujui uanchomaanisha.....soko namba 1 la Mchina ni Marekani. Marekani akizuia bidhaa za CHINA atakayeumia ni Mchina na sio MAREKANI....ukikosa soko ni moja kwa moja uzalishaji unakufa. Kwa marekani uzalishaji utaongezeka ili kufidia bidhaa zilizokuwa zinaingizwa tokea Uchina hivyo ni fursa nzauri kwano
Badala ulete hoja unatukana. Kitu ambacho unaweza usielewe nikua wamarekani wengi wanaviwanda china kwa sababu ya kua na Bei ndogo za uzalishaji. Hii inachangiwa pamoja na supply chain ya China kua rahisi na upatikanaji wake wa baadhi ya material kua cheap na haraka tofauti na Marekani. Kwa mantiki hio Kuna baadhi ya Bidhaa hata zikiwekewa ushuru kwa 100% bado zitakua na bei ndogo kuliko bidhaa zinazozalishwa Marekan. Jambo lingine unalosahau hapa inazungumziwa BRICS, Sasa kama hiyo BRICS ni China peke yake basi sijui.Wewe bwege kichwa maji, Bidhaa zikiadimika Marekani ni viwanda ndani ya Marekani vitaongeza uzalishaji, Marekani haitaji Production materials kutoka CHINA, CHINA hana resources ambayo USA anaihitaji, alichonacho CHINA ni cheap labour force tu.
CHINA sio RUSSIA ....RUSSIA ana resources nyingi ambazo dunia inazihitaji, CHINA is just a manufacturer sasa ambaye anategemea soko la Marekani akauze
TZ tusipoiuzia KENYA mahindi nani anaumia? KENYA anaagiza Mahindi Brazil, TZ sekta ya kilimo inakufa
TAtizo hujui nguvu ya uchumi wa China ipo wapi, na nini kimejenga uchumi wa China.Hakuna mbadara wa bidhaa za china hapa duniani acha kujifariji.
Marekani hawezi kukataza bidhaa za china kwa sababu hakuna nchi yeyote yenye uwezo wa kuziba pengo la bidhaa hizo bali ataziongezea ushuru ambao walaji wa mwisho ndo watakao umia.
Kwani serikali ya Tz ilipo ongeza ushuru wa magari bandarini Japan ilipata hasara gani nyinyi si ndo mnaumia?
Ww bila shaka ujaijua nguvu ya kiuchumi ya china bali ukusikia china unachukulia poa.
Mwaka 2014 sarafu ya china ilishuka thamani kwa %0001 tu lakini masoko ya hisa na fedha dunia nzima ikiwemo Marekani yalitikisika na kuyumba.
Wakati $ kuna kipindi huwa inashuka lakini masoko ya hisa hayahisi chochote.
China imekuja kuifanya dunia iwe ya kila mtu bila kujali una kipato gani ,bila china mpaka sasa hata kumiliki Smartphone na pikipiki ingekuwa anasa.
Wewe unajiandikia chochote kile kinacho zunguka katika ubongo wakoWewe bwege kichwa maji, Bidhaa zikiadimika Marekani ni viwanda ndani ya Marekani vitaongeza uzalishaji, Marekani haitaji Production materials kutoka CHINA, CHINA hana resources ambayo USA anaihitaji, alichonacho CHINA ni cheap labour force tu.
CHINA sio RUSSIA ....RUSSIA ana resources nyingi ambazo dunia inazihitaji, CHINA is just a manufacturer sasa ambaye anategemea soko la Marekani akauze
TZ tusipoiuzia KENYA mahindi nani anaumia? KENYA anaagiza Mahindi Brazil, TZ sekta ya kilimo inakufa
Ukiwambia wahamishe mitaji hao wanaohamisha hawapati hasara?. Au hasara inakua ya China peke ake?. Huko watakapohamishia watazalisha kwa unafuu kuliko China?.Tatizo hujui
TAtizo hujui nguvu ya uchumi wa China ipo wapi, na nini kimejenga uchumi wa China.
Hivi unajua kuwa makampuni yote yanayotengenezea bidhaa China na kupeleka masoko ya Ukaya na America, ni makampuni ya Wamarekani wenyewe na nchi za Ulaya?
Hivi unajua kuwa baada ya uchumi wa China kudorora kwa muda mrefu, na China kuamua kuachana na uchumi wa kijamaa, iliziangukia nchi za Ulaya na America, na ndipo mataifa hayo yakawekeza heavily nchini China? Baada ya makampuni hayo ya Ulaya na America kuwekeza sana nchini China, uchumi wa China ulikua mpaka kufikia 12% kwa mwaka?
Hivi unajua kuwa wakati wote viongozi wa China wapo Ulaya na America kutafuta wawekezaji?
Unajua kuwa China ndiyo inayoongoza kwa kuvutia wawekezaji wengi Duniani? Wakati sisi tunawategemea sana wachina kuwekeza, kwao wanahangaika kuvutia wawekezaji. Kwa mwaka China inavutia mitaji inayofikia zaidi ya dollar bilioni 90. China kwenye suala la uchumi, huwezi kuishawishi chochote. Marekani na nchi za Ulaya, zikiweka tarrif ya 100% bidhaa za kutoka China, itakuwa ni sawa na kuyaambia makampuni ya Ulaya na America, zaidi ya milioni 1 yanayotengenezea bidhaa nchini China lakini soko laker likiwa Ulaya na Ametica, yahamishe mitaji yao kutoka China, kitu ambacho China haiwezi kukubali.
Kumbuka pia kuwa China ndiyo nchi pekee Duniani yenye akiba kubwa ya dollar nchini Marekani. Kama dollar itapoteza thamani yake maana yake ni lazima na China iathirike.
Mwaka 2018 Trump aliongeza ushuru kwa bidhaa kutoka china ,niambie uchumi wa china iliathirika kwa kitu gani?Tatizo hujui

Wewe jamaa unaongea upuuzi sana.Tatizo hujui

Ili kuelewa alichomaanisha kwanza tujue, America na Ulaya imewekeza kwenye viwanda vya China kwa % ngapi? Ukijua hili utaelewa kama kupandisha ushuru kwa 100% Serikali ya Marekani inakusudia nini na nafasi ya China kupuuza au kutii hilo tishio.Ukipandisha ushuru watakao umia ni watumiaji wa mwisho wa nchini kwako.
Kafuatilie trade war ya marekani na China 2018 Trump hajaanza kuwa mwendawazimu leo.
Uzuri ana deal na mataifa yenye akili yanayo nufahika na upumbavu wake.
Nilisoma mahali kuwa viwanda vingi vya China ni vya wamarekani, na ndo hao hao wanaotegemea soko la marekani. Je, hii ni kweli?Hujui uanchomaanisha.....soko namba 1 la Mchina ni Marekani. Marekani akizuia bidhaa za CHINA atakayeumia ni Mchina na sio MAREKANI....ukikosa soko ni moja kwa moja uzalishaji unakufa. Kwa marekani uzalishaji utaongezeka ili kufidia bidhaa zilizokuwa zinaingizwa tokea Uchina hivyo ni fursa nzauri kwano
Anakusudia kuzuia tishio la kuanguka kwa dola kama sarafu kuu.Ili kuelewa alichomaanisha kwanza tujue, America na Ulaya imewekeza kwenye viwanda vya China kwa % ngapi? Ukijua hili utaelewa kama kupandisha ushuru kwa 100% Serikali ya Marekani inakusudia nini na nafasi ya China kupuuza au kutii hilo tishio.
Afrika Kusini, Tanzania na Kenya ni miongoni mwa nchi zinazoshiriki kikamilifu katika biashara ya AGOA na Marekani. Afrika Kusini ilichangi
Duuh yale yale ya kuweka akiba ya US dollar kwa kununua US treasury bondTatizo hujui
TAtizo hujui nguvu ya uchumi wa China ipo wapi, na nini kimejenga uchumi wa China.
Hivi unajua kuwa makampuni yote yanayotengenezea bidhaa China na kupeleka masoko ya Ukaya na America, ni makampuni ya Wamarekani wenyewe na nchi za Ulaya?
Hivi unajua kuwa baada ya uchumi wa China kudorora kwa muda mrefu, na China kuamua kuachana na uchumi wa kijamaa, iliziangukia nchi za Ulaya na America, na ndipo mataifa hayo yakawekeza heavily nchini China? Baada ya makampuni hayo ya Ulaya na America kuwekeza sana nchini China, uchumi wa China ulikua mpaka kufikia 12% kwa mwaka?
Hivi unajua kuwa wakati wote viongozi wa China wapo Ulaya na America kutafuta wawekezaji?
Unajua kuwa China ndiyo inayoongoza kwa kuvutia wawekezaji wengi Duniani? Wakati sisi tunawategemea sana wachina kuwekeza, kwao wanahangaika kuvutia wawekezaji. Kwa mwaka China inavutia mitaji inayofikia zaidi ya dollar bilioni 90. China kwenye suala la uchumi, huwezi kuishawishi chochote. Marekani na nchi za Ulaya, zikiweka tarrif ya 100% bidhaa za kutoka China, itakuwa ni sawa na kuyaambia makampuni ya Ulaya na America, zaidi ya milioni 1 yanayotengenezea bidhaa nchini China lakini soko laker likiwa Ulaya na Ametica, yahamishe mitaji yao kutoka China, kitu ambacho China haiwezi kukubali.
Kumbuka pia kuwa China ndiyo nchi pekee Duniani yenye akiba kubwa ya dollar nchini Marekani. Kama dollar itapoteza thamani yake maana yake ni lazima na China iathirike.
Wamarekani wa jf🤣🤣🤣Umeiba koment yangu kijana nilikua nataka niwaulize wamarekani wa jf hapa walisema brics sio threat kwa marekani na dola yao sasa inakuaje wana haha haha namna hii hawa mabwana halaf dt ni debe tupu tuuuu
Kuna wakati natamani kumchukia Trump lakini nashindwa. The man ni aina ya watu ambao nawaheshimu kwa misimamo na kutoremba maneno.View attachment 3166300
BRICS = Brazi, Russia, India, China, South Africa
Kaandika kwenye ukurasa wake wa Twitter
Wazo kwamba nchi za BRICS zinajaribu kuachana na Dola ya Marekani huku tumekaa na kuwatazama LIMEKWISHA! Tunahitaji ahadi kutoka kwa nchi hizi kwamba hawataunda Sarafu mpya ya BRICS, wala kuunga mkono sarafu nyingine yoyote kuchukua nafasi Dola ya Marekani yenye nguvu duniani, vinginevyo zitakumbana na ushuru wa asilimia 100 kwenye bidhaa wanazoingiza na zijiandae kuaga kuuza kwenye uchumi ulionona wa Marekani. Wanaweza kwenda kutafuta “mjinga” mwingine! BRICS haiwezi kuchukua nafasi ya Dola ya Marekani katika Biashara ya Kimataifa, na nchi yoyote itakayojaribu inapaswa kuaga Marekani !
The idea that the BRICS Countries are trying to move away from the Dollar while we stand by and watch is OVER. We require a commitment from these Countries that they will neither create a new BRICS Currency, nor back any other Currency to replace the mighty U.S. Dollar or, they will face 100% Tariffs, and should expect to say goodbye to selling into the wonderful U.S. Economy. They can go find another “sucker!” There is no chance that the BRICS will replace the U.S. Dollar in International Trade, and any Country that tries should wave goodbye to America.