Trump: Nchi za BRICS zenye mpango wa kuikwepa Dola ya Marekani zitakumbana na ushuru wa asilimia 100, Wanaweza kwenda kutafuta “mjinga” mwingine

Hata wamarekani wanategemea bidhaa za China na ndio maana wanaziagiza kwa wingi zikipandishiwa ushuru maisha ya wamarekani yatakuwa magumu.
Hujui uanchomaanisha.....soko namba 1 la Mchina ni Marekani. Marekani akizuia bidhaa za CHINA atakayeumia ni Mchina na sio MAREKANI....ukikosa soko ni moja kwa moja uzalishaji unakufa. Kwa marekani uzalishaji utaongezeka ili kufidia bidhaa zilizokuwa zinaingizwa tokea Uchina hivyo ni fursa nzauri kwano
 
Hujui unachosema. Bidhaa zikiadimika huoni kwamba wauzaji wa ndani wanapandisha bei?. Wakipandisha Bei nani anaumia?. Kipindi wazalishaji wa ndani wanaongeza uzalishaji malighafi wanatoa wapi?. Unapoambiwa china imejitosheleza kwa Supply chain tofauti na USA unaelewa kweli maana yake?.
 
Wewe bwege kichwa maji, Bidhaa zikiadimika Marekani ni viwanda ndani ya Marekani vitaongeza uzalishaji, Marekani haitaji Production materials kutoka CHINA, CHINA hana resources ambayo USA anaihitaji, alichonacho CHINA ni cheap labour force tu.
CHINA sio RUSSIA ....RUSSIA ana resources nyingi ambazo dunia inazihitaji, CHINA is just a manufacturer sasa ambaye anategemea soko la Marekani akauze

TZ tusipoiuzia KENYA mahindi nani anaumia? KENYA anaagiza Mahindi Brazil, TZ sekta ya kilimo inakufa
 
Hujui uanchomaanisha.....soko namba 1 la Mchina ni Marekani. Marekani akizuia bidhaa za CHINA atakayeumia ni Mchina na sio MAREKANI....ukikosa soko ni moja kwa moja uzalishaji unakufa. Kwa marekani uzalishaji utaongezeka ili kufidia bidhaa zilizokuwa zinaingizwa tokea Uchina hivyo ni fursa nzauri kwano
Hakuna mbadara wa bidhaa za china hapa duniani acha kujifariji.
Marekani hawezi kukataza bidhaa za china kwa sababu hakuna nchi yeyote yenye uwezo wa kuziba pengo la bidhaa hizo bali ataziongezea ushuru ambao walaji wa mwisho ndo watakao umia.
Kwani serikali ya Tz ilipo ongeza ushuru wa magari bandarini Japan ilipata hasara gani nyinyi si ndo mnaumia?
Ww bila shaka ujaijua nguvu ya kiuchumi ya china bali ukusikia china unachukulia poa.
Mwaka 2014 sarafu ya china ilishuka thamani kwa %0001 tu lakini masoko ya hisa na fedha dunia nzima ikiwemo Marekani yalitikisika na kuyumba.
Wakati $ kuna kipindi huwa inashuka lakini masoko ya hisa hayahisi chochote.
China imekuja kuifanya dunia iwe ya kila mtu bila kujali una kipato gani ,bila china mpaka sasa hata kumiliki Smartphone na pikipiki ingekuwa anasa.
 
Unajua ni kwann wamarekani wanapenda bidhaa za china kuliko bidhaa za ndani ya nchi yao?
Ebu nijibu kwanza hilo swali.
 
Katika nchi zote hizo ulizozitaja hapo, hakuna ya kuiyumbisha Marekani.

Marekani haiuzi sana moja kwa moja China ila makampuni mengi nchini China.

Kwenye rasilimali asilia, Marekani ina rasilimali karibia zote muhimu japo baadhi onazidiwa katilauwingina nchi ya Russia, lakini Russia siyo tegemeo pekee.

Ufahamu kuwa Urusi kouchumi bado sana, afadhali useme China na India. Lakini India na China hawawqwezi kukubali kulikosa soko la Marekani na Ulaya. Bila ya makampuni ya Ulaya na America ambayo yamewekeza nchini China, ambayo idadi yame ni zaidi ya milioni 1, uvhuumi wa China unakuwa ni hohehahe.
Huyo Marekani yeye anauza wapi? Ukitoa ulaya ambayo kwanza uchumi wao usha fikia kikomo cha kukua, Marekani anategemea kuuza China ,India na Brazili.

Pia kumbukeni Bricks wana natural resources za kutosha hasa China Russia,Irani, Brazili.
 
Hujui uanchomaanisha.....soko namba 1 la Mchina ni Marekani. Marekani akizuia bidhaa za CHINA atakayeumia ni Mchina na sio MAREKANI....ukikosa soko ni moja kwa moja uzalishaji unakufa. Kwa marekani uzalishaji utaongezeka ili kufidia bidhaa zilizokuwa zinaingizwa tokea Uchina hivyo ni fursa nzauri kwano
Sio marekani.

Nini hiki unaandika
 
Wewe bwege kichwa maji, Bidhaa zikiadimika Marekani ni viwanda ndani ya Marekani vitaongeza uzalishaji, Marekani haitaji Production materials kutoka CHINA, CHINA hana resources ambayo USA anaihitaji, alichonacho CHINA ni cheap labour force tu.
CHINA sio RUSSIA ....RUSSIA ana resources nyingi ambazo dunia inazihitaji, CHINA is just a manufacturer sasa ambaye anategemea soko la Marekani akauze

TZ tusipoiuzia KENYA mahindi nani anaumia? KENYA anaagiza Mahindi Brazil, TZ sekta ya kilimo inakufa
Badala ulete hoja unatukana. Kitu ambacho unaweza usielewe nikua wamarekani wengi wanaviwanda china kwa sababu ya kua na Bei ndogo za uzalishaji. Hii inachangiwa pamoja na supply chain ya China kua rahisi na upatikanaji wake wa baadhi ya material kua cheap na haraka tofauti na Marekani. Kwa mantiki hio Kuna baadhi ya Bidhaa hata zikiwekewa ushuru kwa 100% bado zitakua na bei ndogo kuliko bidhaa zinazozalishwa Marekan. Jambo lingine unalosahau hapa inazungumziwa BRICS, Sasa kama hiyo BRICS ni China peke yake basi sijui.

Ooopsss....kumbe ni Marytina!!. Kuwa na siku njema.
 
Tatizo hujui
Hakuna mbadara wa bidhaa za china hapa duniani acha kujifariji.
Marekani hawezi kukataza bidhaa za china kwa sababu hakuna nchi yeyote yenye uwezo wa kuziba pengo la bidhaa hizo bali ataziongezea ushuru ambao walaji wa mwisho ndo watakao umia.
Kwani serikali ya Tz ilipo ongeza ushuru wa magari bandarini Japan ilipata hasara gani nyinyi si ndo mnaumia?
Ww bila shaka ujaijua nguvu ya kiuchumi ya china bali ukusikia china unachukulia poa.
Mwaka 2014 sarafu ya china ilishuka thamani kwa %0001 tu lakini masoko ya hisa na fedha dunia nzima ikiwemo Marekani yalitikisika na kuyumba.
Wakati $ kuna kipindi huwa inashuka lakini masoko ya hisa hayahisi chochote.
China imekuja kuifanya dunia iwe ya kila mtu bila kujali una kipato gani ,bila china mpaka sasa hata kumiliki Smartphone na pikipiki ingekuwa anasa.
TAtizo hujui nguvu ya uchumi wa China ipo wapi, na nini kimejenga uchumi wa China.

Hivi unajua kuwa makampuni yote yanayotengenezea bidhaa China na kupeleka masoko ya Ukaya na America, ni makampuni ya Wamarekani wenyewe na nchi za Ulaya?

Hivi unajua kuwa baada ya uchumi wa China kudorora kwa muda mrefu, na China kuamua kuachana na uchumi wa kijamaa, iliziangukia nchi za Ulaya na America, na ndipo mataifa hayo yakawekeza heavily nchini China? Baada ya makampuni hayo ya Ulaya na America kuwekeza sana nchini China, uchumi wa China ulikua mpaka kufikia 12% kwa mwaka?

Hivi unajua kuwa wakati wote viongozi wa China wapo Ulaya na America kutafuta wawekezaji?

Unajua kuwa China ndiyo inayoongoza kwa kuvutia wawekezaji wengi Duniani? Wakati sisi tunawategemea sana wachina kuwekeza, kwao wanahangaika kuvutia wawekezaji. Kwa mwaka China inavutia mitaji inayofikia zaidi ya dollar bilioni 90. China kwenye suala la uchumi, huwezi kuishawishi chochote. Marekani na nchi za Ulaya, zikiweka tarrif ya 100% bidhaa za kutoka China, itakuwa ni sawa na kuyaambia makampuni ya Ulaya na America, zaidi ya milioni 1 yanayotengenezea bidhaa nchini China lakini soko laker likiwa Ulaya na Ametica, yahamishe mitaji yao kutoka China, kitu ambacho China haiwezi kukubali.

Kumbuka pia kuwa China ndiyo nchi pekee Duniani yenye akiba kubwa ya dollar nchini Marekani. Kama dollar itapoteza thamani yake maana yake ni lazima na China iathirike.
 
Wewe bwege kichwa maji, Bidhaa zikiadimika Marekani ni viwanda ndani ya Marekani vitaongeza uzalishaji, Marekani haitaji Production materials kutoka CHINA, CHINA hana resources ambayo USA anaihitaji, alichonacho CHINA ni cheap labour force tu.
CHINA sio RUSSIA ....RUSSIA ana resources nyingi ambazo dunia inazihitaji, CHINA is just a manufacturer sasa ambaye anategemea soko la Marekani akauze

TZ tusipoiuzia KENYA mahindi nani anaumia? KENYA anaagiza Mahindi Brazil, TZ sekta ya kilimo inakufa
Wewe unajiandikia chochote kile kinacho zunguka katika ubongo wako
 
Tatizo hujui

TAtizo hujui nguvu ya uchumi wa China ipo wapi, na nini kimejenga uchumi wa China.

Hivi unajua kuwa makampuni yote yanayotengenezea bidhaa China na kupeleka masoko ya Ukaya na America, ni makampuni ya Wamarekani wenyewe na nchi za Ulaya?

Hivi unajua kuwa baada ya uchumi wa China kudorora kwa muda mrefu, na China kuamua kuachana na uchumi wa kijamaa, iliziangukia nchi za Ulaya na America, na ndipo mataifa hayo yakawekeza heavily nchini China? Baada ya makampuni hayo ya Ulaya na America kuwekeza sana nchini China, uchumi wa China ulikua mpaka kufikia 12% kwa mwaka?

Hivi unajua kuwa wakati wote viongozi wa China wapo Ulaya na America kutafuta wawekezaji?

Unajua kuwa China ndiyo inayoongoza kwa kuvutia wawekezaji wengi Duniani? Wakati sisi tunawategemea sana wachina kuwekeza, kwao wanahangaika kuvutia wawekezaji. Kwa mwaka China inavutia mitaji inayofikia zaidi ya dollar bilioni 90. China kwenye suala la uchumi, huwezi kuishawishi chochote. Marekani na nchi za Ulaya, zikiweka tarrif ya 100% bidhaa za kutoka China, itakuwa ni sawa na kuyaambia makampuni ya Ulaya na America, zaidi ya milioni 1 yanayotengenezea bidhaa nchini China lakini soko laker likiwa Ulaya na Ametica, yahamishe mitaji yao kutoka China, kitu ambacho China haiwezi kukubali.

Kumbuka pia kuwa China ndiyo nchi pekee Duniani yenye akiba kubwa ya dollar nchini Marekani. Kama dollar itapoteza thamani yake maana yake ni lazima na China iathirike.
Ukiwambia wahamishe mitaji hao wanaohamisha hawapati hasara?. Au hasara inakua ya China peke ake?. Huko watakapohamishia watazalisha kwa unafuu kuliko China?.
 
Tatizo hujui

TAtizo hujui nguvu ya uchumi wa China ipo wapi, na nini kimejenga uchumi wa China.

Hivi unajua kuwa makampuni yote yanayotengenezea bidhaa China na kupeleka masoko ya Ukaya na America, ni makampuni ya Wamarekani wenyewe na nchi za Ulaya?

Hivi unajua kuwa baada ya uchumi wa China kudorora kwa muda mrefu, na China kuamua kuachana na uchumi wa kijamaa, iliziangukia nchi za Ulaya na America, na ndipo mataifa hayo yakawekeza heavily nchini China? Baada ya makampuni hayo ya Ulaya na America kuwekeza sana nchini China, uchumi wa China ulikua mpaka kufikia 12% kwa mwaka?

Hivi unajua kuwa wakati wote viongozi wa China wapo Ulaya na America kutafuta wawekezaji?

Unajua kuwa China ndiyo inayoongoza kwa kuvutia wawekezaji wengi Duniani? Wakati sisi tunawategemea sana wachina kuwekeza, kwao wanahangaika kuvutia wawekezaji. Kwa mwaka China inavutia mitaji inayofikia zaidi ya dollar bilioni 90. China kwenye suala la uchumi, huwezi kuishawishi chochote. Marekani na nchi za Ulaya, zikiweka tarrif ya 100% bidhaa za kutoka China, itakuwa ni sawa na kuyaambia makampuni ya Ulaya na America, zaidi ya milioni 1 yanayotengenezea bidhaa nchini China lakini soko laker likiwa Ulaya na Ametica, yahamishe mitaji yao kutoka China, kitu ambacho China haiwezi kukubali.

Kumbuka pia kuwa China ndiyo nchi pekee Duniani yenye akiba kubwa ya dollar nchini Marekani. Kama dollar itapoteza thamani yake maana yake ni lazima na China iathirike.
Mwaka 2018 Trump aliongeza ushuru kwa bidhaa kutoka china ,niambie uchumi wa china iliathirika kwa kitu gani?
 
Wewe jamaa unaongea upuuzi sana.

Hivi hata huo ujamaa unaujua au unajiandikia tu maana hata nikiuliza China imeachana vipi na ujamaa sina hakika hata kama utaweza kuelezea.

Pili China ilipo amua kutafuta uwekezaji ilianza na majirani zake Hong-Kong,Taiwan, Singapore, Japan hao Western walikuja baadae sana baada ya kuanza kuona matunda ya mataifa hayo.

Tatu mataifa makubwa yote yana sera bora za kuvutia uwekezaji sio China wala Marekani sijui kwa akili zako za kijinga uwekezaji unauchukuliaje ?

Ujinga mwengine ni huu wa kusema bidhaa zitokazo China zinazo uzwa huko Western ni za makampuni yao sijui hata kama unafahamu China inauza brands gani duniani ?

Kukusaidia kuondoa ujinga wako China nchi yao na uchumi wao wameujenga kwa nguvu na mipango yao wenyewe hakuna tofauti na hicho.
 
Ukipandisha ushuru watakao umia ni watumiaji wa mwisho wa nchini kwako.

Kafuatilie trade war ya marekani na China 2018 Trump hajaanza kuwa mwendawazimu leo.

Uzuri ana deal na mataifa yenye akili yanayo nufahika na upumbavu wake.
Ili kuelewa alichomaanisha kwanza tujue, America na Ulaya imewekeza kwenye viwanda vya China kwa % ngapi? Ukijua hili utaelewa kama kupandisha ushuru kwa 100% Serikali ya Marekani inakusudia nini na nafasi ya China kupuuza au kutii hilo tishio.
 
Hujui uanchomaanisha.....soko namba 1 la Mchina ni Marekani. Marekani akizuia bidhaa za CHINA atakayeumia ni Mchina na sio MAREKANI....ukikosa soko ni moja kwa moja uzalishaji unakufa. Kwa marekani uzalishaji utaongezeka ili kufidia bidhaa zilizokuwa zinaingizwa tokea Uchina hivyo ni fursa nzauri kwano
Nilisoma mahali kuwa viwanda vingi vya China ni vya wamarekani, na ndo hao hao wanaotegemea soko la marekani. Je, hii ni kweli?

Kama ni kweli, Sasa wakibanwa kwenye kodi huoni kuwa anaumiza pia wawekezaji wake?
 
Ili kuelewa alichomaanisha kwanza tujue, America na Ulaya imewekeza kwenye viwanda vya China kwa % ngapi? Ukijua hili utaelewa kama kupandisha ushuru kwa 100% Serikali ya Marekani inakusudia nini na nafasi ya China kupuuza au kutii hilo tishio.
Anakusudia kuzuia tishio la kuanguka kwa dola kama sarafu kuu.
 
Afrika Kusini, Tanzania na Kenya ni miongoni mwa nchi zinazoshiriki kikamilifu katika biashara ya AGOA na Marekani. Afrika Kusini ilichangi

Wafuasi wa nchi za BRICS yaani nchi chawa (coalition) kama Tanzania n.k tunaweza kuumizwa kwa kuengamia BRICS badala ya AGOA
 
Tatizo hujui

TAtizo hujui nguvu ya uchumi wa China ipo wapi, na nini kimejenga uchumi wa China.

Hivi unajua kuwa makampuni yote yanayotengenezea bidhaa China na kupeleka masoko ya Ukaya na America, ni makampuni ya Wamarekani wenyewe na nchi za Ulaya?

Hivi unajua kuwa baada ya uchumi wa China kudorora kwa muda mrefu, na China kuamua kuachana na uchumi wa kijamaa, iliziangukia nchi za Ulaya na America, na ndipo mataifa hayo yakawekeza heavily nchini China? Baada ya makampuni hayo ya Ulaya na America kuwekeza sana nchini China, uchumi wa China ulikua mpaka kufikia 12% kwa mwaka?

Hivi unajua kuwa wakati wote viongozi wa China wapo Ulaya na America kutafuta wawekezaji?

Unajua kuwa China ndiyo inayoongoza kwa kuvutia wawekezaji wengi Duniani? Wakati sisi tunawategemea sana wachina kuwekeza, kwao wanahangaika kuvutia wawekezaji. Kwa mwaka China inavutia mitaji inayofikia zaidi ya dollar bilioni 90. China kwenye suala la uchumi, huwezi kuishawishi chochote. Marekani na nchi za Ulaya, zikiweka tarrif ya 100% bidhaa za kutoka China, itakuwa ni sawa na kuyaambia makampuni ya Ulaya na America, zaidi ya milioni 1 yanayotengenezea bidhaa nchini China lakini soko laker likiwa Ulaya na Ametica, yahamishe mitaji yao kutoka China, kitu ambacho China haiwezi kukubali.

Kumbuka pia kuwa China ndiyo nchi pekee Duniani yenye akiba kubwa ya dollar nchini Marekani. Kama dollar itapoteza thamani yake maana yake ni lazima na China iathirike.
Duuh yale yale ya kuweka akiba ya US dollar kwa kununua US treasury bond

Akyamama mmarekani alishatushika dunia nzimq, anatuendesha kama mazuzu
 
Umeiba koment yangu kijana nilikua nataka niwaulize wamarekani wa jf hapa walisema brics sio threat kwa marekani na dola yao sasa inakuaje wana haha haha namna hii hawa mabwana halaf dt ni debe tupu tuuuu
Wamarekani wa jf🤣🤣🤣
 
View attachment 3166300

BRICS = Brazi, Russia, India, China, South Africa

Kaandika kwenye ukurasa wake wa Twitter

Wazo kwamba nchi za BRICS zinajaribu kuachana na Dola ya Marekani huku tumekaa na kuwatazama LIMEKWISHA! Tunahitaji ahadi kutoka kwa nchi hizi kwamba hawataunda Sarafu mpya ya BRICS, wala kuunga mkono sarafu nyingine yoyote kuchukua nafasi Dola ya Marekani yenye nguvu duniani, vinginevyo zitakumbana na ushuru wa asilimia 100 kwenye bidhaa wanazoingiza na zijiandae kuaga kuuza kwenye uchumi ulionona wa Marekani. Wanaweza kwenda kutafuta “mjinga” mwingine! BRICS haiwezi kuchukua nafasi ya Dola ya Marekani katika Biashara ya Kimataifa, na nchi yoyote itakayojaribu inapaswa kuaga Marekani !

The idea that the BRICS Countries are trying to move away from the Dollar while we stand by and watch is OVER. We require a commitment from these Countries that they will neither create a new BRICS Currency, nor back any other Currency to replace the mighty U.S. Dollar or, they will face 100% Tariffs, and should expect to say goodbye to selling into the wonderful U.S. Economy. They can go find another “sucker!” There is no chance that the BRICS will replace the U.S. Dollar in International Trade, and any Country that tries should wave goodbye to America.​
Kuna wakati natamani kumchukia Trump lakini nashindwa. The man ni aina ya watu ambao nawaheshimu kwa misimamo na kutoremba maneno.
 
Back
Top Bottom