Trump: Nchi za BRICS zenye mpango wa kuikwepa Dola ya Marekani zitakumbana na ushuru wa asilimia 100, Wanaweza kwenda kutafuta “mjinga” mwingine

Trump: Nchi za BRICS zenye mpango wa kuikwepa Dola ya Marekani zitakumbana na ushuru wa asilimia 100, Wanaweza kwenda kutafuta “mjinga” mwingine

Nauli ni bidhaa au usafiri?

Au huelewi hata Trump anazungumzia nini ndugu yangu
Sijaongelea bidhaa wala usafiri nimeongelea athari ya kupanda kwa bei na option ya watumiaji unajua bidhaa ni nini kwanza
 
Sijaongelea bidhaa wala usafiri nimeongelea athari ya kupanda kwa bei na option ya watumiaji unajua bidhaa ni nini kwanza
Wewe bado ndugu yangu huenda hujailewa topic

Naona kumbe unachangia kwa mihemuko tu

Trump anazungumzia bidhaa zinazotoka nje kuingia America wewe unazungumzia usafiri na kwa marekan sekta ya usafiri inamilikiwa na serikali yenyewe
 
Muhanha hapa atakuwa mzee Putty mwenye kiburi Cha kijinga huku uchumiwa wao ukiendelea kupekechwa taratibu Kwa vikwazo lukuki.

Mchina mwenye machoadogo ni mjanja.

Ukimpeleka Kwa waliokodoa hayupo na Kwa waliofumba macho nako hayupo😆😆😆

Yaani ni ndumi la kuwili
Hamna kitu kama hicho,Urusi sio Zimbabwe,Urusi Ina high tech na products zinazohitajika Dunia nzima.
Ingekua rahisi hivyo unavyofikiri Leo hii nchi za Cuba,Iran na Korea kaskazini zingekua hazipo kabisa duniani.
Urusi ana bidhaa ghafi na bidhaa kamili zinazohitajika sana,hata USA mwenyewe anahitaji.
Nadhani umeona vikwazo alivyowekewa vimeshindwa kimkalisha.
 
Hiyo ndio asilimia 90% kuna vichaa wengi sana humu.

Kwa akili yako China anafanya biashara na marekani pekee.

Hata trade partner mkubwa wa China sio marekani
""Hata trade partner mkubwa wa china sio marekani "" 🏃🏃🏃🏃🏃
 
Ka
Hapo ni wawili tu........india au china mmoja wapo aking'oa nanga waliobaki ni taka taka
Kabisa mkuu. Na mchina kwenye swala la maslahi anajichomoa fasta tu. Angalia ana washirika wanapigana lakini ajiingizi kwenye vita apate hasara.
 
Wewe bado ndugu yangu huenda hujailewa topic

Naona kumbe unachangia kwa mihemuko tu

Trump anazungumzia bidhaa zinazotoka nje kuingia America wewe unazungumzia usafiri na kwa marekan sekta ya usafiri inamilikiwa na serikali yenyewe
Wewe sasa ndio huenda Hujaelewa topic na unachangia kwa mihemko mie nimekupa majibu ya wewe na samia wala sio China
 
Talking about shooting one's own foot...., Nilishasema awali huyu Trump anaendesha nchi kama vile mtu unaendesha genge lako la nyanya kitaa....

Na lazima ujue USA ananufaika na Dollar kuwa Pesa inayotumika kwa kuweza kufanya bajeti na kutumia pesa nyingi (printing) wakati Dunia ikimsaidia kubeba hio Mikopo (USA Government Bonds);


Sasa kumbuka pesa nyingi ni za mafisadi, majizi na watu ambao huenda wanapindisha mambo, au nchi ambazo siku yoyote wanaweza wakapingana na USA..., Sasa kilichomtokea Russia Pesa zake kuwa Freezed UK na USA kimeanza kuwashitua hawa watu kwamba huenda Pesa zetu na our ill-gotten money zisiwe salama..., hivyo kama kuna alternative ambayo haina hatari hii fahamu kabisa watu wataipokea kwa mikono miwili...

Lastly sio kwamba Trump sometimes hajui effect za kauli zake.., bali ni populist ambaye yupo tayari kuongea hata Pumba kuwaridhisha wanaomsikiliza.., ile effect anayoiachia USA ni kubwa na upuuzi huu anaofanya kumbuka ni miaka michache akiondoka huenda akarudi mwingine akarudisha hali na akitoka huyo akaingia mwingine akachafua hali ya hewa (hio ndio definition ya nchi ambayo haina stability)

Na wakati huyu anapiga kelele na kuzozana na huko ulaya wanaangalia kushangaa na kuwa insignificant huku China anachanja mbuga polepole kwa kufanya yake according to her Plans....
 
Talking about shooting one's own foot...., Nilishasema awali huyu Trump anaendesha nchi kama vile mtu unaendesha genge lako la nyanya kitaa....

Na lazima ujue USA ananufaika na Dollar kuwa Pesa inayotumika kwa kuweza kufanya bajeti na kutumia pesa nyingi (printing) wakati Dunia ikimsaidia kubeba hio Mikopo (USA Government Bonds);


Sasa kumbuka pesa nyingi ni za mafisadi, majizi na watu ambao huenda wanapindisha mambo, au nchi ambazo siku yoyote wanaweza wakapingana na USA..., Sasa kilichomtokea Russia Pesa zake kuwa Freezed UK na USA kimeanza kuwashitua hawa watu kwamba huenda Pesa zetu na our ill-gotten money zisiwe salama..., hivyo kama kuna alternative ambayo haina hatari hii fahamu kabisa watu wataipokea kwa mikono miwili...

Lastly sio kwamba Trump sometimes hajui effect za kauli zake.., bali ni populist ambaye yupo tayari kuongea hata Pumba kuwaridhisha wanaomsikiliza.., ile effect anayoiachia USA ni kubwa na upuuzi huu anaofanya kumbuka ni miaka michache akiondoka huenda akarudi mwingine akarudisha hali na akitoka huyo akaingia mwingine akachafua hali ya hewa (hio ndio definition ya nchi ambayo haina stability)

Na wakati huyu anapiga kelele na kuzozana na huko ulaya wanaangalia kushangaa na kuwa insignificant huku China anachanja mbuga polepole kwa kufanya yake according to her Plans....
Swali la kujiuliza huyu kichaa akipiga tarrifs za 100% kwa nchi za namna hii ?

The BRICS members encompass about 30% of the world's land surface and 45% of world population. South Africa has the largest economy in Africa whereas Brazil, India, and China are among the world's ten largest countries by population, area, and gross domestic product (GDP, nominal and PPP). All five initial member states are members of the G20, with a combined nominal GDP of US$28 trillion (about 27% of the gross world product), a total GDP (PPP) of around US$65 trillion (35% of global GDP PPP), and an estimated US$5.2 trillion in combined foreign reserves

Ni nini anachotafuta hasa ?

Hapo bado mataifa mengine yanayotaka kuongezeka ndani ya BRICS+
 
Swali la kujiuliza huyu kichaa akipiga tarrifs za 100% kwa nchi za namna hii ?

The BRICS members encompass about 30% of the world's land surface and 45% of world population. South Africa has the largest economy in Africa whereas Brazil, India, and China are among the world's ten largest countries by population, area, and gross domestic product (GDP, nominal and PPP). All five initial member states are members of the G20, with a combined nominal GDP of US$28 trillion (about 27% of the gross world product), a total GDP (PPP) of around US$65 trillion (35% of global GDP PPP), and an estimated US$5.2 trillion in combined foreign reserves

Ni nini anachotafuta hasa ?
Anataka kuonekana mbabe kwa watu wake hajali nini kitatokea au kama bidhaa zitapanda bei kwa watu wake yeye anajali ni nini amesema kwa wakati huo ili atokee kwenye News... NI kama kipindi kile cha kujenga Ukuta au kuondoa Obama Care; ingawa hakufanya ila ndio ilikuwa ni story zake kila siku.

He is their own Worse Enemy... , Wahenga walisema Simba Mwenda Pole ndio Mla Nyama...; Ila kwa sisi watu baki ambao tunajua / tunaona hasara ya kuwa na Superpower mmoja tunasema acha iendelee kunyesha tuone panapovuja...
 
South Africa, Tanzania and Kenya are among countries actively participating in AGOA trade with the United States.1 Aug 2024


NUKTA MUHIMU

  • Sheria ya Ukuaji na Fursa ya Afrika kwa Marekani (AGOA) inakuza ushawishi na malengo ya Marekani barani Afrika.
  • Mpango huo unaisha mwaka ujao; Congress inazingatia kuongeza muda.
  • Katika USIP, viongozi wanatoa sauti ya uharaka wa kuendeleza ukuaji wa biashara kati ya Marekani na Afrika na manufaa yake ya usalama.
Alhamisi, Agosti 1, 2024
/MUDA WA KUSOMA: Dakika 7
Na: Thomas P. Sheehy


Usalama wa Marekani na ushawishi wa kimataifa katika karne hii ya 21 utaathiriwa kwa kiasi kikubwa na eneo linalokuwa kwa kasi na linalobadilika duniani: Afrika.

Makubaliano ya pande mbili kati ya viongozi wa sera za kigeni za Marekani yanaishinikiza Marekani kuzidisha mashirikiano yake katika bara zima ili kukabiliana na ongezeko la ghasia na ukosefu wa utulivu ambao mara nyingi unatokana na utawala mbovu na mahitaji ya binadamu yasiyokidhiwa.

Hata hivyo mwaka ujao, Marekani ina hatari ya kupoteza chombo chenye nguvu na cha gharama nafuu cha kujenga ushirikiano wa Marekani na Afrika, amani na ustawi. Wiki iliyopita, mkutano wa USIP wa viongozi wa biashara na sera wa Kiafrika na Marekani ulinoa na kuimarisha hoja muhimu za kurekebisha na kuimarisha chombo hiki muhimu: Sheria ya Ukuaji na Fursa Afrika (AGOA).

AGOA ni programu ya Marekani yenye umri wa miaka 24 ambayo inakuza biashara isiyo na ushuru na mataifa ya Afrika ambayo inalinda haki za kimsingi za binadamu na utawala wa sheria. Imezalisha mamia ya maelfu ya kazi (ikiwa ni pamoja na Marekani) kupitia uwekezaji wa kibinafsi, na kuifanya chombo madhubuti cha kupunguza umaskini na kukuza utawala wa sheria, ambayo kwa pamoja inaweza kusaidia mataifa ya Afrika kujenga demokrasia na amani.

Mkakati huu unaoendeshwa na uwekezaji unafungua njia, zaidi ya usaidizi wa kimaendeleo wa Marekani na kimataifa, kuelekea malengo hayo na ushirikishwaji mkubwa wa Afrika katika uchumi wa dunia.

Pia, AGOA ni kitovu cha lengo la kimkakati la Amerika la kujenga ushirikiano wenye manufaa kwa pande zote barani Afrika kwani China na Urusi zinatumia mbinu zao kutafuta ushawishi na maslahi katika bara zima.

Congress iliunda na imeongeza mara mbili AGOA kwa sehemu kubwa za pande mbili. Lakini uidhinishaji wa programu utaisha mnamo Septemba 2025, na mapendekezo ya kupanua na kurekebisha mpango yanasubiri Congress. Wawakilishi wa biashara zinazotumika kama injini ya dharura ya sauti kwamba AGOA inapaswa kusasishwa haraka ili kuepuka kukatiza mafanikio iliyopata.

Viongozi wa biashara na sera wa Marekani na Afrika walikusanyika katika USIP mwishoni mwa Julai kama sehemu ya Jukwaa la AGOA , mkutano wa kila mwaka miongoni mwa maafisa wa Afrika na Marekani ambao unalenga kuimarisha athari za AGOA.

Mkutano wa USIP, uliolenga sekta ya kibinafsi, ulifadhiliwa na Baraza la Biashara la Afrika na Idara ya Biashara ya Marekani. Kaimu rais wa USIP, aliyekuwa msaidizi wa waziri wa mambo ya nje wa Afrika George Moose, alisisitiza umuhimu wa AGOA, akibainisha kuwa utafiti wa USIP na wengine "unaonyesha kwa uthabiti kwamba kudorora kwa uchumi ni mojawapo ya vichochezi vikali vya migogoro ya vurugu katika bara zima."

Makampuni, Wataalamu Wahimiza Urekebishaji wa AGOA​

Lakini ili kuepuka kuharibu biashara ya Marekani na Afrika inayochochewa na AGOA - na ajira zinazohusiana, ukuaji wa uchumi na ushawishi wa kuleta utulivu kwa nchi nyingi za Afrika - watunga sera lazima warasimishe kuongeza muda wa AGOA haraka iwezekanavyo, alisema Melissa Nelson, mwanasheria mkuu wa Shirika la SanMar. kampuni ya mavazi iliyo karibu na Seattle ambayo imewekeza fedha nyingi chini ya mpango huo.

Kwa kampuni kama SanMar, "utengenezaji wa kipande cha nguo ... ni mwaka mmoja na nusu," aliambia mkutano wa USIP, "na unaangalia kumalizika kwa muda huu mnamo Septemba 2025."

Ili kuepuka kukiuka maagizo barani Afrika ambayo sasa yanazingatiwa, huku wahudumu wakipoteza kazi, "Tunahitaji urekebishaji wa haraka, sasa, kwa kipindi kirefu," Nelson alisema.

Upyaji (marekebisho) unapaswa kuhifadhi sheria za sasa za AGOA zinazotoa unyumbulifu wa kutosha katika kutafuta nyenzo za bidhaa zinazosafirishwa kwenda Marekani, aliongeza. Wazungumzaji wengine walirejelea udharura wa kuidhinishwa mapema na bunge la AGOA.

Waziri wa Mambo ya Nje Antony Blinken alisisitiza umakini wa utawala wa Marekani katika kufanya kazi na Congress ili kuidhinisha upya AGOA kama "jukwaa la kujenga jamii zenye haki zaidi, kusaidia kupunguza umaskini, kulinda sayari yetu [na] kutetea haki za wafanyakazi wetu." Tayari, aliiambia hadhira ya USIP, programu hiyo imeunda "nguzo muhimu" ya juhudi za pamoja za Marekani na Afrika "kuunda nafasi za kazi, kuinua jamii katika pande zote za Atlantiki, na kujenga uhusiano wenye nguvu kati ya watu wetu."

Kukua kwa Biashara na Afrika - na Matarajio ya Zaidi​

Miongoni mwa nchi 32 za Afrika na sekta mbalimbali za kiuchumi zinazostahiki AGOA kwa sasa, baadhi zinafaidika zaidi kuliko nyingine. Afrika Kusini, Tanzania na Kenya ni miongoni mwa nchi zinazoshiriki kikamilifu katika biashara ya AGOA na Marekani. Afrika Kusini ilichangia zaidi ya 70% ya dola bilioni 5 katika bidhaa zisizo za nishati zilizouzwa kwa wanunuzi wa Marekani mwaka 2023, hasa magari ya abiria na sehemu za magari.

Textile (majora) , ikiwa ni pamoja na nguo, huchangia takriban 22% ya bidhaa zisizo za nishati kutoka Marekani zinazoagizwa kutoka nchi za AGOA mwaka wa 2023.

Takwimu za biashara za Marekani zinaonyesha ongezeko la kutia moyo la biashara na Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara kwa zaidi ya 20% kutoka 2019 hadi 2023 huku viwanda vya nguo na magari vikichangia ukuaji zaidi kuliko wengine ($ 1.1 bilioni na $ 1.9 bilioni, mtawalia). Kusitasita wakati wa Jukwaa la Sekta Binafsi la AGOA la 2024 kulikuwa na uwezekano mkubwa wa kukua katika kilimo na sekta nyinginezo, hasa ikiwa misingi ya kiuchumi, kama vile uwekezaji wa Marekani na wa kibinafsi katika miundombinu ya kidijitali na usafirishaji, itaendelea kuwekwa
 
21 November 2024

ATHARI ZA USHURU KWA AGOA

Afrika Kusini, Tanzania na Kenya ni miongoni mwa nchi zinazoshiriki kikamilifu katika biashara ya AGOA na Marekani

Maboresho ya mkataba wa kibiashara wa AGOA, utafiti unaonesha yanaweza kuleta athari kwa Afrika, mtaalaamu mtafiti atoa angalizo


View: https://m.youtube.com/watch?v=hFA6C2jCWnY

Sheria ya Ukuaji na Fursa ya Afrika (AGOA) imekuwa chanzo kikubwa cha msaada kwa nchi za Afrika, na kuziruhusu kusafirisha bidhaa kwa Marekani bila ushuru na bila mgawo.

Hata hivyo, wasiwasi unaoongezeka upo kwamba manufaa haya yanaweza kuondolewa wakati Donald Trump atakapoingia madarakani.

Rais Mteule Donald Trump alipendekeza ushuru wa asilimia 10 kwa bidhaa zote zinazoagizwa kutoka nje, na AGOA, iliyopitishwa mwaka wa 2000 na inatakiwa kusasishwa mwaka wa 2025, inakaguliwa.

Wachambuzi wanaonya kuwa kitendo hicho kinaweza kurekebishwa au kuondolewa, na hivyo kuathiri kazi na makampuni kote barani Afrika.

Melvin Foote, Mwanzilishi na Rais wa Jimbo la Afrika (CFA), yuko hapa studio kujadili athari za maendeleo haya. Karibu Ndiho Media; tafadhali jiandikishe kwa chaneli kwa sasisho zote za teknolojia ya Kiafrika.
 

Ufafanuzi: AGOA ni nini?​


View: https://m.youtube.com/watch?v=S41e9O85UuU
Sheria ya Ukuaji na Fursa Afrika (AGOA) ni mkataba wa kibiashara unaoruhusu nchi za Afrika zilizotimiza vigezo kuuza nje baadhi ya mazao yao Marekani bila kulipa kodi. Inashughulikia zaidi ya bidhaa 1,700 kuanzia magari yaliyoundwa nchini Afrika Kusini hadi maua ya Kenya na hata jeans za viwanda vya Tanzania Kilwa Road, EPZA Mabibo External Benjamin Mkapa viwanda 11 Dar es Salaam kwa ajili ya kuuza nje hususan Amerika . Katika video hii ya hapa #kurunzi Hawa Bihoga anaufafanua mpango wa AGOA.
Source : Deutsche Welle KiSwahili
 
WASHINGTON BUREAU: Mkutano wa AGOA Wafanyika MAREKANI

View: https://m.youtube.com/watch?v=J_oQiM0EieU

Mkutano wa 17 wa Ushirikiano wa kibiashara (Agoa) kati ya Marekani na nchi za Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara.Katika Mkutano huo mengi yamezungumzwa ikiwemo changamoto ya kuongeza muda wa biashara hiyo, halkadhalika biashara ya Mitumba.
Source : VOA
 
USILOLIJUA NI KAMA USIKU WA KIZA

EPZA MABIBO EXTERNAL DAR ES SALAAM ENEO LA VIWANDA MAALUM, MZIGO UNAEKEKEZWA MAREKANI

Kiwanda Tanzania kinacho tumia kikamilifu fursa za AGOA. Timu ya #Made inTanzania ilijitokeza kuthibitisha kuwepo kwa kiwanda cha kutengeneza jeans zenye ubora nchini Tanzania. Inazalisha mavazi ambayo yanasafirishwa hasa kwenye soko la Marekani.

#MadeinTanzania Factory that manufactures quality Jeans sold in the US market


View: https://m.youtube.com/watch?v=qonQOFI_Usc The #Made in Tanzania team went out to confirm the existence of a factory that manufactures quality jeans in Tanzania. It produces apparel that is exported mainly to the US market.
 
Hapo ndio mtego ulipo. Weka jiwe niweke chuma 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Tanzania iwe na sera ya kidiplomasia ya uchumi makini sana, isije kuonekana inalalia upande mmoja sana katika vita baridi (cold war) inayotembea kwa sasa.
 
Huyo Marekani yeye anauza wapi? Ukitoa ulaya ambayo kwanza uchumi wao usha fikia kikomo cha kukua, Marekani anategemea kuuza China ,India na Brazili.

Pia kumbukeni Bricks wana natural resources za kutosha hasa China Russia,Irani, Brazili.
Biashara ya CHINA to US ni kubwa kuliko biashara ya CHINA na dunia nzima
 
Back
Top Bottom