Marekani na Israel wameziomba Nchi za Afrika Mashariki zikubali kuwapokea Wapalestina wa Gaza

Marekani na Israel wameziomba Nchi za Afrika Mashariki zikubali kuwapokea Wapalestina wa Gaza

Kingsmann

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Posts
4,805
Reaction score
17,850
Kulingana na gazeti la Financial Times, inasemekana Marekani na Israel wamewasiliana na viongozi wa Afrika Mashariki kuomba kuwahamishia Afrika Mashariki Wapalestina wote waishio Gaza.

Screenshot_2025-03-14-22-11-20-295_com.twitter.android-edit.jpg
 
Kulingana na gazeti la Financial Times, inasemekana Marekani na Israel wamewasiliana na viongozi wa Afrika Mashariki kuomba kuwahamishia Afrika Mashariki Wapalestina wote waishio Gaza.

View attachment 3270673
Mzee wa Mawigi ana mambo, yaani anataka awapeleke kwa watukutu wenzio wanaovaa vipedo na kobazi.

The United States and Israel have discussed with three East African governments the forced displacement of Palestinians from Gaza to Sudan, Somalia and its breakaway region of Somaliland, according to US and Israeli officials quoted by The Associated Press news agency.

Friday’s report said officials from Sudan claimed to have rejected overtures from the US, while officials from Somalia and Somaliland told AP they were unaware of any contacts.
 
Wapewe kigamboni na izo nchi za kiarabu ziijenge tz kama walivotka kuijenga gaza
 
Back
Top Bottom