Marekani na Israel wameziomba Nchi za Afrika Mashariki zikubali kuwapokea Wapalestina wa Gaza

Marekani na Israel wameziomba Nchi za Afrika Mashariki zikubali kuwapokea Wapalestina wa Gaza

Kulingana na gazeti la Financial Times, inasemekana Marekani na Israel wamewasiliana na viongozi wa Afrika Mashariki kuomba kuwahamishia Afrika Mashariki Wapalestina wote waishio Gaza.

View attachment 3270673
Watu wa kujilipulipua na mabomu hatuwataki kwetu. Kwanza kwanini wao wawahamishe kwenye eneo walowakuta?
 
Watuletee pisi kali tu hao mabeberu hatuwataki.
 
Iran iko mstari wa mbele kuwasaidia HAMAS kwanini isiwachukue wakaishi huko.

Na kwanini waarabu waje afrika wasiende nchi za kiarabu?

Hawaoni kinachotokea SUDAN, waarabu hawataki waafrika, wanataka Sudan iwe mali yao pekeyao.
Trump angekomaa na Iran iwapokee wapalestina hao inaowasaidia kufanya ugaidi. Sasa kupeleka mzigo huo Afrika huko ni kupeleka matatizo huko
 
Hichi kitu sikubaliani nacho!, wale jamaa hapana wanamambo ya ajabu sana wanaweza kuwabadilikia baadae mpaka mtajuta!
 
Miksa ya kipalestina na kisomali itakuwa haibridi nzuri sana. Sijui miksa ya wale wasudani na wapalestina maana wanafanana uarabu wao
 
Kulingana na gazeti la Financial Times, inasemekana Marekani na Israel wamewasiliana na viongozi wa Afrika Mashariki kuomba kuwahamishia Afrika Mashariki Wapalestina wote waishio Gaza.

View attachment 3270673
Kama Marekani anasema yuko tayari kuwapokea wakulima wa kizungu wa S.A wanaotaka kuhamia Marekani, basi awachukue na wachina.
Wapalestina wakijiroga wakaondoka pale wasahau kurudi. Hata saudi araboa ashashtukia huu mchezo ndio maana haungi mkono.
Qatar wana plan nzuri ya kuijenga upya gaza bila wapalestina kuhama.
 
Wakija wakubali kuchanganyikana na wazawa, mabinti zao waolewe na wenyeji na wao waoe mabinti wa kienyeji na wajue huku hakuna udini na ukabila
Ni madhara makubwa kuzaa na binti/mwanamke wa kipalestina. Watoto wote wanakuwa magaidi.
 
Back
Top Bottom