Putin anachoweza kutengeneza mabomba marefu na kukwambia ni makombora.Putin sio mnyonge hvy, hy ishu ya B-2 ilikuwa ni ya lazima ifanyike ili kuweka status vzr 😂 n Sawa na Trump nae angeenda Russia lazima Putin nae angeweka status vzr
Kitu pekee kinachomtia Kiburi Putin ni Makombora ya Nyuklia..Putin sio mnyonge mkuu
Hata Babu Trump anajua atabweka huko ila kutia mguu Russia hawezi
Putini ni mkongo wa sinza madukani aliyechangamka.Wakongo wa sinza unavyo kupiga mkwara na uvaaji wake unaweza kusema jamaa ni mtu mwenye uwezi.Kumbe anaishi kwa kulelewa au kulala chini.Kitu pekee kinachomtia Kiburi Putin ni Makombora ya Nyuklia..
Sio China wala Russia , wanaweza kutoa msaada kinaponukaSome of the Venezuelan air defense system purchased from China and Russia. None of them was activated last night as the U.S attacked Maduro's home and captured him.
Mitambo yote ya mchina na Mrusi, ilisizi wakati ndege za kivita za Marekani F-35s zinaingia kazini.
View attachment 3525119View attachment 3525120View attachment 3525122View attachment 3525123
Mchina Tapeli, vitu feki.
Xi Jinping haamini kama mitambo yake imefeli. Anabwekea kwa mbali kabisa tena kinyonge.
View attachment 3525125
Hao wamebaki kubweka bweka tu. Tena wakiwa mbali kabisa mafichoni.Sio China wala Russia , wanaweza kutoa msaada kinaponuka
Marekani hawezi kuleta utani Kwa Putin, North Korea na China hapo dakika sufuri ataliaKitu pekee kinachomtia Kiburi Putin ni Makombora ya Nyuklia..