Trump ni babu mmoja mtu wa mishono, hii Putin ilimfanya kuwa kimya

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Mwaka 2025 Putin alifika USA ila baada ya kupewa heshima za kijeshi na kuongozana naye mara Putin anaona dege la B-2 likipitishwa makusudi na Trump alikuwa anamkumbusha kule Iran.

😁" Who are you " Hata Masafa ya TBC fm uwezi kutumia.

 
Putin sio mnyonge hvy, hy ishu ya B-2 ilikuwa ni ya lazima ifanyike ili kuweka status vzr πŸ˜‚ n Sawa na Trump nae angeenda Russia lazima Putin nae angeweka status vzr
 
Putin sio mnyonge hvy, hy ishu ya B-2 ilikuwa ni ya lazima ifanyike ili kuweka status vzr πŸ˜‚ n Sawa na Trump nae angeenda Russia lazima Putin nae angeweka status vzr
Putin anachoweza kutengeneza mabomba marefu na kukwambia ni makombora.

Sawa Iran wanakwambia wana drone hatari,We drone gani inatoka mbagara inakuja posta tokea inapotokea unasikia kelele kama zile pikipiki za kujamba
 
Some of the Venezuelan air defense system purchased from China and Russia. None of them was activated last night as the U.S attacked Maduro's home and captured him.

Mitambo yote ya mchina na Mrusi, ilisizi wakati ndege za kivita za Marekani F-35s zinaingia kazini.

Mchina Tapeli, vitu feki.

Xi Jinping haamini kama mitambo yake imefeli. Anabwekea kwa mbali kabisa tena kinyonge.
 
Kitu pekee kinachomtia Kiburi Putin ni Makombora ya Nyuklia..
Putini ni mkongo wa sinza madukani aliyechangamka.Wakongo wa sinza unavyo kupiga mkwara na uvaaji wake unaweza kusema jamaa ni mtu mwenye uwezi.Kumbe anaishi kwa kulelewa au kulala chini.
 
Sio China wala Russia , wanaweza kutoa msaada kinaponuka
 
Putin sio mnyonge.. mmarekani hatii mguu sehemu ambayo kufanikiwa ni 50,50.. ama akafanikiwa lakini nae kaumizwa vibaya..
Ingekuwa rahisi hivyo kitaambo angekuwa yupo moscow.
Labda ajaribu chokochoko za maandamano, anunue wanajeshibwa russia wajaribu kumpindua putin..
 
Reactions: Fbn
Sio China wala Russia , wanaweza kutoa msaada kinaponuka
Hao wamebaki kubweka bweka tu. Tena wakiwa mbali kabisa mafichoni.

Hakuna anayethubutu kuingia ulingoni.

Maduro kaachwa kwenye mataa. Kadakwa kama kuku Broiler.πŸ“

Moto wa USA ni wa kuotea mbali kabisa.
 
US President, Donald Trump Shares Photos Of Situation Room During Military Action In Venezuela.

Venezuela President And His Wife Were Arrested And Taken To The US.
 
Kitu pekee kinachomtia Kiburi Putin ni Makombora ya Nyuklia..
Marekani hawezi kuleta utani Kwa Putin, North Korea na China hapo dakika sufuri atalia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…