Trump: Nitaimaliza vita Ukraine ndani ya saa 24

Trump hatakuja kuwa Rais tena maana akiwa Rais Taiwan na Ukraine zaondoka.
 

Trump is a real deal now in US

Biden anaenda kuanguka vibaya sana 2024 election..

Lazy Joe kaumiza dunia nzima, gharama za maisha zimepanda sana, in short, Biden mshenzi na nyoko sana asshole kabisa 😡😡
 
Huyu anaweza. Maana ni maswahiba.
Katuaminisha Madai ya democratic urusi kuingilia uchaguzi awamu ya kwanz trump kua rais ,lapili sio TU mashwahiba ,alishatengenezwa kitambo Sana na urusi huyu
 
Nani asiyejua kwamba trump dish [emoji341][emoji341][emoji341][emoji341][emoji341][emoji341][emoji341][emoji341][emoji341] lake Huwa Linayumba mara kwa mara??
 
Huyu mzee hapa anatudanganya. Huu ni uongo mwepesi sana.

Kwamba vita iishe ndani ya saa 24? Give me a break?!

Fact ni kwamba, vita ilianza mwaka 2014. Trump akaingia madarakani mwaka 2017. Ameondoka madarakani mwaka 2021, kaacha vita inaendelea.

Hi sera anayotembea nayo Mzee Trump ni sera ambayo iko kinyume kabisa na maslahi ya Marekani. Hata viongozi kadhaa na wazee wenzake ndani ya chama cha Republican hawakubaliani naye. Baadhi wameshatoka hadharani kumpinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…