Mamilioni ya mafaili kuhusiana na kifo cha aliyekuwa raisi wa nchi hiyo,John F. Kennedy sasa rasmi yameachiwa kwa walimwengu waweze kupekua wapendavyo kupata jawabu ya kifo hicho.
Yapo matumaini kuwa kabla ya muhula wa uraisi Donald Trump yale mafaili ya siri juu ya safari ya mwezini nayo yatakuwa yameachiwa huru baada ya kufungiwa kwa zaidi ya miaka 56.
Safari hiyo ya maajabu ambayo Marekani inasema iliifanya mwaka 1969 imekuwa ikilindwa kisiasa na kupingwa vikali na wataalamu wa sayansi.
Swahiba wake anasema kutakuwa na watu millioni kadhaa huko Mars sijui mwaka gani vile kasema.
Hawa wanapangana wenyewe kwa wenyewe
Dunia imefika mwake
Vurugu tu