Trump sijui atatoboa, Kura za Maoni zinamkataa

Trump sijui atatoboa, Kura za Maoni zinamkataa

Kwa jamii ya Watu waliostaarabika, kumchagua Trump kuwa Rais wa nchi ni makosa makubwa sana.

Trump ni mtu ambaye Hana adabu hata kidogo.
Kwako wewe adabu ni ipi? Na kwa Wanatekani adabu ni ipi?
Maana kama ni kumchagua walishamchagua, je nini kilitokea?
 
Trump anashinda. Wamarekani wanashawishiwa kubadili mawazo na vitu vya ajabu ajabu
 
Binafsi namkubali Trump asivyokuaga mnafiki kama JPM ila nimeogopa kuna mzee profesa ameshatabiri kwa usahihi mshindi wa chaguzi 9/10, hata 2016 alitabiri Trump atashinda.

Mbaya zaidi hata hiyo moja aliyokosea alimtabiria Al Gore ambae nae ni kama alishinda akafanyiwa figisu na mahakama na George W. Bush

Nimeona CNN amemtabiria huyo maza atashinda.

Nataka nione ata perform vipi kwenye debate ya keshokutwa.
 
Trump ana makandokando mengi yanayomzuia kushinda tiketi ya urais,hasa sakata la wahamiaji na watu weusi bila kusahau sakata la covid 19 mwaka 2019_2020.
 
View attachment 3089590View attachment 3089592View attachment 3089591

Safari ya Donald Trump kuelekea White House bado ngumu

Bado Republican Walikosea kumsimamisha Trump. Alikutana tu na weak opponent Joe Biden.

Sasa anapambana na mtu mwenye misuli ya Kisiasa na Mwanasheria. Ni ngumu Sana Kutoboa
Sasa kamala ana misuli gani??? Kundi la wauaji Deep state liko nyuma ya Kamala kwasababu ni dhaifu sana watakuwa wanaamua wao na most likely vita ya dunia itaanzia hapo.
 
Jamaa ni national security nightmare ndio shida yake.

Baada ya kufanya nae kazi kipindi kimoja alikuwa mtihani sana kwa ‘axis of adults’ ya White House.

Akipewa maelezo haya, yeye anaropoka vile; jamaa wanakuwa na kazi ya kutoa maelezo mengine nyuma ya pazia kwa nchi rafiki wasimchukulie serious wataongea nae tena.

Mpaka hardcore Republican kama Dick Chenney mtaalamu wa maswala ya national security anamu-endorse Kamala Harris ni kwamba Hakuna namna yeyote isipokuwa Trump as far as national security organs are concerned.
 
Back
Top Bottom