milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,045
- 8,080
USA kumchagua huyu bibi watakuwa wamejichanganya,SAWA na TZ .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🚮🚮Trump anarudi White House.
Huyu makamu ni swala la muda atajua haiwezekani.
Trump yeye anahubiri ni America kwanza. Ana mapungufu mengi lakini..
Acha Trump aje aisafishe dunia turudi kwenye mstari.
Ni sawa na jiwe alisema Tz kwanza thou alikuwa na mapungufu yake but
Dick cheney, makamu rais' wa bush na republican,anasema trump hapana, mwamba hatoboiHapana Trump!
Inategemea wenye nchi wanataka nani awe Rais!
Kumbuka hasta secretary Clinton alishinda dhidi ya Trump kwenye popular votes lakini Trump akapewa coz alishinda kwenye kura za house of representatives!