Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 12,151
- 44,120
Ni dhaifu hata Chadema wanajuaKwan Samia sio dhaifu?
Kwa sababu alisema inatakiwa mtawaliwe tena ndo kawa hana adabu?Kwa jamii ya Watu waliostaarabika, kumchagua Trump kuwa Rais wa nchi ni makosa makubwa sana.
Trump ni mtu ambaye Hana adabu hata kidogo.
Katika uchaguzi wa Rais wa Marekani, kuna aina mbili za kura zinazotumika: kura za wananchi (popular votes) na kura za wajumbe wa baraza la uchaguzi (electoral votes).Hivi unaelewa kweli namna Mfumo wa Uchaguzi wa Rais wa nchi ya Marekani ulivyo?
Upigaji Kura kwa Uchaguzi wa Rais wa Marekani upo kwenye Vipengele viwili, navyo ni'-
1. Popular Votes.
2. College Votes.
Ushindi wa Rais katika Uchaguzi wa Marekani hutegemea zaidi kwenye College Votes. Wala siyo Popular Votes.
Kitu kama haukijui, uliza. Acha kuandika porojo.Hapana Trump!
Inategemea wenye nchi wanataka nani awe Rais!
Kumbuka hasta secretary Clinton alishinda dhidi ya Trump kwenye popular votes lakini Trump akapewa coz alishinda kwenye kura za house of representatives!
Wewe unachapisha ujinga na hauko tayari kujifunza.Kura za majimbo namaanisha !labda niseme house of representatives ndio utanielewa!!
Unaelewa sana sema "kukosoa kiingereza Cha mswahili mwenzao ndio DNA ya wabongo wengi"
Aisee reHuyo kamara haris anapata umaarufu TU kama WA secretary Clinton!lakini anaweza shinda popular votes akashindwa house of representatives votes!
Hapo ndipo.mtego ulipo hapo!!Kura za masenetor ndio huwa zinamweka Raid madarakani!
Wewe ndio umeeleza kwa kina!Katika uchaguzi wa Rais wa Marekani, kuna aina mbili za kura zinazotumika: kura za wananchi (popular votes) na kura za wajumbe wa baraza la uchaguzi (electoral votes).
1. Kura za Wananchi (Popular Votes):
- Hizi ni kura zinazopigwa na wananchi wa Marekani katika kila jimbo.
- Kura hizi zinaamua kiasi gani cha kura za wajumbe wa baraza la uchaguzi atakavyopewa mgombea katika kila jimbo.
- Katika majimbo mengi, mgombea anayepata kura nyingi zaidi katika jimbo anapata zote au sehemu kubwa ya kura za wajumbe wa baraza la uchaguzi za jimbo hilo (sawa na mfumo wa "winner-takes-all").
2. Kura za Wajumbe wa Baraza la Uchaguzi (Electoral Votes):
- Kura hizi zinatolewa na wajumbe wa baraza la uchaguzi, ambao wana idadi maalum kulingana na ukubwa wa jimbo (idadi ya wajumbe inategemea idadi ya wawakilishi wa jimbo katika Bunge la Marekani).
- Jumla ya kura za wajumbe wa baraza la uchaguzi ni 538. Ili kushinda urais, mgombea anahitaji kupata angalau kura 270.
Nguvu ya Kura:
- Kura za Wajumbe wa Baraza la Uchaguzi ndio zinazoamua mshindi wa urais. Hii ni kwa sababu mfumo wa uchaguzi wa Marekani umeundwa ili mgombea apate kura za wajumbe wa baraza la uchaguzi, si kura za wananchi moja kwa moja.
- Hivyo, ingawa kura za wananchi zina umuhimu mkubwa katika kuonyesha mapenzi ya umma, mshindi wa urais anatambulika kwa kupata kura za wajumbe wa baraza la uchaguzi.
Mfumo huu ulianzishwa kwa sababu ya maelezo ya kihistoria na kikatiba, kwa lengo la kuzingatia usawa kati ya majimbo yenye idadi kubwa na ndogo ya watu, na kuhakikisha kwamba majimbo yote yanajumuishwa katika mchakato wa uchaguzi.
Akili hatuna, lakini kuna akili mnemba (IA
Nilichogundua hautaki mtu mwingine azijue habari za marekani unataka uzijue wewe pekeyako...wasukuma ninyi ni washamba sana na wabinafsi mnoDuh 🤣!
Senator votes ndo nini?
Kuna vituko sana humu.
Sio mimi. Ni akili mnemba nimekopi na kupestWewe ndio umeeleza kwa kina!
Popular votes haziamui ushindi wa Rais bali Baraza la wajumbe,hapo sawa!
Trump atakuwa rais ila kwa anguko la USA kiuchumi na kushuka kwa kasi kiushawishi wake duniani kunakoenda kutokea muda mchache sana ujao ataongoza kwenye mazingira magumu sanaKamala hajamshinda Trump kwa chochote ni kwa vile media zipo upande wa blue.
Ila Trump anakubalika sana kwa sasa USA.
Hujagundua chochote.Nilichogundua hautaki mtu mwingine azijue habari za marekani unataka uzijue wewe pekeyako...wasukuma ninyi ni washamba sana na wabinafsi mno
Ishu ya uhamiaji , hata pia ishu za LGBT trump zinamtafunaJapo Kamala Harris Hana ushawishi mkubwa sana Kama Donald Trump, lakini ni vyema Sana kwa Wananchi wa Marekani wamchague Mama huyu kuwa Rais wao, Trump atawatia misukosuko sana endapo kama watamchagua tena kuwa Rais wao.
Wewe ulimuelewaje ?Hujagundua chochote.
Unaweza kuniambia senator votes ndo nini kuhusiana na uchaguzi wa Rais Marekani?
Kwa nini zimtafune wakati ni ukweli anasema? Hizo votes ni za hao watulie uchaguzi ufanyike watajua hawajuiIshu ya uhamiaji , hata pia ishu za LGBT trump zinamtafuna
🚮🚮Ushindi kwa Trump ni muhimu kwa wamarekani, pia kwa dunia ipate ahueni maswala ya vita.