Trump :USAID have made African countries very lazy.

Trump :USAID have made African countries very lazy.

Kupitia hii video ndio utajua hap jf kuna watanzania wenye chuki na nchi, chuki na serikali, chuki wasizofahamu chchte.
Hii video ni ya kutengeneza. Hakuna raisi anaweza kuongelea race ya mtu hivo. Ever in this world.
Acheni chuki wana JF. Hiyo misaada sawa mlikua hamuipati nyie. Fahamu kama ilifika ilisaidia sana watu waathirika, imesaidia sana maeneo mengi yasiyokuwa na barabara za rami, mahospitali na mashule acheni chuki.
You ain't employed usiwe na chuki ya walioajiriwa.
Jana BBC ameongea X employer tena top wa USAID kaffungua kesi ya kurudishwa kazini watu zaidi ya 8000 pale marekani. Nyie kwanini mnachuki.
Ajira ni kitu kikubwa sana katika maisha ya sasa. Acheni chuki
 
Yupo sahihi misaaada sio kwa ajili ya waafrika wanufaika ni wao ili kuchukua baraka zetu wao wanaendelea sie tunabakia masikini.
Atoae ubarikiwa zaidi kuliko anaepokea hii ni kanuni ya asili
 
Trump unamchukuliaje babu trump kama magu
Anaweza kuongea kwenye vikao vya ndani.

Ila sio public, sio mjinga kiasi hicho kuharibu mahusiano ya nchi yake na Africa.

Marekani Inaihitaji sana Africa.

Naamini hiyo clip ni ya kutengeneza tu.
 
99% mnayosema Trump kasema kuhusu Africa ni uongo. The msg could be right but Trump hajasema. Wajinga wanaamini kila kitu cha mitandanoni.

Screenshot 2025-02-08 095159.png
 
Kupitia hii video ndio utajua hap jf kuna watanzania wenye chuki na nchi, chuki na serikali, chuki wasizofahamu chchte.
Hii video ni ya kutengeneza. Hakuna raisi anaweza kuongelea race ya mtu hivo. Ever in this world.
Acheni chuki wana JF. Hiyo misaada sawa mlikua hamuipati nyie. Fahamu kama ilifika ilisaidia sana watu waathirika, imesaidia sana maeneo mengi yasiyokuwa na barabara za rami, mahospitali na mashule acheni chuki.
You ain't employed usiwe na chuki ya walioajiriwa.
Jana BBC ameongea X employer tena top wa USAID kaffungua kesi ya kurudishwa kazini watu zaidi ya 8000 pale marekani. Nyie kwanini mnachuki.
Ajira ni kitu kikubwa sana katika maisha ya sasa. Acheni chuki
Acha wazimu wa kulia lia huruma na siyo Jamiiforums tu ndiyo wanaichukia serikali hata wasiokuwa humu mioyoni mwao kupo hivi hivi unavyoona hapa,hiyo video iwe ya kweli iwe ya uwongo huo ni ukweli especially Tanzania imekuwa ni kama ya mambumbumbu.

Unazungumzia habari za kujengewa barabara,kujengewa shule kujengewa mpaka vyoo na USAID hivi wewe huoni aibu mpaka choo anachojenga mwananchi wa kawaida nyumbani kwake kwa Tsh 6mill leo kikajengwe kwa msaada wa mmarekan halafu viongozi wanaenda kukata utepe kuishukuru Marekani wakati kila mwaka serikali yako inaagiza gari mpya za gharama kubwa,wanalipana posho kubwa pasi na kujadili chochote cha maana wanatapanya kodi zetu hovyo juzi nimeona mabasi ya Kichina ya chama sijui ni ya kazi gani yale madude.

Hizi hela kidogo zinazokusanywa serikali zetu inabidi zizipangilie ili mambo ya msingi yaweze kwenda,kuwe na katazo la kutibiwa nje ya nchi kwenye gharama kubwa ili hospital zetu ziboreshwe tutibiane humu humu kama wa kufa afe wa kuishi aishi,kuwe na katazo kali la ulaji hovyo wa hela za serikali misururu ya magari kwenye misafara isiyokuwa na tija ipunguzwe tujifunze kujibana hata hao unaolia leo wakusaidie kuna kipindi walijibana ndiyo maana leo wako hivi.
 
Back
Top Bottom