Trust me, Kama Watanzania wote tungefanya hivi tungekuwa na maendeleo makubwa na matajiri sana

Tajili yangu hatuwezi kuchukua atua sababu lishe yetu duni ubongo umekosa vilutubisho ndiomaana wengi wetu tunajua unafanya utani au tunapenda sifa
 
Tulisoma Secondary na student fulani,
alikuwa anajifanya ni matawi sn ,
Kila kukicha ana hadithi za Mambo ya watu wa Marekani, Europe,Canada.
Mara Eddy Murphy,
Mara R Kelly.
Mara L. L .Cool. J
Mara Snoopy dog .
Kutwa yupo na video tapes za Americans movies na video music.

Ilikuwa majigambo matupu.
Na jinsi anavyopenda kuvaa smart kila mtu alimuamini jamaa kwao wapo vzr sn kimaisha.

Alikuwa anasema anaishi mitaa ya Sea View Upanga.(DSM)
Baba yake anafanya kazi UN,
Mama yake yupo UNICEF,
Family nzima inaishi America.

Basi aliwateka warembo kibao wa Jangwani girls secondary na hata zanaki girls secondary.
Yaani warembo wote wake

Kipindi fulani yule student alikuwa anaumwa serious,

Hakutokea shule kama week hivi,
Hapo ndy tulipojuwa ukweli wa maisha yake.

Tulipofika nyumbani kwao maeneo ya uswahilini,
(Kigogo Luhanga)
Tukakuta Mzee mmoja Dobi barazani ,,anapiga nguo pasi na kufua,
Nyumba yenyewe choka mbaya Sana,
Hakuna hata dalili ya umeme kuwepo humo ndani.
Pembeni kuna mama mmoja anauza soup ya ngozi ya ng'ombe na mapupu.

Tukajitambulisha kwamba Sisi ni friends wa yule student tumekuja kumuona.
Ikabidi aitwe,

Yule student alipotoka na kugunduwa ni wanafunzi wenzie,
Tena tuliongozana na baadhi ya warembo wa Jangwani girls secondary.

Yule student kwa mshtuko akaanza kujitetea kwamba pale sio kwao bali yupo kwa mganga wa kienyeji kwa matibabu.,
Alikuwa amerogwa na watu kisa anamipango ya kuhamishiwa shule America kwa family yake.
[emoji3][emoji3][emoji3],

Yule mzee Dobi kusikia vile akawaka Sana kwamba utasemaje hapa ni Kwa mganga wa kienyeji wakati ni kwenu?
-Na Mimi ndy baba yako,
-Na huyo ndy mama yako,

Tulistaajabu Sana.,

Tukajiuliza maswali bila majibu,
-Kwamba yule Mzee anayefanya kazi UN ndy yule Dobi?
-Mama anayefanya kazi UNICEF ndy yule auzae soup ya ngozi ya ng'ombe na mapupu?

Jamaa tangu hapo akawa mtu wa kujifichaficha shuleni hadi tunamaliza shule. .

Mleta Uzi umenikumbusha mbali Sana.,,
Kweli akili za kuambiwa uchanganye na za kwako..
 
Umeongea point Sana Leo Boss,Ila watakuchukulia poa.!
 
Umenikumbusha mbali sana kipindi hicho tupo advance, kuna binti mmoja kweli mama yake alikuwa anafanya kazi UN na Baba yake alikuwa wizarani. Lakini huyo binti alikuwa anajishusha mbaya huwezi jua kuwa kwao ni tajiri mbaya kabisa na hata nyumba yao ni kubwa na ya ghorofa. Alikuwa anakatiwa tiketi ya ndege kwenda na kurudi lakini anakataa anapanda basi, alikuwa anafanyiwa shopping ya mwaka mzima, na kipindi hicho wengi shuleni hatuna account za bank lakini tayari yeye alikuwa nazo mama yake anaweka tu pesa huko.
Kipindi cha likizo akiwa nyumbani wanaenda fanya showing ya vitu mbalimbali mkoa mwingine.
Hayo yote alikuwa hayasimulii bali tulikuwa tunajua kwa kupitia siku anazoongea na mama yake (enzi hizo simu ndo zimeingia na madenti haturuhusiwi siku)
Usimdharau mtu kwa nje
 
Tulisoma Secondary na student fulani,
alikuwa anajifanya ni matawi sn ,
Kila kukicha ana hadithi za Mambo ya watu wa Marekani, Europe,Canada.
Mara Eddy Murphy,
Mara R Kelly.
Mara L. L .Cool. J
Mara Snoopy dog .
Kutwa yupo na video tapes za Americans movies na video music.

Ilikuwa majigambo matupu.
Na jinsi anavyopenda kuvaa smart kila mtu alimuamini jamaa kwao wapo vzr sn kimaisha.

Alikuwa anasema anaishi mitaa ya Sea View Upanga.(DSM)
Baba yake anafanya kazi UN,
Mama yake yupo UNICEF,
Family nzima inaishi America.

Basi aliwateka warembo kibao wa Jangwani girls secondary na hata zanaki girls secondary.
Yaani warembo wote wake

Kipindi fulani yule student alikuwa anaumwa serious,

Hakutokea shule kama week hivi,
Hapo ndy tulipojuwa ukweli wa maisha yake.

Tulipofika nyumbani kwao maeneo ya uswahilini,
(Kigogo Luhanga)
Tukakuta Mzee mmoja Dobi barazani ,,anapiga nguo pasi na kufua,
Nyumba yenyewe choka mbaya Sana,
Hakuna hata dalili ya umeme kuwepo humo ndani.
Pembeni kuna mama mmoja anauza soup ya ngozi ya ng'ombe na mapupu.

Tukajitambulisha kwamba Sisi ni friends wa yule student tumekuja kumuona.
Ikabidi aitwe,

Yule student alipotoka na kugunduwa ni wanafunzi wenzie,
Tena tuliongozana na baadhi ya warembo wa Jangwani girls secondary.

Yule student kwa mshtuko akaanza kujitetea kwamba pale sio kwao bali yupo kwa mganga wa kienyeji kwa matibabu.,
Alikuwa amerogwa na watu kisa anamipango ya kuhamishiwa shule America kwa family yake.
[emoji3][emoji3][emoji3],

Yule mzee Dobi kusikia vile akawaka Sana kwamba utasemaje hapa ni Kwa mganga wa kienyeji wakati ni kwenu?
-Na Mimi ndy baba yako,
-Na huyo ndy mama yako,

Tulistaajabu Sana.,

Tukajiuliza maswali bila majibu,
-Kwamba yule Mzee anayefanya kazi UN ndy yule Dobi?
-Mama anayefanya kazi UNICEF ndy yule auzae soup ya ngozi ya ng'ombe na mapupu?

Jamaa tangu hapo akawa mtu wa kujifichaficha shuleni hadi tunamaliza shule. .

Mleta Uzi umenikumbusha mbali Sana.,,
Kweli akili za kuambiwa uchanganye na za kwako..
Sasa huyo jamaa ndio huyu mleta mada
 
Hii mada ina point ya ziada ya kuifanyia kazi, ila ni wachache sana tutaielewa
 
Back
Top Bottom