Trust no one, hakuna rafiki. Waswahili wanafiki sana

Trust no one, hakuna rafiki. Waswahili wanafiki sana

Poor Brain

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2019
Posts
19,644
Reaction score
40,546
Hata uishi nao vipi kuna watu wana roho mbaya sana.

Kuna watu wanatamani kuona unateseka.

Kuna watu wanapenda kuona unadhalilika na hapo ujawakosea chochote.

Kina watu mafanikio yako yanawauma sana na haujafanya chichote.

Wanatamani uwe chizi utokwe na midenda.

Wanatamani kukuroge....
Usimwamini mtu, hakuna rafiki fanya maisha yako.

Ishi hivo....

Midekoo
Ridhiki mwanzo wa Chuki.....

Nomadix
Rafiki yako ni wewe mwenyewe tu.

Satan
Heri ukaishi porini ucheze na ndege kuliko kucheza na wanafki.

Kuna watu hupenda kuona wenzao wanaishi vile watakayo.

Chujio
Kifupi usiwe zuzu kuamini kila la kuambiwa na kusemasema ovyo pia kwa watu

Kasie
Kuna waliosema, fadhila mfadhili mbuzi utamla mchuzi, binadamu anamaudhi....

ndege JOHN
Heri ukaishi porini ucheze na ndege kuliko kucheza na wanafki.
 
Hata uishi nao vipi kuna watu wana roho mbaya sana.
Kuna watu wanatamani kuona unateseka.
Kuna watu wanapenda kuona unadhalilika na hapo ujawakosea chochote.

Kina watu mafanikio yako yanawauma sana na haujafanya chichote.

Wanatamani uwe chizi utokwe na midenda.

Wanatamani kukuroge....
Usimwamini mtu, hakuna rafiki fanya maisha yako.

Ishi hivo....
Na ndugu je?
 
💯💯
 
Watu ni viumbe wabaya sana. Hutumia mgongo wa shetani kujifichia.

Heri ukaishi porini ucheze na ndege kuliko kucheza na wanafki.
Mpaka wewe shaitwani unajua hilo mi sikupingi

Unacheka na mtu kumbe mwenzako ana duku duku moyoni maskini...
Na kulitoa anashindwa anasubiri siku ujichanganye tu aseme..

Mtu unakua na wivu na mwenzako kwa jambo ambalo wewe huingiliani nae kabisa how came
 
Dracula,

Don't trust no one, even Yourself.

Maisha Utata, kuishi na Watu kwa hitaji moyo,.

Kaza moyo, ukilegea utafunikwa ndanii ya futi sita, Kisha usahaulike kama ulipata kutokea Duniani.
 
Wivu huzaa chuki. Kwa Dunia ya sasa ukiishi kwa share mafanikio yako utazidisha chuki na kuongeza marafiki.
Kama utaoa basi wanao na wazazi wako ndo watakuwa ndugu zako na marafiki zako.
Zingatia hili
 
Hii 'trust no one' mbona mnapenda kuirudia rudia sana!

Huu msemo unahubiriwa kuliko hata bibilia na quran.

Kwani wewe sio mtu? Ungependa watu wako wa karibu wasikuamini?

Hii kauli haina uhalisia wowote.
Mkuu hayajakukuta hata mimi mwanzoni nilikuwa nawaza hvo hvo ila sasa nimeami ni kweli
 
Tufanyeje ss maana Kila tulifanyalo wanaona kwa macho yao ya husda na ndio waliotuzunguka
Cut the cord... Watu wasipoona mafanikio kwa macho ya nyama basi watakuona kwa macho ya rohoni.

Kuna watu hupenda kuona wenzao wanaishi vile watakayo.

Kama huwezi kuipigana vita basi tafuta ulinzi. Wanga na washirikina wamekuwa wengi na uharibu kila harakati za mtu.
 
Dracula,

Don't trust no one, even Yourself.

Maisha Utata, kuishi na Watu kwa hitaji moyo,.

Kaza moyo, ukilegea utafunikwa ndanii ya futi sita, Kisha usahaulike kama ulipata kutokea Duniani.
Na mimi nakaza hakuna kukaa kinyonge hapa mpaka wakae..

Kuna watu wana akili za kiwaki sana wanawaza inakuaje mgeni aje na kufunika mtaa mzima why why why
 
Back
Top Bottom