Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
- Thread starter
- #21
Kweli kabisa ndgu ni wazazi na watoto wako tuu..Wivu huzaa chuki. Kwa Dunia ya sasa ukiishi kwa share mafanikio yako utazidisha chuki na kuongeza marafiki.
Kama utaoa basi wanao na wazazi wako ndo watakuwa ndugu zako na marafiki zako.
Zingatia hili
Wivu huleta chuki na nimeona chuki wazi wazi..
Mpaka sasa naona. Chuki hvi ni mtu wa aina gani anafurahi mwenzake akikosa au akiwa na hali mbaya